Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ni misemo ya kiswahili hutumika kusanifu na kufasili mambo ya kimapenzi. Kwa wale penda penda wa wake za watu hunena kwa kusema mkeo huenda akawa wangu kwani hakuna tofauti ya radha ya mapenzi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna namna nyingi tu kutufanya tufurahi na kusonga mbele na maisha yetu ya kila siku..Hebu kwa leo tushee hii inayoitwa 'FACTS'....hivi ni vifupisho vya maneno ya kiingereza yanayoonyesha hatua za...
15 Reactions
135 Replies
7K Views
Wanawake wakibongo Mmezoea kupewa hata wanaume nao wanatakiwa kuambia Ahsante na mpe zawadi .utampa nini mpenzi wako ?
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Na bonge la kidate le mida mida naomba nipate shori mmoja humu nitongozane nae one on one aisee mpaka aelekee kukubali cus in the mid of night i'll be on kitanzini na shori moja kali sana aisee...
3 Reactions
78 Replies
4K Views
Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao...
9 Reactions
110 Replies
20K Views
Sura hiyo hapo ni ya mwanaume. Bila shaka umeshawahi kukutana na sura kama hii katika maisha yako. Kama hujawahi kukutana nayo huenda kuna siku utakutana nayo. Mwanaume mwenye sura kama hii ana...
10 Reactions
73 Replies
9K Views
Hii imekaaje? Hizi habari za kutiana hofu, ooohooo!!! Wanaotumia runinga kwa muda mrefu hupoteza nguvu za kiume WANAUME wanaotumia muda wa saa tatu na zaidi kwa siku kutazama runinga...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Habari zenu wana MMU!!! Mimi kama mimi kwa mtazamo wangu naona mapenzi ya siri yana ukomo wake. Unapokuwa unapenda mapenzi ya siri sana, unampa wakati mgumu mwenzako. Ni rahisi kufikiria...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
27-10-1980 katika kijiji changu, majira ya saa 4 usiku mama ukiwa umelala baada ya uchovu wa shughuli za pale nyumbani, ukiwa na ujauzito wa miezi tisa , ndipo baba alipo kuja na mwana mke...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Ni mwanaume mwenye miaka 30+. Natafuta mke mwema awe mkristo, umri 25-33.
1 Reactions
0 Replies
715 Views
Helo, mwanamke kutokufka climax ni tatizo? na je akifika climax huwa anatakiwa kuonyesha ishara gan? pls nisaidien wadau.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TANZANIA MEN’S RIGHTS ASSOCIATION CHAMA CHA KUTETEA HAKI ZA WANAUME TANZANIA ”TAMRA” Equal treatments for all UTANGULIZI TAMRA ni Asasi ya kiraia iliyoanzishwa na wanaume wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nilizaa na mwanaume mmoja miaka mitano iliyopita tulizaa mtoto wa kiume ambaye alifanana na baayake sana, story yangu ni ndefu ila yule mwanaume aliniacha kwa matusi , na vituko kibao, ila...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Mimi ni mkazi wa Kigamboni,km wiki 3 zilizopita kulitokea la uvunjaji nyumbani kwangu,na kuibiwa baadhi ya vitu,nilitoa taarifa kituo cha polisi Kigamboni.Kwa gharama zangu nilikodi gari kwa ajili...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati wote wa maisha yangu kabla ya sasa nilikula kihapo changu cha kutomsamehe mke wangu iwapo atafanya mambo yafuatayo: 1. kunilisha limbwata 2.nikimfumania lakini...
3 Reactions
66 Replies
5K Views
Kifungu cha 13 (1) cha Sheria ya Ndoa sura ya 29, kinasema kuwa mwanamume mwenye umri wa chini ya miaka 18 na mwanamke mwenye umri wa chini ya miaka 15 hawaruhusiwi kufunga ndoa na mtu yeyote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau? Naimani mko poa. Hivisasa mmerudi kwenye miangaiko ya kulijenga Taifa letu pendwa. Leo mwenzenu limenikuta jambo ambalo ckutegema linikute maishani mwangu, nikaona sivibaya...
1 Reactions
59 Replies
11K Views
Ndugu zanguni wana JF, napenda niwashirikishe furaha yangu kuwa mwezi wa nne nakaribia kufunga ndoa. Nakaribisha michango ya hali na mali. Asanteni
3 Reactions
47 Replies
3K Views
There is a girl that ,I love so crazily that ,I realy want to marry.But the problem is that she is older than me by 1.5 yrs.Though we shared our childhood and primary school education.Personally...
0 Reactions
1 Replies
705 Views
Ndivyo alivyoniambia majuzi mtu ambaye alikuwa ametoka kuonana na mpenzi wake wa a pembeni wa Kiafrika. Kwa uwazi na umakini mkubwa alisisitiza kuwa hili ni suala la kibailojia na kiutamaduni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom