Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kama una mke, mpenz, demu, buzi au king'asti, hakikisha usiku wa tarehe 14 mwezi huu mnakuwa pamoja ili kuzima pamoja mapenzi ya Analojia na kuwasha mfumo mpya wa mapenz ya Digital yasiyo na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jinsi Ya Kuacha Ku-Cheat Kwa sababu mbalimbali watu katika mahusiano wanaamua ku-Cheat wenzi wao. Wakati mwingine wanajisikia vibaya lakini hawaachi. Wanakuwa trapped, na hivyo kuifanya iwe...
13 Reactions
64 Replies
11K Views
Dear . . . I miss you now and my heart is sore As time goes I miss you more Your loving smile, your gentle face No one can fill your vacant place Those we love dont go away...
10 Reactions
74 Replies
4K Views
Je mwanamke kugegedwa mabao mengi ndo kupata satisfaction?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Bikira ina maana moja tu nayo ni kuwa na utepe amabo Mungu alimumbia mwanamke na kama uume ukisha ingia basi kamwe huwezi tena kuitwa bikira hata kama utashonwa uke na uzi wa sindano ya...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Habari za asubuhi Mabibi na Mabwana, wakubwa na wadogo natumaini mnaendelea vizuri, mwanzoni wa mwezi kwanza mwaka 2013 nilikwenda pale Mlimani City kwenye duka ambalo linauza bidhaa za Samsung...
0 Reactions
148 Replies
9K Views
How Nairobi Women Make To Live Above Their Means ByShirley Genga, They are young, beautiful and live on the fast lane — enjoying every cityluxury, yet their monthly pay is peanuts. The...
14 Reactions
57 Replies
6K Views
Nimegundua wanawake sio viumbe wazuri hata kidogo,nina umri wa miaka 36 na mchumba wangu ana umri wa miaka 34,tumekutana miezi minne iliyopita na uhusiano wetu ulikuwa mzuri kwani nilimwamini na...
3 Reactions
78 Replies
8K Views
habari zenu wanajamii! Kuna hili swala la mwanamke alie katika mahusiano kutongozwa halafu anaenda kumshtakia kwa mpenzi wake! Hii inaweza ikawa ni sawa, ila ninavyojua mimi ni kwamba hapo...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Katika nchi chache nilizotembelea kama south africa, kenya, mozambique, zambia, rwanda etc.....wanawake wa tz kuvaa zero iwe nyumbani,ofisini au outing. Kwanza wanachanganya nguo za ofisi na za...
6 Reactions
59 Replies
14K Views
Asilimia 65 ya wababa walioenda kwa mkemia mkuu wa gvt kufanya DNA na watoto waliodhani wao imebainika kuwa wababa hao wamebambikwa. Source: ITV Hapa nashindwa kuelewa tatizo ni nini mpaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The Question; ( Kwanini unafanya haya ?) Why am I fighting to live If I'm just living to fight Why am I trying to see When there aint nothing in sight Why am I trying to give When no one gives...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
home arusha, mama mchagga baba mngoni jaman wakaka hamuumiagi na hamjifunzi? think of wewe ni mdada mkali/mzuri na umejiremba, hamna hamna umetupia viwalo vyako hata kama vya mtumba ila...
4 Reactions
265 Replies
15K Views
Salam wana JAMVI. Nina mdogo wangu wa kike alikuwa form two,wakati wa likizo alisafiri kutoka nyumban kwenda Sumbawanga kuwasalimia ndugu. Alikabidhiwa kwa mbaba mmoja aliekuwa na gari binafsi...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mambo vipi pande hizo? Nahic umzima kama umgonjwa ugua pole. Nduguzangu ( ki utaifa ) leo nimeamini "Ukistajabu ya mussa, utayaona ya firauni" kwamuda mwingi sana nime kua niki...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Many men are never taught how to talk to women. Because of this many guys go through life without the ability to attract a woman. Here are 15 tips to help make sure you aren’t making mistakes...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kuepusha kasheshe kuchunguzana na ugomvi wa uzushi Kwenye mapenzi kwa nini msioe au date your best friend?
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Jamani mapenzi matamu kweli kweli.sasa sijui huyoo mama wa hicho kichanga alibakwa,alikuwa mapenzini na njemba likakataa mimba ama vipi?Adi inafikia hatua ya kuzaa na kuamka kukachimbia katoto na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu zangu wapendwa wana jf naombeni msaada wenu wa dhati maana ninyi ndio marafiki zangu wa karibu sana. Kuna kipindi nilikua na marafiki wengi sana nawalikuwa na upendo wa dhati kwangu...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
Hakika kati ya mambo magumu yanayoweza kumkabili mwanaume ni kumwambia mkewe/gf/hawara kuwa 'its over'. Pamoja na kwamba kichwani mwako mwanaume unaweza kukata shauri kuwa huyu mwanamke hanifai...
2 Reactions
139 Replies
7K Views
Back
Top Bottom