Kundi la wake za watu walikuwa kwenye semina kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa. Muwezeshaji akauliza, wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikono. Akauliza tena, Mara ya...
Wapendwa,
Something to cheer you up..
Kundi la wake za watu walikuwa kwenye semina kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa. Muwezeshaji akawauliza, Wangapi wanawapenda waume zao? Wote...
Kuna tabia ya baadhi ya watu ambao ni wanawake kwa wanaume kutelekeza familia. nakuacha familia ikiwa inateseka. Chanzo ikiwa ni hali duni ya maisha,kukimbia majukumu n.k
Mimi naamini katika...
cacico i don't want to imagine how difficult it is for the loss of your beloved grandpa.
so far knowing the condition of our lovely mom and now she is facing this its hard to believe.
But what...
Upuziiiiii na fikra mbaya za madada zetu!!!!
Hivi huu usemi utaisha lini kwa dada zetu wa tz??? Sijui ni kuiga kutoka ulaya usemi ambao hata sijui wanachokisema wanakijua!!!
Siku hizi imekua...
Takribani miaka minne toka walipo achana na kuvunja kiapo chao cha kuto saritiana. Kutokana na kuvunjika kwa kiapo chao, wote wanapatwa na tatizo la ugonjwa wa akiri, ikabidi wapelekwe na familia...
Natamani michango mingi itoke kwa wadau walokwisha kuoa na kuolewa, bachela pia mnaruhusiwa ila kipaumbele ni walio ndani.
Tafadhali msiweke masihara mengi wanaMMU
Mokoyo
Nimejikuta nasema hivi kwa sababu yamenikuta.
Nilifahamiana na msichana fulani kutoka mikoa ya kanda ya kati, ni mwanasiasa, ni mzuri sana, msomi, na machachari sana. she is very bright. Katika...
It is Monday again!!!!!!!!!!!!!!!!
Salaaaaaaaaaaaaaaam kwa wote.
Hi kweli ni fair? hapana jamani nyie SHE this is too much!!!!!!!!!!!!!
Home kuna ka sherehe hivi......tumealika wageni kama...
mwili wa marehemu daniel mwasalemba 30 ukiwa umelala kwenye majani baada ya kutolewa ndani marehemu amechomwa visu kisa ni ugomvi wa kugombania mwanamke aitwae elizabeth michael
mnamo tarehe...
Katika maisha yangu ya kupita huku na kule nilifanikiwa kupata watoto wawili na mama wawili tofauti,watoto wangu wamekuwa mmoja yupo secondary na mwingine primary,huduma zote za watoto wangu natoa...
Hey! kwa wote wa humu ndani ya mmu
Nimefurahi tena kuwepo nanyi kwa muda huu kwani kipindi cha juzi kati nilipatwa na msiba ambao ulinifanya niwe na huzuni kwa kuondokewa na kipenzi changu...
Habari wanajamvi wenzangu
AWALI YA YOTE WANAJAMVI WENZANGU NIMEINGIA TENA KIDIGITAL NA SIO KIANALOGIA KWA KUWAPA SOMO HILI HAPA, NAJUA KWA WALE WALIO MAKINI WATAFUNDISHIKA ILA KWA WALE...
I post new topics rarely but on Friday 8, 2013 changed my life. My heart was destroyed and I cannot mend it this time, or perhaps I don't want to. First time I wanted to scream bloody murder.
I...
Habari za jumapili wanajamvi?? kwa upande wangu mie iko pouwa namshukuru muumba kwa hilo. kubwa nalowasilisha siku ya leo ni kuwa hapa mitaa ya home kuna jirani yangu mmoja ana mke na mtoto 1...
habari wana jamvi wenzangu
Nina masikitiko na simanzi kubwa ndani yangu kwani nimeondokewa na kipenzi changu mwanangu wa ukoo.
Kwa taarifa hii ya jana iliyonishtua na kunipa simanzi zisizopimika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.