Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu Leo nataka nitoe maada ambayo ntaomba na nyie mchangie ili kuipanua na kuifafanua zaidi ili pamoja tuweze ku-fill the puzzle na kujifunza (of course najua kuna baadhi ya nutcases (kama...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Kizungumkuti cha vijana hawa kujimaliza kimchezo mchezo kiliazishwa na Dale Crole kijana wa umri wa miaka 18 ambaye alijimaliza kwa kujinyonga katika jumba bovu hapo mnamo Januari 5, 2007. Majuma...
11 Reactions
24 Replies
3K Views
  • Closed
Hi Guys! Niende direct kwenye mada, mie ni mgenu humu jf, baada ya kujiunga na kuukubali huu mtandao nikawa na hamu ya kujua historia yake. Katika peruziperuzi zangu ndo nikakutana na habari za...
5 Reactions
98 Replies
6K Views
Nina mpenzi wangu lakini kabadilika sana siku hizi hapo awali tulikuwa tuki do katika njia halali but now dayz simuelewi kabisa anataka tufungue ukurasa wa pili so nifanye nn wandugu.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wandugu suala la kuoa sio mchezo maana hii ni practical experience naitoa , kuna watu sasa hivi hawapokei simu zangu kisa mchango wa harusi jamani mhm. Nishaurini jamani
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Kama nitakuwa na-offend kundi fulani la watu, naomba msamaha mapemaaa... Yupo mdada mmoja ambaye kwa anavyofahamika, ni mlokole 'toka utotoni'. Baada ya kutumia gia kadhaa zinazotumika katika...
1 Reactions
78 Replies
5K Views
...tangu mchipuko wa mitandao ya jamii kuibuka sambamba na teknolojia ya huduma ya internet kupatikana kwenye simu za mikononi, binafsi nishahadithiwa, kusoma na kujionea mipasuko ya ki mahusiano...
7 Reactions
176 Replies
13K Views
One day i met with the most beautiful lady, it was amaze! then i told the lady: I LOVE YOU NOT BECAUSE OF WHO YOU ARE BUT WHO I AM WHEN I AM WITH YOU, she laughs and close her eyes......... She...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Waungwana nini sababu ya PETE ya ndoa kuvikwa kaika kidole maalum, kinachoitwa kidole cha pete? au hii ni katika hali ya kuiga ustaarabu wa wenzetu wa magharibi? Wachungaji Mapadre na Mashekh na...
0 Reactions
42 Replies
16K Views
Saikolojia inaonesha kati ya mwanamke na mwanaume kuna jinsia moja kati ya hizo huitamani jinsia ya mwenzake! Wewe unafikiri kungekuwa na uwezekano wa kubadili jinsia kati ya mwanaume na...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Ni mara mbili moja ikiwa ni kwa kusikia huku mara ya pili nikiwa karibu kabisa na eneo la tukio. Huyu wa kwanza alikuwa kijana wa miaka kati ya 30 na 33 namfahamu tulikuwa tunacheza naye mpira...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jinsi Ya Kumfurahisha Mkeo 1. Mapokezi Mazuri Baada ya kurudi kutoka kazini, skuli, safarini, au popote pale palipowatenganisheni: • Anza kwa maamkizi mazuri •...
0 Reactions
51 Replies
19K Views
Kuna jamaa yangu amekuja kuniomba ushauri kuwa afanyeje maana kampigia dem wake cm ili watoke out thn huyo dem kumjibu mshikaj kuwa nitakuwa busy so itakuwa ngumu kutoka .Ndipo mshikaji kaamua...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf. Mwenzenu wifi yangu ananishangaza na nashindwa kumsaidia. Ana msichana wa kazi ana miaka 20, huyo msichana sio kwamba katulia kivile anapenda umbea na akisikia jambo lolote...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
jaman naomben mnishauri bila kunijibu vbaya naomba tena sana. mimi ninatatizo ya kukojoa pindi tu ninapoingiza uume wangu kwenye uke wa mwanamke pale nnapofanya tendo la ndoa. nmejitahid kufanya...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Inasikitisha na kutia uchungu ni kwa nini hasa watu wanakataa suluhisho na kuamua kuishi katika ndoa iliyokatika siku nyingi, ukiwakuta mchana ni kama mke na mume tena wastaarabu kupindukia kumbe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kukutana mara mojamoja kwenye mgahawa, kwenda naye out, na vile anakuja kwako na kuondoka haitosh kumjua vizuri hasa kitabia huyo unayetaka awe mume/mke wa baadaye! Ukiishi naye chumba/nyumba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za leo ndugu zangu?? jamani nina rafiki yangu mmoja wa kike ( just a friend and nothing else ) ambae amekuwa na wakati mgumu katika kila uhusiano wa mapenzi aliowahi kuingia. Alikuwa na BF...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wanajamvi nadhani mm ni mgeni sana ktk jukwaa hili na uhisianao na mapenzi bila kukosea ila nafurahi kujoin na watu mbali mbali ktk kuelimishana na kukosoana na vile vile kupatanisha ktk...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wapenzi hamjamboni? Hivi inakuwaje jamani hata tukakumbuka yale tuloyatapika, tena watapika huku umeziba pua kwa kinyaa, ilihali matapishi hayo yatokea ndani yako???? Nawaza tu kwa...
5 Reactions
31 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…