As today is 13th September, the day u joined in JF, I would like to wish u a happy birthday for being here in JF.
Enjoy the day, much love and ever remaining,
Sakapal
Haya! Visa vya mapenzi makazini: Afisa Uhamiaji atishia kumchoma kisu mfanyakazi wa Idara yake13/09/2012
0 Comments
AFISA Uhamiaji Mkoa wa Mara, Jacob Sambai anadaiwa kumtishia kwa Kumchoma...
Habar zenu wana JF
mm n kjana mwnye umri wa miaka 22, kwa bahati mbaya au nzuri nmetokea kumpenda mschana ambaye nmesoma nae na yeye pia ananipenda. Tatizo ni kwamba amesema hawez kuwa nami kisa...
wadau nimiwekaa hapa kama muathirika alivyoiweka nilikoitoa hivyo sikutaka hata kupunguza chochote.Samahanini kama nitakuwa nimkosea ila fuatilini kisa hiki cha ukweli halafu tujiulize kama ww ni...
There was a blind girl who hated herself because of being blind. She hated everyone except her boyfriend.. One day the girl said that if she can only see the world she will marry her boyfriend...
Wana JF kuna jambo ambalo linamtatiza jamaa yangu ambalo amekuwa akifikiri kwa muda mrefu bila ya kupata ufumbuzi, yeye amejaliwa kuwa na mke na watoto watano, lakini kati ya hao watoto watatu ni...
Huyu mmama ni jirani yangu wa muda mrefu sana,zaidi ya miaka mitano sasa, kwa kipindi chote hicho uhusiano wangu na yeye zaidi ya ujirani umekuwa ni salamu tu. Mwanzoni mwa mwezi huu nyumbani kwa...
Maana wamekuwa wakinichanganya kutokana na category na sifa zao kibaoloji kama ifuatavyo
( i) kunawengine wana matiti na uume tuu, hawana uke.
(ii) kuna wengine wana uume na uke na matiti kwa...
Ni zaidi ya miaka kumi sasa imepita tangu nishuhudie hii kitu kwa macho na masikio yangu mwenyewe. Rafiki yangu wa karibu sana alitokea kuwa na mapenzi makubwa sana kwa binti fulani, alimpenda...
Habari zenu wana Jamii forum,
Kwa kipindi kirefu sasa tumekuwa tukifuatilia tamthilia mbalimbali toka nje ya Tanzania yetu kupitia vituo mbalimbali vya Television. Hebu jaribu kukumbuka Lamuja de...
Yalinikuta leo,
Nikiwa home nimetulia huku nimefulia mara napokea cm kwa mdada kuwa ananihitaji kwenye mambo ya wakubwa yale, bt akasema atalipia kila ki2,bt poa ingawa moyo wngu ulisita bt...
Sio kwamba nawadharau watu wanaoishi nyumba za kupanga kwani hata mimi ndio niko kwenye jitihada za kutoka huko. Naamini ni ndoto ya watu wote siku moja waishi kwenye nyumba zao na ni ukweli...
Kila mtu ni mbaya kwako, kila mtu anakuchukia, wewe tu, kila mtu hakutendei haki, kila mtu ana kasoro?
Je wewe ndivyo unavyoishi hivi? Kama jibu ni ndiyo au kama una mtu wako wa karibu ambaye...
Nahisi na tabia za kike katika mapenz naomba nieleweke wanajamii!!
1.Napenda sana kusifiwa kama umependeza au hakuna mwanaume mzuri kama wewe Duniani.
2.Napenda sana kufarijiwa/kujaliwa mfano...
Hello Wanabodi,
Kuna mdada mmoja ambae amekua rafiki yangu kwa muda mrefu sana. Huyu dada tumekua tukifanya biashara mbalimbali za hapohapo (deals) pamoja kwa muda mrefu tu.
Ni kawaida...
Kwa uzoefu wangu kutokana na eneo nilikozaliwa na kukulia (Moshi) kuoa kumekuwa kukifanywa mida ya usiku tu.
Makubaliano ya uhamisho wa makazi kwa msichana kwenda kwa mvulana hufikiwa kati ya saa...
Kwanza napenda kusema kuwa,wakati najihusisha na masuala ya mahusiano sijawahi kucheat,so sikuwahi kujua sababu ya kufanya hivyo,kiumri nina miaka 3....So that nimeona mengi mpaka mimeamua kuuliza...
Nna miaka 26 binafsi nnahisi nna tatizo coz mind set yang inanambia mwanaume anenifaa ni mwny umri wa miaka 28-32 but kuna mvulana ananiaproach phyisicaly amequalify vigezo vyangu vyote but...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.