Wandugu,
Mwenzenu niliugua ugonjwa wa amoeba kwa muda wa miezi kama mitano hivi. Kama baadhi mnaweza kujua kwamba ugonjwa huu, ukishaingia kutoka kwake ni kazi sana. Ilikuwa nakunywa dawa mara...
1. wanaume wanapenda uhusiano wa kirafiki, wa kumaliza haja yake aende kwake.
2. wanapenda wakiwa na uhitaji wa ile kitu basi iwepo njia rahisi ya kuipata, kama kutafuta mwanamke na kushiba.
3...
Nafikiria kuishi single sitaki kuolewa wala kupenda mwanamume kwa moyo wangu wote kwa lengo la kutoumizwa tena. Kiasi nilichoumia kinatosha na leo nina furaha maana niko huru.
Naelewa nitahitaji...
Nimekaa katika nyumba ya kupanga huu mwaka wa nne. Na nimekaa kwa amani sana. Miezi mitano iliyopita kunampangaji mpya kaja jirani yangu, yeye ni mwanamziki fulani hapa nchini.
Mimi huwaninachoka...
Good day JF. nlikuwa ninapitapita online nikakutana na hii stori. I lol'd and decided to ask wanajamii kama ina ukweli wowote. as usual keep it clean plz no matusi nk, if u have a sensible...
Wana jf,leo nimekumbwa na mkasa,ni hivi nikiwa chumbani na mke wangu sim yake ikaita kwa bahati nzuri nilikuwa karibu nayo namba yenyewe imeandikwa my smile nilipo muuliza akaniambie eti ni rariki...
Rafiki yangu alikuwa na mpenzi wake kipindi anasoma secondari...alimpenda sana!ijapokuwa ilikuwa ni distance love ikifika likizo lakini rafiki yangu hakuthubutu kumsaliti mpenzi wake!aliamini...
ilikuwa tarehe 21.08.2012 nlipotoka job, wife alinipa taarifa kuwa mdogo wangu wa
kike (mwenye salon ya kike kimanga) alimpigia simu kuwa amepata msichana
na atakuja nae home jioni akifunga...
Jina langu: mathew Umri wangu: 21 Natafuta: marafiki wa kuchati nao Umri : miaka 18-150 nakuendelea. Jinsia : MSICHANA/MVULANA. Napenda: marafiki wa kuchati na kubadilishana
mawazo, pia...
Wandugu,
Mwenzenu niliugua ugonjwa wa ameoba kwa muda wa miezi kama mitano hivi. Kama baadhi mnaweza kujua kwamba ugonjwa huu, ukishaingia kutoka kwake ni kazi sana. Ilikuwa nakunywa dawa mara...
Yaani mnamkuta mdada.. Asubuhi akiamka yuko Bar anakula supu mchana Bar tena chips jioni yuko ktk pedicure n manicure anajiandaa na mtoko. Usiku ukiingia yuko Bar tena nyama choma na bia. Sasa...
Heshima mbele wana JF na mapumziko marefu ya weekend and eid el fitr,naomba kuongeza upeo tu kupenda kujua kwa wapendanao au walio ndoa kwa jinsia zote utajuaje kama mwenza wako ametoka nje ya...
Wanawake wanamegwa na midume hovyo akiona hapati mtoto kutoka kwa mume wake wa ndoa.
Chanzo cha jitihada hizi ni kukwepa lawama kutoka kwa mama mkwe na mafiwi.
Pia wanaume wengi hawako tayari...
Jina langu: mathew Umri wangu: 21 Natafuta: marafiki wa kuchati nao Umri : miaka 18-150 nakuendelea. Jinsia : MSICHANA/MVULANA. Napenda: marafiki wa kuchati na kubadilishana
mawazo, pia...
Jamani kisa hiki ni kwa ukweli napia kinahitaji sana ushauri wenu kabla ya kuchukua hatua maana tusipoangalia maisha ya huyu kijana ambae ni mdogo wangu yanaweza kuwa hatarini
kuna kiongozi...
Wapenzi wa JF, nimeamua kushare nanyi kisa hiki cha ukweli kuhusu yale yaliyonisibu usiku wa kuamkia leo. Nimekuwa na huyu mchumba wangu kwa zaidi ya miaka 2 sasa. Ni kijana msomi, mtanashati...
Nakumbukuka sana tabasamu lako siku za mwanzo liliweza kabisa kutibu magonja yote niliyokuwa nayo hata bila ya Dr.
Nakumbuka tulivyokua tunatembea tumeshikana mikono huku tunapiga story nzuri za...
Mu-hali gani wana MMU, mie hapa buheri wa afya,
Juzi kati nilikuwa maeneo flani, meza iliyofuata waliketi watu wanne. Kati yao walikuwa wanawake wawili na wanaume wawili. Ni watu wa makamo hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.