Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Katika mahusiano ya kimapenzi,je nivyema kuanza na mahusiano ya kingono kisha baadaye mipango ya kufunga ndoa.Au mipango kwanza kisha tendo baadaye?.Nawasilisha.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Talaka huumiza kuliko kifo, hata hivyo kwa baadhi ya wanawake walioolewa sasa wanaona talaka ni uhuru na maisha. Hujiona wao young and beautiful, hakuna mtu wa kumwambia fanya hili au kile, no...
9 Reactions
79 Replies
5K Views
Laazizi wangu wa moyo pokea ua hili ni ishara tosha mi nakupenda nimekuzimia na kukudondokea.
1 Reactions
1 Replies
4K Views
PAIR ADIMU Mhindi na Mswahili Msomali na Mswahili Mhindi na Msomali Mzungu na Mwarabu PAIR KAWAIDA Mswahili na Mswahili Mzungu na Mswahili Msomali na Mwarabu Mwarabu na Mswahili Huwa najiuliza...
0 Reactions
124 Replies
15K Views
Jana nimesikiliza simulizi ya dada mmoja kwenye kipindi cha njia panda cha Clouds Fm. Sababu hasa iliyonifanya nikisikilize ni yale matangazo yaliyokuwa yakikitangaza kipindi hicho kuhusu mwanamke...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuonyesha too much cleavage sio sexy hata kidogo na inapunguza mvuto. Kuonyesha kidogo tu ndio yenyewe, kwani tunahitaji kuanza kutumia imagination yetu!!!!!!!!
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndio, baada ya kutafakari sana mmeamua kuvunja mahusiano, kwamba hakuna mapenzi kati yenu na tofauti zenu ni kubwa. Mmoja kwenye mahusiano (Tumwite X) anajiona yeye ndiye yeye........Kifupi ujeuri...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Kila mmoja anajua namna vile ambavyo zile hadithi za hovyo za kudai kuwa mtu mweusi eti amelaaniwa na hana akili (inakera sana hii) zilivyoshamiri na kuathiri makuzi yetu,ndo maana ukimkuta...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Josie alinusurika................. Josie alivyo sasa... Josie akiwa na baba yake Familia ikiwa pamoja, Lin, Megan, Russell na Josie....Megan aliuawa na mama yao Lin naye aliuawa Josie akiwa...
16 Reactions
25 Replies
5K Views
Kwa mwanamke, ni nani aliye na mamlaka ya juu kwako kati ya Mume au Baba yako mzazi? Kwa mwanaume, ni nani mwenye kipaumbele kwako kati ya Mke au Mama mzazi? Toa sababu ambazo mmoja anamzidi...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
About one in seven residents of Madagascar’s main port city of Toamasina are sex workers. In less than 20 years, the number of registered sex workers in the city of about 200,000 residents has...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Zimbabwe’s Prime Minister Morgan Tsvangirai on Saturday circumvented a court ruling blocking his wedding after an ex-lover tried to stop the union. Tsvangirai, 60, dressed in a black suit and...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kuwa na uhusiano na binti mmoja,alikuwa na miaka 20,alikuwa mnene kidogo,..tatizo lilikuwa yaani kwa uzoefu wangu wa kipindi hicho na mpaka sasa siwezi kujua kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ni last week tu nimetoka home kuja huku ninako hangaikia maisha ya famila!jana nimeongea na wife kwa skype hadi saa 4 usiku!!asubuhi napigiwa simu na namba ya jirani 'nipigie mimi mkeo usiku...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
ikiwa wewe ndo baba/mama, unatoka kazini, ukiwa hoi kutafuta chakula na ada ya mtoto wako wa kiume mmoja tu uliyejaliwa, na baada ya kumpata, uliapa kumlea na kufight kuhakikisha anapata elimu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
A couple had only been married for two weeks, but the husband, although very much in love, couldn't wait to go out on the town and party with his old buddies. So, he said to his new wife...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
kwako leo najitosa, yamoyoni kuyasema nitajitenda makosa, kama nikikaa kimya kwangu wazidi kipusa, wa-watoto wangu mama Hongera mke wangu, siku yako kuzaliwa wazidi nipa hamasa, siku...
0 Reactions
21 Replies
13K Views
Hivi sasa nikiangalia, naona watu wengi wasio na furaha ni wale wanaojaribu kushindana na hali halisi. Mawazo yao iwe wanajua au hawajui huwaambia kwamba wanaweza kuthibiti hali halisi. Ukweli ni...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
my Naïve Hapa ni mjini zoba mazoba tumejaa, wivu wa kutosha hawawatoto wanachanganya sana, Huyu binti mmoja namfukuzia miaka mingi sana
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom