Tulikuwa na wasichana wawili wa kazi na mmoja aliondokaga akabaki mmoja; hivyo tukawa ktk harakati za kutafuta potential replacement ili wawe wawili.
Here comes the story part I.
Jana...
Kesho ni jumamoc nataman mida ya jion kuwatoa mke na mama yng mzazi na nta2mia gari yang je nan atatakiwa kukaa mbele kati ya mama yang na mke wang. . . . ? ? ?
A few years back, while I was still a young beauty, it was almost unheard of for me to walk for more than 100 meters without getting piercing stares from boys around my neighborhood or that...
dah huyu x atanifanya nicheat wakat mm ctak...mpnz wang yupo mbeya huu mwez wa3,na kuonana majariwa mana tulikua chuo k1 ye ndo amemaliza ths year...
huyu x yupo wote dsm na tunasoma wote chuo...
Nashangaa mama mdogo ananichukia bure, tena hakuna kosa nililomfanyia lakini hanipendi tu Je, wewe nawe umekuwa miongoni mwa watu wanaodhani unachukiwa bure?
Achana na hulka hiyo, hebu tambua...
jamani wanwake ni kweli kuwa mizinga ni sehemu ya mapenzi kwa mwendo wa sasa lakini ebu ngojeni kwanza sio mizinga siku ya kwanza tuu....unapo mpiga mzinga mwanaume siku ya kwanza ni sawa na...
Mwanamke shepu bana haswaa linapo kuja swala au mpango mzima wa mapenzi.
Hata kama unakashepu kakuzuga basi piga pamba ambazo zinaweza kuonyesha kashepu kenye mvuto.
Unakuta n'tu ana miguu ka...
Naomba ushauri wenu wana jf. Niko na mchumba sina muda nae sana ninamiezi nae mi3, huyu mchumba aliniforce sana kuleta barua kwe2 nikamkubalia, sasa ninasikia v2ko vyake vngi nimeckia alikuwa na...
Husband Caught on Facebook with Second Wife Pleads Guilty to Bigamy
Facebook's "People You May Know" section can be a helpful tool to connect people to potential friends on the social media site...
kuna siku nilipost hapa kuomba ushauri kuhusu mahusiano yasiyo rasmi niliyotaka kuyaanzisha na bwana mmoja hivi ilisomeka hivi in red
Nimekosea ? Nipo sahihi? Please help
Since nimeona ni...
PENZI SALAMA Ndugu zangu akina kaka Wenzangu nataka tujifunze hili leo.
Mwanamke anapenda kupendwa! Mara nyingi wanawake ndiyo hasa huwa na mapenzi ya dhati zaidi kuliko wanaume. Mwanamke...
Wiki hii Wanasayansi wamekuja na utafiti wenye manufaa kwa wengi.
Watu wengi, sio wanawake wala wanaume huwa na matatizo ya unyumba lakini hawasemi. Hujitangazia ushujaa wa...
MAMBO 5 YA KUEPUKA MARA TU UNAPOCHUMBIWA
Kuna mambo kadhaa ambayo msichana anatakiwa kuwa makini nayo katika kuhakikisha uchumba wake unadumu na kufikia hatua ya kuolewa na kwenda kuanza maisha...
Kuna rafiki yangu ameniambia kuwa anapata tabu ya kutafuta loose ball kwa kuwa mkewe hataki kucheza mechi kwa kuwa mtoto wao anaumwa malaria..., nikashangaa nikamuuliza kwani mtoto akiumwa kuna...
Umri miaka 35 kwenda juu hajawai kuoa ,ana watoto mama mbalimbali(hawezi kutulia na wewe)
ndo kamaliza chuo hana kazi na wewe una kazi(hapo anapooza machungu ya maisha hakuna love)
anajiona...
Wasalaam JF!
Wandugu kuna mdogo wake shemeji yangu yupo home, admittingly jaman huyu binti NAMPENDA kuliko maelezo, nikimwona na awapo karibu najisikia vizuri sana! na ananichangamkia kweli na...
Pengine ni ukosefu wa ufahamu
sisemi wewe la hasha shetan ndie src ya kutufumba macho tusione mbele
pengine umekuwa na mwanaume ama mwanamke wa aina hiyo apo juu
binafsi usikimbilie tu kuomba...
...miaka iyo nasoma primary hadi nakuja kumaliza chuo kikuu hawa ndugu zetu walikua juu kwelikweli!!walibahatika kupata kazi nzuri yenye magendo ya kila namna..walitumia pesa ikawazoea hadi...
Wakuu nadhani baadhi yetu tushakumbwa na hii hali,kwanza ilintokea kwa ex-girl wangu ambapo alitaja jina la jamaa flani hivi,iliniuma sana tukajaachana,binafsi kila ninapocheat nikiwa kunako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.