..wana jamvi habarini za leo...!!!! kuna wakati fulani niliwahi kuomba ushauri hapa, nilikorofishana na aliyekua BF wangu..nashukuru sana wana jamvi ushauri wenu umenisaidia sana kwani kwa sasa...
habari tanzania....nimekua nikisoma sana posts nyingi sana za kuhusu wanawake...mara wadau wanasema hawa wa kabila hili wazur zaidi mara hawa malaya zaidi...mi nataka niwaaambie ukweli...
Ndugu zangu kwa muda sasa toka niusikie ule wimbo wa diamond nimpende nani nimekuwa na
hakika kuwa ameiba mapingo ya nyimbo ile kutoka kwa mpiga tarumbeta yami sax. Naomba
muusikilize huu muziki...
Habari! Kwa heshima na tahadhima nipo mbele yenu ukiwa/mkiwa kama mdau/wadau wangu wakubwa ufanikishae mambo yangu mengi kwa namna moja hama nyingine, nina kazi naomba niwashilikishe mnisaidie kwa...
Wana JF sijajua sehemu ya kuipost hii thread. Jamani kumetokea wezi kwenye simu. Utabipiwa namba inayoanzia +88 ndugu usijaribu kupiga maana hata kama una sh 100000 kwenye simu yako itaisha pale...
I am looking for a woman aged between 28-35 years, with no child before, minimum education collage, Christian who is interested to have a child, and good back ground. Level of income doesnt...
MKE ANAYEKUZIDI UMRI
Kwa kuwa mimi ni Mkristo labda nianze Kwa ku-quote maneno ya biblia Kwenye kitabu cha Mithali 24:27 inasomeka ''Tengeneza kazi yako huko nje, Jifanyizie kazi yako tayari...
Wana JF haya ni baadhi ya madhara ya kujichua kama unayo na wewe umaweza ukatushirikisha.
1. Mtu aliyezoea kujichua huwa anaathirika kisaikologia wanapokutana na mwenzi wake huwa hapati raha...
awali wanawake na wasichana ndo tulizoea kuwaona waki pambana na cosmetics lakin saiv kibao kimegeuka almost nusu yao wanawapiku female shangaa wanaume wanatumia carolite wanapaka lipshine...
Habari zenu wanajamvi,
Katika familia yetu mimi ndo nilifanikiwa kuendelea na masomo ya elimu ya juu, wengine waliishia std 7 na wengine form four, japo kwa sasa wengine ni wajasiriamali na...
Nilikuta wanaume wanazungumza kwamba ukiwa Tanga na ukatongoza wanawake wa huko kama amekupenda au anataka kukulia hela, hata kama ameolewa atakwambia kwamba hajaolewa/hana mwanaume. Je kuna...
Jamani wiki ya pili sasa tangu nikutwe na mkumbo huu mh huwezi amini mtaani kwetu kuna sugar mamy linanitaka je kuna shida nikitoka nalo naombeni ma advice nini.
ivi kwel ni sawa kwa wapenz kuvaliana nguo za ndan et kisa they a totally in lov he mbona n vioja unapanda daladala unashanga mwanaume mzima amevaa bikin mbaya zaid amevaa kata k unaweza ata...
Wapo ambao wakiona picha hii wata umia,na wapo watakao furahi
kutokana na status ya mahusiano yao na wenzi wao.
Sijui wewe uko wapi,kama uko A,B au F una fanya nini
ili usifike kwenye C,D,E,G,H...
wapendwa wa kuu wa kaya hi,nawasalimu...week kama mbili hivi nilipata uwamisho wa kazi kwenda tanga,ikwa vile nilikuwa bado sijapata makazi nilifikia kwa uncle wangu,na kweli nilikaribiswa vizuri...
Boy with Down's Syndrome chosen as new M&S model
Proud mum hopes other her four year old son, who has Down's syndrome, will help other parents feel less isolated as he models for Marks and...
Nilikuwa safarini China ndio nimerudi hapa Bongo.Niko mpweke sana natafuta msichana mrembo asiwe mnene sana umri kuanzia miaka 21-35 wa kula naye starehe weekend hii kuanzia Jumamosi tarehe 15...
ni asubuhi njema tu,ghafla napokea simu kutoka kwenye namba nisiyoijua
mazungumzo yalikuwa kama yafuatayo
Mpiga simu!:nenda muhimbili kachukue mzoga wa mume wako
Mimi:mbona sikuelewi
Mpiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.