Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
In vitro fertilisation (IVF) Hii ni njia ambayo inatumika kupata mimba kwa wanandoa ambao wanamatatizo ya uzazi. Mara nyingi tatizo linakuwa kwa mwanamke hasa anayekuwa na tatizo la kuziba kwa...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Jamaa alikuwa bize anafanya mazoezi kando ya barabara, baada ya jogging na kuruka kichura akaamua kupiga push up. Wakati anaendelea na push up, mlevi moja akiwa njwiii akamsogelea na...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
hivi ushagundua kuwa yale yanayofanyika wakati wa kufunga ndoa au sijui ndo kurudi kundini hayana uhalisia wowote!! Kutokana na research isiyo rasmi nimegundua kuwa 90% ya ndoa hizo yaliyofanyika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wana jf jaman naomba kuuliza ii love at the first sight kama ni applicable?kama ni applicable je wewe ishawah kukutokea?in what way?maana mi naona first unamtaman mtu then kumpenda...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni jambo la kusikitisha kidogo lakini ndiyo ukweli wenyewe. Leo asubuhi nimetoka Bagamoyo kuelekea Jijini,nikiwa kwenye shughuli zangu za kawaida za kibiashara,baada ya kuona nimeshindwa kumaliza...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Nimekuwa nikifuatilia comments za wana JF katika maswala ya mahusiano (Mapenzi), mara nyingi wanatoa ushauri wa kwenda kupima kabla ya kuanza kushiriki katika swala zima la ngono, Je wewe ulienda...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama maradhi ya kupenda kupitiliza......Usipomuona unayempenda unakuwa kama umejeruhiwa. Duh..kwa kitendo cha hawa jamaa kuadimika hewani kwa zaidi ya masaa 6 nimekosa raha tena wikendi hii...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Ninae mpenzi wangu ambaye tumekuwa kwenye uhusiano katika kipindi cha miaka miwili sasa naTunapendana mno. Nimefanikiwa kupata nafasi ya kwenda kusoma Degree ya pili nje ya nchini Canada...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Maneno 4 NAKUPENDA, NAKUHITAJI, SAMAHANI na ASANTE Kumpata Mwanamke kimapenzi. Imebainika kwamba, wanaume wanaposaka wapenzi, huwa tayari kutii masharti wanayopewa na upande wa pili. Utii huu...
0 Reactions
25 Replies
38K Views
Mimi maiwaifu wangu akisema "mume nina hamu sana leo nataka unit.... mbe" huwa napata nguvu sana na muda si mrefu naanza kupanda mlima.
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Ndugu wadau naomba ushauri. Mimi ni muajiriwa na nina kazi nzuri tu .umri wangu ni miaka 37 elimu yangu ni ya chuo kikuu nina degree 2 (masters) . Kutokana na sababu binafsi nimechelewa kuoa na...
0 Reactions
96 Replies
7K Views
Chagulaga ni neno la kisukuma lenye maana ya chagua. Hatuwengi sana wamekuwa hawaelewi nini hasa maana ya hii tamaduni. Naomba japo kidogo niwaeleze ukweli wa jambo hili. Kwa wale ambao hamjawahi...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Nlikua na mahusiano na binti mmoja ivi wa kimasai tangu 2008 mpaka mwaka huu kwenye mwezi april hapo ndipo mambo yakaanza kwenda hovyo,mi nlikua kazini ye kipindi icho ndo alikua amemaliza kidato...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hatak tukutane! Ahad za uongo kila day
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika mzunguko wa maisha, nilibahatika kukutana na binti mmoja ambaye taratibu tulianza urafiki wa kawaida, kutokana na mfumo wa urafiki wetu ilifika mahali tukakubaliana kuanzisha uhusiano wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nina mchumba ambae yuko Arusha na Mm nko Dsm huyu. Katika uhusiano we2 2meahidiana mambo meng sna lakn nahc kuwa hayatotimia kwan mchumba wng amebadilika sana. Mchumba wng amekuwa anatabia ambazo...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habarini wapendwa natumai wazima ndo tunaanza wikiend,sasa leo nlikuwa nataka tujadili kwa pamoja faida na hasira za mume na mke kulala kitanda kimoja na chumba kimoja,kwa uchunguzi wangu mdogo...
1 Reactions
42 Replies
11K Views
“Being deeply loved by someone gives you strength, while loving someone deeply gives you courage.” - Lao Tzu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mi na mke wangu tuliamua tusile tunda la hedeni mwaka mzima wala usione vitu vya mwenzako. Kila mtu avumilie mpaka mwaka uiishe. Sasa mwezi umepita nahisi kama miaka 2, uzalendo unanishida. Hii...
0 Reactions
79 Replies
6K Views
Wana JF naomba kuwasilisha mada yangu leo ili tuijadili kwa kina labda tunaweza kupata ufumbuzi tahdhari mada yangu haijalenga din. ni kwamba mtu unakuta ana wake wawili anashi nao kila mke...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom