Love is the phenomenon that everybody knows; however, unfortunately just very few people who do it perfectly. May be it's due to the fact that Love entails human beings who have often been...
Hivi unafahamu ni kitu gani kinaweza kumfanya mume wako au mke wako kuwa na mood kwa ajili ya sex?
Watu wanaofahamu hii sanaa wanasema kuna mambo 4 muhimu ambayo yanaweza kumfanya mke au mume...
:A S-heart-2:
Hii ni moja ya sifa au tuseme ''title'' iliyokuwepo kwa kitambo sasa. Nyimbo nyingi zimetungwa juu yake na watu wengi wamehusishwa nayo.
Lakini je ni mtu wa aina gani kuwa na sifa...
Habari Zyenuuuu!
Kama Kawa kama Dawa mimi niko Gado! Naendeleza kumtumikia Kafiri katika kutaka kutoka kimaisha!!!
Leo bana naomba niwaulize maoni yenu! Binafsi kuna wanaume wananipendaaa, they...
Wadau nimewahi kupost uzi wangu wa kutafuta mke hapa bila kuweka vigezo ila hadi sasa hakuna mafanikio yoyote.Sasa kwa mamlaka ya hisia zangu na moyo wangu naomba nirudie tena na nitangaze nia...
Hata katika kuelekea kujenga uhusiano imara kunahitaji subira.....
Ralph Waldo Emerson, mkongwe wa ufahamu, aliwahi kusema. Fuata mwenendo wa maumbile, siri yake ni subira. Subira hiyo yaweza...
Tuseme wewe ni mwanamume na watafuta mchumba , kitu gani utakachoangalia kwanza kabisa?. Yaani kivutio cha kwanza ni kipi? Utavutiwa na nini au sehemu gani ya mwanamke...
Nina miaka 35, sijawahi kupenda wala kuumizwa ktk mahusiano, huwa nashangaa sana naposikia mtu anampenda sana mke/mpenzi wake wakati mimi huwa hisia hizo sizipati hata nikijifanyisha haziji. Binti...
Vingiri vingiri vingiri vingiri kuvingirisha mauno kwa speed kali ni kwa furaha ya wewe unayezungurusha au ni jitihada za kumfurahisha mwenzio mchezoni? Ok, kama ni hivyo jaribu kusoma spidi ya...
Athari unazoweza kuzipata ukiwa katika uhusiano na mke/mume wa mtu.
Siku za hivi karibuni kumekuwa na mtindo wa watu kutoka na wake/waume za watu. Tatizo hili lipo zaidi kwa wanawake. Bila aibu...
Ni muda mfupi tangu nimuoe mke wangu na tumebahatika kupata mtoto wa kiume mwaka jana. Tatizo ni kuwa,muda huu mke wangu kaongeza mapenzi kwangu ila mimi simpendi tena kama ilivyokua zamani na...
Baaada ya kukata mawasiliano ya tendo la ndoa na mke wangu kumuadhibu kwa kukorofishana na mama yangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wa kumliwaza kwa hasira niliamua kuamua kula...
Habari zenu wadau
Juzi tulikuwa tunazungumza na mpenzi wangu katika maongezi kuna story nikawa namsimulia then nilipomaliza akaniambia "hivi we utajisikiaje endapo mtu unaempenda...
Condoms,zipo za aina nyingi sana.
Zipo za sh.100,200,500,1000,2500 etc.
Wengi tuna zitambua kwa bei zake,lakini ni kweli kwamba zote zina kusudio
moja (kukukinga na STDS na Mimba?)kwanini...
Habari za jioni,
Leo nimeona nijiachie kwa stail hii,
nimevumilia sana nimechoka, nilianza mapenzi miaka mingi iliyopita, nikiwa dsr la 6, sikuwa najua raha yake pamoja
na kutembea na...
Habari wana jf, mimi huwa napata kigugumizi pale ninapoona mtu ananyanyaswa na mpenzi wake alafu bado anamng'ang'ania, inaniumiza zaidi pale anapokuja kulalamika kwangu kuhusu mpenzi wake...
Kutokana na sababu zilizo "ndani" ya uwezo wangu,nafurahi
kuwatangazi ndugu,jamaa na marafiki wote ninao wafahamu na wale
nisio wafahamu kwamba:-
1.Sitashiriki katika kikao chochote cha harusi...
jamani leo nimeyasikia mambo ya ajabu hapa kijiwen.
kuna kijiwe ambacho mie hupenda kukaa jion ili kupata moja baridi. sasa leo nimeiskia hii na ni kweli imetokea kabisa na muhusika kajifungia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.