Niajeeeee Wadau!!!!!
Hahahahaaaaaaa!!!! LOLEST!!! Leo nimecheka kweli japo ni jambo la kusikitisha! Japo sikuwa na nia ya kuileta hii stori humu, ila wadada wa mujini inabidi muijue mjihadharii...
habari zenu wapendwa,
binafsi hili ni swala ambalo nimeliona likitokea ila sijalipatia jibu. Sijui kama lilishajadiliwa humu au la na kamchina kangu hakawezi kusearch.....
Ni hivi inakuwaje...
(and make yourself feel good!)
Call an old friend, just to say hi.
Hold a door open for a stranger.
Invite someone to lunch.
Compliment someone on his or her appearance...
Nipo katika ofisi mpya, tumetokea kumpenda mtoto wa kihindi mzuri kwa kweli anavutia.
Msaada kwa mwenye uzoefu wa watoto wa namna hii. Mbinu nipeni nimpate.
Wakuu,
Hebu na tu shee Experience zenu especialy nyie wenye wake wanaofanya Kazi namna Pato linavyokuwa Distributed Home.
Nataka ku Draw Bonge moja la Conclusion hapa Kwangu
Baba mmoja alikuwa ofisini gorofa ikawaka moto
aliporudi nyumbani akamhadithia mkewe jaman yaani nisingekuwa hapa mke wangu
gorofa letu limeungua lootee wamekufa woteee nimepona mie tu mke wangu...
Girl: Honey??
Boy: Yes, sweety??
Girl: Honey, i like this shoe a lot but
i forgot my
wallet
at home, could you pliz give me Tsh 20000 to buy it?
Boy: There is no Atm close here
but take this Tsh...
Mimi ni mfanya kazi katika ofisi moja iliyopo hapa mkoani,jirani na ofisini kwetu kuna ofisi ya serekali kutoka na ushirikiano uliopo wa hizi ofisi nimetokea kuzoeana na baba mmoja wa hiyo ofisi...
£40m for any man who can turn my gay daughter straight: Father's shock offer after lesbian wedding ceremony
Property magnate Cecil Chao Sze-tsung has offered the huge bounty to the man who...
Yupo mdada fulani ambaye alikuwa demu wangu before. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu ilibidi tuachane pale alipopata mwanaume mwingine, lakini tukabaki marafiki na watu wa karibu...
WEWE UNGEFANYAJE?by Boflo
Mdada mmoja mke wa mtu alikuwa akisumbuliwa sana na jamaa mmoja aliyekuwa akimtaka kila siku, hatimae akamwambia mumewe. Mume akamwambia mkewe, we kubali tuu, ila...
Nikiwa kama kijana ninaejitambua kwa maana nishakuwa mkubwa sasa kila kitu kinabadilika kutokana na UMRI unavyoongezeka so kama mwana JF mwenzenu nimefikia wakati sasa wa kuwa na mwenzangu ndani...
Ni neno Gani ulishawahi kumwambia mpenzi wako baada
ya sex(kufanya mapenzi) halafu akakakasirika au
kufurahi?
1)asante
2)sijatosheka
3)kesho tena
4)nisikuone tena kwangu
5)potea
6)next...
Naombeni mnijibu kwa kina
kwanini wanaume wengi wakitaka kumtongoza mwanamke siku hizi hili swali ndo no moja?
akikuuliza Jina lako swali linalofuatia Unafanya Kazi wapi? kama huna au jibu ni...
nina rafiki angu nasoma nae chuo ndo tunaingia mwaka wa tatu anatokea familia ya kawaida ila wazazi wake waliweza kumlipia ada mwaka wa kwanza then wakashindwa akapata mwanaume akamlipia ada mwaka...
Asanteni GTs Kwa maonyo yenu,nilichogundua kuwa wengi wenu munatoa michango kwa kuangalia fulani amecoment nn,last wk niliomba nielimishwe maana ya WIFE MATERIAL.nikaambiwa anatengenezwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.