Habari wana JF,
Kabla ya yoote naomba niwasalimu woote, wale tuliozoena tukututanapo hapa Jamvini, wale ambao ni wapya na wale wa zamani pia. It has been long kuja kujumuika hapa MMU hivo...
Kuna dem nachat nae na cm..
Kaniambia leo eti sauti yangu nzuri sana maskioni mwake..
Yani uwa anataka niendelee ongea tu
nikimpigia..
Cjui nifanyeje nimekosa
neno la kumjibu...sijawah ambiwa...
Enzi zetu sisi ndoa zilikuwa hazivunjiki! Mimi na bibi yako tumekuwa tunagombana lakini usiku ilikuwa lazima tupatane! Tukiamka asubuhi tu wapya mapenzi yanaendelea kama vile hakuna lililotokea...
Hili linaniudhi sana na linafanywa sana na wanaume, utakuta jitu limekaa sehemu ya biashara kama
Cafe n.k Basi kwa kuwa ni mpenzi wake atakaa hapo muda mrefu, tena
mwingine sio mpenzi ndio kwanza...
Kuna girlfrnd wangu nadate nae almost 4 months now sasa kuna mshkaj wangu amenambia yule demu anatoa tgo me kila nikimgusia anasema hapend kabisa je! nifanyeje? ili nijue kama kweli
i have been always wondering why do hurt each other.if we all accept to b lovers at first day then why do we keep on changing later.aaaaaaaaaaaaa i real need to know guys
Kweli haiwezekani??
Kuishi bila mapenzi (Kwa maana halisi ya mapenzi)?
Ni kweli kuwa tunaishi katika nyakati ambazo maana halisi ya neno mapenzi imepotea au inachukuliwa kirahisi sana (Q-Chilla...
huyu kijana of 25yrs nimemkaribisha nyumbani kwangu tangu amemaliza chuo mwka huu.......ni kijana mstaarabu,mcha Mungu,mtanashati,mwanaume kamili kabisa kimtazamo na kimatendo...anaendelea na job...
Niliwahi kumsikia dada mmoja akieleza tabia za mwanaume anaempenda kwamba anampenda mwanaume mpole,mcheshi na asie na makuu aliendelea kusema kuwa mwanaume wa namna hiyo hata anapokuwa nae katika...
Habari zenu wana JF, naamini wote ni wazima.
Husika na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni kijana mwenye miaka takribani 26. Mwaka 2006 nikiwa masomoni katika mkoa mmojawapo hapa Tanzania...
Wananipigia simu na sms kwa sana tu(nauchuna)
Wananifata home(Nawacheki kwenye security cam, nauchuna au namwambia mlinzi amwambie siko/nimesafiri)
Wananifatilia sana..........n.k
Ama kweli...
Nilikuwa maarufu kijijini kuliko kawaida...(Picha haihusiani na habari hii)
Ilikuwa ni mwaka 1999 baada ya kumaliza masomo yangu ya kidato cha nne na kuangukia pua ndipo nilipokuja mjini na...
Habari za siku mzuri ya ijumaa wanaJf, nafikiri mungu kawajalieni afya njema miongoni mwenu, Leo naingia kwa kutaka kupewa msaada wa mawazo ambao ndio thamani kubwa kuliko ule wa fedha. Shida...
Jamani wanajamvi naombeni mnishauri katika hili jambo, kama title inavyojieleza hapo, mwenzenu napata shida sana kuhusu huyu mtoto.
Ni msichana ambae tupo nae darasani, kwa kipindi cha mwaka...
Wadau kuna kitu kipya kimeingia mjini Kinaitwa Kitchen Mada ambacho kinawahusu wanawake tu, hii jambo nimelishuhudia Wik-end hii wakati nilipoenda kuhudhuria harusi moja maeneo ya Mbezi. Ile...
Zimbabwes Prime Minister Morgan Tsvangirai Saturday apologised for his affairs with two women whom he later dropped in favour of new wife Elizabeth Macheka, saying he did not mean to hurt them...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.