Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mara nyingi ninapofanya safari zangu za kwenda mikoani huwa natumia mabasi..japo pia mara moja moja pale ambapo kipande kimeruhusu naweza kupanda Precision Air..lakini muda mwingi ni mabasi. Kila...
3 Reactions
115 Replies
7K Views
Hii nimeitoa kwa vijana kule Facebook nanukuu FALSAFA YA MWANAMKE - Mwanaume mkamilifu zaidi duniani ni BABA YAKE - Mwanaume anayeonewa na kunyanyasika zaidi duniani ni KAKA YAKE - Mwanaume...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
huu ndiyo ukweli katika kutafuta mtu wakuwa na mahusiano!!
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Hi wadau, kwa wale wataalam wa saikolojia na social sayansi. Ni lengo la kuoa sasa targeti yangu ni kuchukua changu yule classic au baamedi mkali kama atakubali wazo langu la kumuoa basi tukapime...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
kuna mshikaji wangu anampenz wake mhaya tokea kanyigo bas mwenyewe anamsifia anajua mambo kweli, kwa wanaojua tabia or sifa za wanawake / watu wahuko mtwambie!
0 Reactions
85 Replies
17K Views
Nadhani hili halifahamiki vizuri kati ya watu wanaojiita wapenzi pasipo namalengo ya mbeleni ambayo ni dhabiti. Kumekuwa na maoni tofauti tofauti kati ya vijana na watu wa rika tofauti juu ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Unapoamua kuolewa ni jambo jema. Ila kuna mambo lazima uyajue mapema na ya sikupe pressure ya kuahirisha ndoa au kukataa tamaa. Kuna usemi usemao wanaume mama yao mmoja, huu usikusumbue kabisa. Si...
10 Reactions
80 Replies
10K Views
Kiukweli kama sio mambo ya kuwaiga wazung, hawa ndio wangestaili kutupatia mlimbende wa bara la Africa! Nyie Mnaonaje?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Haya mambo ya Dada (House Girl) kutoka kusini mwa nchi yetu. Alianza ajira shwari kabisa, baada ya muda mwenendo wake ukabadilika, pengine akienda sokoni kurejea lazima achelewe. Siku chache...
0 Reactions
44 Replies
8K Views
Hivi kwa nini mara zote mwizi wa mume wa mtu ndiye hulaumiwa,lakini mwanaume huyo anayemwacha mkewe ndani na kwenda nyumba ndogo halaumiwi kwa kiwango kile anacholaumiwa mwanamke? Utakuta mke wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi inakuaje mwanamke anavyo lalamika ndivyo mwanaume mzuka wa ngono unapanda?. Tuseme furaha ya mwanaume ni kuona mwanamke anaumia au mwanamke anavyo lalamika ndo mwanaume anajiona kidume?. Hii...
0 Reactions
45 Replies
15K Views
Kama umeshawahi kufunga mbwa au kumchunguza, utagundua kwamba, mbwa dume ana kawaida ya kutoa sauti yenye kuonesha kuumia au kuhuzunika au kuomba hasa anapokutana na mbwa mwingine ambaye anajua...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba kutoa ushauri wa bure kwa wale wanaotarajia kufunga ndoa hivi karibuni, Kama ni mwanaume mwenzangu jaribu kupunguza matumizi kwa ajiri ya maandalizi ya harusi..vijana wengi wanaingia kwenye...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
TRUE STORY: Kijana kajiua baada ya kudanganywa na rafiki zake kuwa ameathirika, alipata magonjwa ya zinaa, akaenda kupina na UKIMWI ikaonekana yupo NEGATIVE. Kwa uelewa wake mdogo wa lugha ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kila nikuonapo ukipita kongosho yangu hutetemeka na kumwaga nyongo hivyo basi hujikuta ktk njaa ya kukupenda ghafla
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Miiko ya kuishi dar ili uepuke kuibiwa Huu ni ushauri wa bure kwa wale wanaokuja dar 1. Usiwe ni mwenye tamaa. Ukiwa na tamaa kuibiwa ni rahisi sana kwa njia ya kutapeliwa. Binafsi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukiona umependwa ghafla, ujue kuna mtu kaachwa na faraja inatafutwa. Kuwa makini tafadhali
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Msaada wadau, inshort mi kijana (me) niko mid 20”s ndo nimeanza safari ya maisha ya kujitegemea few years ago Nimeshakuw kwenye mahusiano mara nyingi but hayafiki mbali na mimi mara nyingi...
1 Reactions
65 Replies
6K Views
Whats up pals, I really need your helpful and productive opinions,ideas about the question on title,it seems to be so very potential katika ku-stabilize affairs but when it comes to me haiko na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
UONGO 1.wadada wote wa jf nawapenda naomba mnikubali ninaahidi sinto waumiza mimi nitakuwa barafu wa kupoza mioyo yenu iliyo umizwa na wakaka wasiyojua kupenda.nitafanya mpango soko kariakoo...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Back
Top Bottom