Mahusiano na mapenzi ni vitu viwili vinavyoshabihiana lakini havifanani ingawa vinabebana. Unaweza kumpenda mtu lakini usiwe na mahusiano naye na unaweza kuwa na mahusiano na mtu lakini usimpende...
Does your blood group type reveal your personality?According to a Japanese institute that does research on blood types, there are certain personality traits that seem to match up with certain...
Pengine si mbaya kukumbushana hizi kwa wale vijana wanaoendelea ku google jamani
usiogope ama kukimbia katika mambo moja wapo unaweza kumpenda mwenzio
kweli kweli na bahati mbaya akakupitia...
Wadau wa MMU naomba kushare na ninyi kuna kitu cha ajabu sana nimexperince weekend hii iliyopita, inshort nina rafiki yangu ambaye tumekuwa wote wakati wa childhood lakini kutokana na kila mtu...
Samahani wadau kama ipo humu basi mod waiunge,ujumbe nimeupata Facebook nimeona wadada pia wa JF waupate.
Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo, usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna...
Utakuta baba zima anajisifia eti ye ni kiboko kwa mabinti , akitongoza tu, binti hachomoi.
Kwa taarifa yenu ni kuwa mwanamke hakukubali kwa ushawishi wako, ila kwa kuwa yeye mwenyewe ameamua
. . .haipendezi sana mume na mke mmepanda gari lenu asubuhi mnaenda ku kazi huku
mmenunaaa njia nzima! Bora mmoja ashuke akatafute daladala apate kucheka na vituko
vya wapiga debe! Hata mfungwa...
Sina uhakika kama binadamu wote tuna tabia kama hizi nilizo nazo mie, hii kuna dada mmoja mzuri kwa sura,na hata muonekano wake kwa ujumla,huyu dada mie sijawahi kabisa hata kusalimiana...
Ndugu zangu nisaidieni ni dalili zipi ambazo zitakufanya ujue mwenzio anakutumia tu (hana mapenzi ya dhati na wewe?)
Nimeuliza hivyo kwa kuwa naanza kumhisi mtu wangu ndivyo sivyo sasa sijui...
Nilikuwa ughaibuni kwa kipindi cha miezi 2 hivi na nililimiss Jukwaa la Mahusiano,mapenzi na urafiki. Niliporudi tu nilifukuzia huko lakini hamu yangu imekatishwa tamaa. Naona ile spidi ya...
Morning My People.
Ilikua Asubuhi mishale ya Saa Moja Na Dakika Kama Arobaini, nikiwa nimetulia katika Mgahawa wa Yummy Yummy pale mitaa ya kati, oh i mean City Center, nikipata kifungua kinywa...
katikaka mahusiano mnaishi vzr 2 we na mwenza wako hadi inafika cku ya kupeleka kwenu posa inakubalika sasa inabakia cku ya kumpeka huyo mchumba wako nyumbani kwenu kwa ajili ya utambulisho...
Nimeyapitia haya maneno wee, nikajiuliza.
Hini ni kweli wanawake wanahukumiwa zaidi kwa makosa yale yale wanayofanyawanamme sababu tu wao ni wanawake?
I can see youredisappointed
By the way...
Katumiwa ujumbe na afande; ameshindwa kujibu -- akubali au akatae. Ilikuwa ni mfululizo wa SMS
SMS 1 - Unajua nakuthamini zaidi ya POSHO na MSHAHARA, bila wewe siwezi kuishi ni sawa na kukosa...
Jamani mi mwenzenu kuna kaka mmoja huwa ninamfanyia kazi zake, kwa kifupi ni mteja wa ofisi yetu sana hatimaye ametuzoea wote pale ofisini.
Eti kama mwezi hivi anakuja kwangu nakuniambia...
Dear Wewe,
Yapata wiki ya tatu sasa nakuona ukiwa unatokea upande wa kaskazini wa pale ninapokuona kila siku asubuhi. Najua huenda hunijui lakini mie nakufahamu vyema kwani katika kipindi cha...
Jaman nilishawahi ambiwa kuwa katika ndoto unaweza waota watu mbali mbali lakini sio mpenzi wako, mie binafsi hili jambo linakaukweli fulani sijawah muota mpenzi wang. Pia wanasema ukimuota mpenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.