habari zenu wana MMU...
bila kupoteza muda, nianze moja kwa moja na lile lililonifanya nianzishe "sredi"
why do men "pull away" sometimes?
kwanza what do I mean by "pull away"? kawaida unakuta...
Print this out, write down your responses, then check the answers.
1. Most people who are raped are raped by someone they know.
True / False
2. Its only legally defined as rape if there is...
Kuna kaka mmoja tuko wote ofisi moja ila mimi niko field,yeye ni mfanyakazi.Kwa mara ya kwanza nilipomwona nilimpenda ila siku zilivyozidi kwenda mapenzi juu yake yanapungua.Tatizo ni kwamba...
Habari zenu?
Naomba mnisaidie mawazo, mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 4, nimeolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa mwaka 2004.
Mume wangu alikuwa mtu mzuri sana kwangu yaani sijawahi kupata...
Wakuu wa maswala,
kuna mwanamama nimeanza ufrendi naye lakini anakatabia ka kuingia
kwenye simu yangu na kucheki nani kanipigia simu au nani kanitumia
msg.
nammaindi kinoma lakini hii tabia mimi...
jamani labda mtanisaidia, nifanyeje nimridhishe huyu mwanaume??? sasa kwangu kawa kama guberi haridhiki na mambo ninayompa chumbani japo hajishughulishi hata kuniandaa. na mbaya zaidi mume wangu...
Shosty wangu mmoja kaolewa majuzi tu, haswa kamimba ndio kaloowasukuma kufanya mambo na wanaishi pamoja sasa. wote wenye kazi nzuri, kila mmoja wao ana gari, and all the basic requirements of a...
OKTOBA 5, 2012 SIKU YA KUWASOMEA WATOTO KITAIFA
Hakuna zawadi kubwa ambayo mzazi anaweza kumpatia mtoto wake na ikayabadilisha kabisa maisha ya mtoto huyo sasa na hata akiwa mtu mzima kama...
i have been married for 5 years now and it has reached a time that i want to divorce or atleast separate from my wife. i met my wife first in school and i was 3 classes ahead of her but then i...
...eti jamani naomba kuuliza...
Eti ni kweli iwapo Mama Mkwe alizaa na wanaume kadhaa basi na mkeo mtarajiwa naye ndio hivyo tena (Abiria chunga mzigo wako?)
Nimeusikia msemo ati; Tabia ya...
Vijana wengi wanapopata nafasi za kujiunga na vyuo huwa wanafurahi saana na kuona kuwa wamepiga hatua kubwa saana na pia huwa hawashauriki wakiamini wameshafika mahali ambapo wanaweza kujiamulia...
kuna jamaa leo walikuwa wanapiga stori ..mmoja akawa anamwambie mwenzake like kama anakuzingua anakununia nunia piga ..dawa yao ni kipigo hadi anyooke.. i was like wtf?.kumbe hadi karne hii na...
Habari zenu wana jamvi wenzangu.
Leo naona nije na swali hili hapa juu ya adhabu anazopewa mtoto anapokosea kutoka kwa wazazi/walezi wake.
-Hivi je ni ipi njia nzuri ya kumuadhibu mtoto...
Wana JF naomba msaada wenu tafadhali,nina mpenz wangu wa muda mrefu kidogo ila tulitengana kutokana na tabia ambayo sikuridhika nayo. Akaniomba msamaha nikachukua muda sana kumsamehe lkn tamati...
Hi, wanaJf!
Ninaomba ushauri wenu wa haraka. Kuna demu ni mtu wa karibu sana na mpenzi wangu. Jana akaniita sehemu na kuniomba leo aje alale kwangu maana anajua mpenzi wangu amesafiri kikazi!
J...
Maana imefikia hatua siwezi kumaliza siku bila kufanya mapenzi na si chini ya bao mbili au tatu. Nina ma gal friend si chini ya 14. Na wote ni wasichana wazuri chini ya miaka 23. Wawili wapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.