Kuna kitu nimekiona (labda na wengine wamekiona pia) ukiangalia sana mijadala inayoendelea kuhusu suala la mahusiano na mapenzi hapa mingi inahusiana na aspects mbalimbali za kungonoka. Nani...
Heshima kwenu brothers and sisters,
Nimetoka home asubuh dada yangu kanishangaza sana, anafanya kazi somewhere na huwa anaenda mwenyewe na usafir wake siku zote ..na tena toka amenunua hako...
Wanawake wengi huwa na matatizo na wanaume waangalia porn, hawapendi kuona wenzi wao kuwaona mademu bomba wakiwa uchi ktk tv au comp. Embu fikiria umemkuta mumeo kajificha anachek porno...
Wazo letu la sasa juu ya wanawake ni kuwa mtaalamu, mtemedeni, mrembo na maridadi. Hukaidi ukubwa na utawala wa mwanaume katika mambo yote ya maisha. Hushindana na mwanaume kwa ajili ya uhuru wa...
Ni miaka miwili sasa tangu nimfahamu huyu rafiki yangu, jirani yangu, mwenyeji wangu nk......
Tumeishi vizuri yeye na familia yangu nami pia vivyo hivyo........... tumekuwa kama ndugu
Toka muda...
'Baby every time you touch me i become a hero...I'll make you safe no matter where you are'
'And bring you everything you ask for nothing is above me..I am shining like a candle in the dark when...
Wadau wa Jf,tupeane maujuzi hapa,hivi ni kitu gani au dalili gani itakayokuwezezesha kugundua kuwa mkeo katembea nje ya ndoa?Yaani kakuaga anaenda kwenye shughuli zake na alipofika huko ka-du na...
Mimi ni mvulana mwenye umri miaka 35. Nimewahi kuwa na rafiki yangu wa kike ambaye tulipependana nae kwa miaka mitatu hivi. Lakini kilichonishangaza kwa muda wote huo, huyo girlfriend wangu...
Somo langu la jumatatu ya leo ni kuwa machizi fanyeni kila namna muavoid hiki kitu cha kuwekwa kwenye FRIENDZONE otherwise mtakuwa hmpati kitu in otherwords be friendly but don't be her friend...i...
Najiuliza hili swali sipati jibu kabisa,utasikia watu wanatafuta dawa na wengine kulalamika sana kuhusu hili tatizo,je wenzetu hawana hili la upungufu wa nguvu za kike?kama lipo inakuwaje na tiba...
Heshima mbele wana MMU,
Nami nimeona sio mbaya kupitia huku walau mara moja. Hoja yenyewe ni kama ilivyo:
Mke wangu ametubu kutembea nje ya ndoa nilipokuwa safarini. Hii ilikuwa baada ya kukuta...
Natumai wote tu wazima,
Hii imemtokea rafiki yangu anayesaka ndoa kwa udi na uvumba,na akanisimulia jinsi alivyokutana na huyo mtu wake.baada ya kunielezea yote hayo nikaamua kuja kuwauliza na...
ni rafiki yangu kipenzi, wamo ndoani mwaka wa 5 sasa, kuna cku frnd wetu mmoja alikuwa saloon, mdada wa saloon kama wanavyoeleweka tena wengi wao ni mapepe sana,akawa anapiga stori kwamba...
Leo nimeona tuzungumze kitu hiki ambacho nimekiona mahala..
Wanawake weengi wanasema au wanataka waume zao wa demand na kupewa 'mahitaji yoote' ya sex na burudani za kingono kutoka kwa wake...
Morning People
Its Furahi Daaaaay!!!!!
Hivi Unazijua Shortest Days In The Week.....Hahahaha Kama Huzijua Worry Out I am Going To Tell You Fella....Ziko Siku Mbili Ndani Ya Wiki Ambazo...
Nawashukuru kwa kunipokea katika JF.
Naamini kabisa ni mahali pa watu kupata msaada wa kimawazo,n.k.Nilikuwa natafuta ni wapi pa kusemea ,naona labda nianzie hapa naombeni ushauri.. sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.