Habari wana JF,
nina rafiki yangu anafanya kazi kwenye compuni ana mtoto mmoja na hawana mawasiliano na baba wa mtoto tangu mtoto azaliwe ana umri wa miaka miwali,
Kuna mwanaume ofisini kwao...
Over and over, wanaume ndo wamekuwa wakifukuzia kitendo.
Wadada ndo wepesi wa kusema muda bado, tusubiri kidogo na visingizio vyote.
Can that change, at least wakati huu wa ukweli na uwazi?
Kama hawa Mawaziri vivuli amabao hutoa alternative budgets, plans etc nk......je kuna wanandoa ''kivuli'' (somebody anayesubiri ndoa ya mtu iharibike nae aingie ndani kuchukua nafasi)
Jamani kaka na vijanaume vyetu mbona mnazidi kuvaa hizo kata K mpaka mnatia kichefuchefu, nimeangalia sijui tamasha la fiesta huyo anaitwa Ney yaani yeye ni boxer kabisa na wala sio bukta, Linex...
Habari zenu wajameni nina kaka yangu sasa yeye ana tatizo linamsumbua,Yeye alikuwa na uhusiano na binti mmoja wa kiarabu na akazaa naye mtoto wa kike ingawa katika mahusiano yao wao walipendana...
Ndugu, hii ni hadithi niliyoisikia kwa muda mrefu. Sasa naiona kwenye youtube ikiwa imetokea huko Kenya. Ktk kuulizia nimeambiwa ni matukio ya mara kwa mara ktk kanda ya Tanga, Moshi, Arusha na...
Wanawake watakuwa na haki ya kuwatongoza wanaume,kulipa mahali na hatimaye kuwaoa kama wanaume walivyokuwa wanafanya hapo Kabla.Haya ni maoni ya watu wengi wa Mkoa wa Ruvuma kuhusu katiba...
Wengi wetu tuna kwenda misikitini, makanisani, na hata jamatini na kwenye mahekalu au kutambika. Kote huko lugha ya upendo inazungumzwa sana. vitabu vyetu vitukufu vinatuambia kwamba ni jambo...
Wakuu ebu nisaidieni kuna umuhimu wowote kumwandalia chakule mumeo wakati housegirl/houseboy yupo na analipwa kwa ajili ya kuhakikisha kila kitu kuanzia usafi hadi chakula kinaenda vizuri?
Hivi unapotaka kuzaa na kidume au hata yule uliyezaa naye au yule ambaye ungependa kufunga naye pingu za milele au yule ambaye sasa hivi unatesa naye....lol..................sifa ipi huwa kwako...
kama we ni mwanaume bac kaz ya kwaoza unazofanya ni ya jembe hizi kazi ni kama kulima kusoma kupigana n.k ili mrad utoe jasho ya pili ni ile ya mfikicho inayomfanya mwanaume apate raha wewe je...
habari zenu wadau...
hivi ni athari zipi zilizopo wapenzi wanapokuwa na tofauti za kiuchumi/kifedha? tafakari mfano huu...
kuna kijana na binti wanapendana sana, yaani saaaana. kijana ni mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.