Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ukilitazama neno MAADILI kwa kiingereza linatafsirika kama 'ethics' au 'morals'...kwa wenye kujua kiingereza vizuri mnaweza kunisaidia kueleza kinagaubaga nini maana ya morals or ethics.. na wale...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
LEO NI WKEND WENGI WENU MTAENDA KUUZA SURA KWENYE VITI VIREFU LAKINI KUNA JAMBO NAWAOMBENI HEBU ACHENI VICHENJI KIDOGO MNUNUE HATA DEODORANT NI ELFU TATU TU HATA ELFU MBILI UNAPATA ILA...
18 Reactions
122 Replies
9K Views
Nimekuja hapa Dodoma sijapata mdada mwenyeji kabisa wa kunikaribisha mpaka nabakia mpwekee. Naomba mmoja ajitolee basi ani host leo jamani au mmebanwa kiasi hicho? kuni host si maanishi mnipatie...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Ndg wana Jf najitokeza leo,naombeni ushauri wenu,nimepata mchumba ambaye ni mzuri,mpole na tunaependana sana.LAKINI tatizo nina taarifa kutoka kwa wazee,kuwa kwao ni wachawi.NAOMBENI ushauri...
0 Reactions
90 Replies
10K Views
Marafiki wengi ni wanafiki, wanakuhoji maendeleo yako ukidhania wanapata insipiration kumbe roho zinawauma umewapiga gap, wakati nikitafuta job walijifanya kunishauri kumbe nikipita wananinyoshea...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Wanaume wengi wanajitahidi sana kuficha mambo mengi yanayoendelea akilini mwao,yafuatayo ni baadhi tu: 1.Wanaume wanapenda wanapotoka kazini wawakute wake zao wapo nyumbani.Anapokuwa wa kwanza...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
LITTLE JOHNNY DOING EXAMS Q: Why are condoms transparent? A: So that sperms can at least enjoy the scene even if their entry is Restricted! Q: What is the new AIDS awareness slogan? A: Try...
0 Reactions
0 Replies
19K Views
Wandugu Salam Kwa takribani miezi kadhaa niliweka tangazo natafuta mke humu JF nikapata response kibao ila katika chache mabazo zimetia fora ni ile iliyonikuta pale MARYLAND MWENGE ya kuvamiwa na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nilikuwa na mchumba niliyetarajia kufunga nae ndoa 2002 lakini ghafla alinikimbia.Sasa hivi ananipigia simu akitaka ni msamehe na turudiane na mimi sasa hivi nina mke na kila nikimwambia hanielewi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
NDUGU MARAFIKI Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote. “Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangualiponitay arishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Usafi ni tabia si uwezo kifedha!Hata kama mwonekano wako wa nje si kila kitu bado ni kitu muhimu sana katika mahusiano na mwenzi wako. Binadamu hunagalia kwa nje na Mungu huangalia moyo (1Samweli...
1 Reactions
98 Replies
10K Views
Helllo My People Huwa Nashangaa Sana Pale Napoona Wanaume Wanapotafuta Dada Poa Ili Wakajiridhisha na Tamaa Zao Za Kimwili.....hivi ina maana hawana mademu hata wa kusingiziwa ama hawajui...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Nimeshindwa mtu wa kuzungumza naye kuhusu hili sababu naona linanizidi kidogo na kuni overwhelm kwa namna flani sababu limenitokea mfululizo Namjali kila moja kwa jinsi ninavyoweza na pia...
7 Reactions
177 Replies
9K Views
In our society marriage is the structure people use to create a stable family unit. A man and woman marry with the intention of staying together for life. Within that bond they usually have...
1 Reactions
3 Replies
897 Views
Kuna watu linapokuja suala la mapenzi sijui wamerogwa....!! Kuna mpangaji mwenzangu hapa yeye hachagui mwanamke wa kufanya naye mapenzi machangudoa, mahouse girl, mama lishe, wauza mboga...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Miaka 4 iliyopita nilikuwa naanza kusoma chuo fulani hivi hapa mjini siku moja nilikuwa nimeingia admission nilikuwa na shida na kitambulisho changu cha chuo ,my teacher akaniona akashtuka...
3 Reactions
70 Replies
6K Views
Nini kilichotufikisha hapa? ni sheria zetu, sheria za UNO yaani za haki za binadamu, ni kumuacha Mungu na Maadili yetu na kufuata maadili ya kishezi?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MKAZI wa Mtaa wa Mpanda Hotel, Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, Nzego Vicent (33), amejiua kwa kujinyonga na kamba baada ya mkewe kumnyima tendo la ndoa.Tukio hilo limetokea hapo juzi majira ya saa...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
A man in London walked into the produce section of his local supermarket and asked to buy half a head of cabbage. The boy working in that department told him that they only sold whole heads of...
3 Reactions
12 Replies
876 Views
Habari za leo wana JF, naombeni ushauri nifanyeje katika hili, maana linanikosesha raha kabisa. ni Jmosi ya juzi baada ya mim kupata vihela vya tempo ninayopiga kiaina, ikabidi nitoke kidogo na...
1 Reactions
98 Replies
7K Views
Back
Top Bottom