Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Yapo mambo mengi ktk mahusiano,wapenzi huyafanya siri.Mojawapo ni ile hali ya mtu kumhitaji mwenzake ila akatumia neno au ishara ambayo wao wanaielewa na kuwafumba wengine.Mfano baadhi...
1 Reactions
66 Replies
10K Views
Mungu Baba, najua mimi si mkamilifu kiasi cha kusogea mbele yako najua sina utakatifu wa kuisogelea meza yako lakini baba katika udhaifu wangu na wa wenzangu twaja mbele yako tukiomba msaada wako...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Suala uaminifu limeelekezwa kwa wapenzi ktk ndoa au nje ya ndoa.Wapo watu walio nje ya uhusiana fulani.Wao kila kukicha wanapanga,wanabuni mbinu za kila aina ili ampate mke/mme au mchumba wa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Hili limetokea sasa hivi naomba ushauri wako ili angalau maamuzi yangu yasiwe mabaya. Mimi nina ndugu yangu amabaye ni mtoto wa Mama yangu mdogo yeye kwa sasa ni marehemu ambaye alijaliwa kuzaa...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
"Here is the mess," the warder said when he shoved Michael Adams* into an overcrowded cell in Allandale Prison, near South Africa's Cape Town, 10 years ago. That first night, Adams was raped by...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Dah.. Hebu jaribu hii uone matokeo. Kaa siku tatu bila kumpigia simu rafiki yeyote au mpenzi wako uone utapata wangapi watakato piga, kutuma SMS au angalau kubeep... Nadhani hiki ni kipimo kizuri...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Hapa tujadili..... jamaa kamuaga mkewe kuwa anakwenda Mbeya kikazi, kumbe yuko hapa hapa anajirusha kwa kula bata tena na mke wa mtu na akafumaniwa kupewa kipigo cha mbwa mwizi na kudhaniwa kuwa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Hali zenu wana JF, imenibidi nitumie jukwaa hili ili kuweza kupata ushauri wa busara na hekima. Mimi nimekua na mahusiano na msichana mmoja hivi kwa takribani miaka 6 hivi na hatimaye mwanzoni mwa...
5 Reactions
75 Replies
6K Views
Wanaume na wanawake hudanganya, hilo halina ubishi, lakini sidhani kama kuna sababu iliyo nzuri katika kuelezea jambo hilo, kwamba kwa nini wanaume na wanawake hudanganya katika mapenzi...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Usemi wenyewe unasema 'Dont judge the book by its cover'..actually unaweza sometimes kuwa una maana iliyokusudiwa!..but believe me the viceversa might also be true..najua mtabisha!!..Any way ni...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
15 Reactions
28 Replies
3K Views
Ameoa mwezi wa nne. sasa hivi mkewe ni mjamzito, wiki iliyopita mkewe amedai arudi nyumbani , jamaa akamgomea, lkn ikawa tifutifu hadi jamaa kamsafirisha, kufika nyumbani ...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Hapa wataalamu mtaniambia,Kwamba kupiga chafya wakati wa Tendo la ndo huongeza Raha na hamu ya kulitendea haki zote tendo hilo... Kwa mwanamke chafya yake humshtua Mwanaume na kuna nguvu fulan...
1 Reactions
55 Replies
11K Views
HALI INAPOKUWA NGUMU Zaidi, unajaribu kujilipua, liwalo na liwe. TUPO WANGAPI.....
0 Reactions
15 Replies
2K Views
- Mwanadamu anajipenda nafsi yake - Mwanadamu anapompenda mwanadamu mwingine ni mwendelezo wa kujipenda nafsi yake mwenyewe - Mwanadamu anapomwagwa, anapokataliwa ama anapoacha kupendwa na...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Bwana Awe Nanyi Wakuuu! (Wakubwa zangu shikamooni!!!!) Watu kwa kujifanya mambo ya kiswahili/ kichawi HAMYAPENDI wakati mmevamia thread kwa kasi!!! Kweli padri au mchungaji akikufuma unasoma...
4 Reactions
63 Replies
13K Views
Ni hayo tu/That is all!
0 Reactions
12 Replies
3K Views
The terrifying world of child brides: Devastating images show girls young enough to be in pre-school who are married off to older men. At age 11, Ghulam was married off to 40-year-old Jaiz in a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanadamu anapozaliwa anajikuta yupo duniani bila kujua ni jinsi gani aliingia ndani ya mama yake. Wapo watoto waliopatikana kwa njia baba kumbaka mama ake au mama kaleweshwa pombe kalegea kapanua...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
UINGEREZA Karen Cosford age 27,amehukumiwa kwenda lupango Miaka 3 baada ya kupatikana na hatia ya kufanya Mapenzi na mfungwa jina Brian McBRIDE anaetumikia kifungo kwa makosa mbali mbali ya...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Back
Top Bottom