Hali ya hewa mjini Dodoma imebadilika, wanachuo wa vyuo karibu vyote wamefungua na hivi sasa wamejaza guest house zote za hapa mjini, yani ni mwendo wa wawili wawili (Pairs) tu, eti wanadai kila...
Ninashangazwa sana na hii tabia.....Hivi kwa nini wanawake wanapoolewa wanabadilisha
line za simu??? Kwa mfano Dada yangu alipoolewa kabadili, mademu wengi ninaowajua
nikisikia wameolewa...
Ni maajabu ila ni simulizi la ukweli kabisa,Dada mmoja kafunga ndoa mwezi mmoja haujaisha,Mumewe yupo mbali kikazi,Na kabla ya hapo alikuwa na uhusiano na kibosile mmoja wa council.Sasa baada ya...
mimi ni kijana wa makamo ya kati mkazi wa jijini dareslaam kinachonileta katika jukwaa hili ni kutaka ushauri kutoka kwa wanajamii wenzangu.nina mpenzi ambaye hatuna muda mrefu sana katika mapenzi...
KWENU WENYE MAARIFA NA MSIO NA MAARIFA, KWA WALE WALIO KATALIWA NA WASICHANA WALIO TAKA KUWAOA NA WALE WALIO KUBALIWA.
NAPENDA KUULIZA NI VITU GANI VYA KUZINGATIA UNAPO TAKA KUMWAMBIA MSICHANA...
Habari wana JF,mimi ni kijana wa miaka 21,kuna msichana 2lizoeana sana paka ikafikia akawa ananiletea visuprise vidogo vidogo,baada ya mda mrefu nilimwambia yamoyoni kwangu,hakunijibu,akasafiri...
Nataraji kumuaga binti yangu natafakari maneno gani yanafaa siku hiyo bila ya kuwachosha na kukwepa boredom kwa wageni kwa hotuba ndefu.Naamini wana jamii mnaweza kunisaidia maneno ya hekima...
wewe ni mume wa mke na watoto 2. unaish nje ya nchi, mkeo yupo tanzania sasa mkeo kapata safari ya kikaz kwenda nje ya nchi je utakubali aende ama utakataa? nchi anayokwenda ni tofauti na uliyoko...
Habarini wangwana? Ni mara ya 1 mimi kukutana na mwanamke na hakika demu wangu game nilihisi ananizidi mautundu .kaniambia nimfanyie mambo mengii nikashindwa
Naomba kufundishwa Jinsi ya kufanya...
Kwa makabila mengine sina uhakika,lakini uchagani nina uhakika.Pia sijui kama jambo hili linafanyika hata leo.Ni kwamba,kwenye familia anapozaliwa kijana wa kiume,na jogoo akawa hapandi mtungi,au...
Kama mnakumbuka mwana JF mwenzetu KakaKiiza alimpoteza mkewe hapo mnamo Agosti 31, 2012 siku ya Ijumaa.
Leo hii kutakuw ana mkesha wa Arobaini tangu msiba huo utkee na watu watakutana Tageta kwa...
Ngoja niyadadavue malalamiko ya wanawake kwanza hapa chini:
1. Wanawake wanalalamika kwamba wanaume sio waelewa wazuri, yaani huwa wanatafsiri mambo tofauti na isivyo.
2. Wanalalamika...
River Viiperi is a 21 year old Spanish model. He started dating Paris Hilton 31 last month after the two met at the New York Fashion Week.
The two reportedly met through DT Model Management owner...
Wanawake ni watu wenye utambuzi wa hali ya juu sana kwenye swala zima la mapenzi. Unaweza kusema neno moja tu na kupitia neno hilo wakajua kwa usahihi kabisa kwamba wewe ni mtu wa aina gani. Kuna...
Hivi kwanini linapokuja swala la kuoana huwa hamjiamini?mnakimbia majukumu?hauamini kama mwanamke uliyenae ni sahihi wakati kila siku uko naye?au kuoa ni kuwa na pesa nyingi?kwanini hamjiamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.