Tuchukulie mmejuana kwa muda mrefu kidogo, labda tuseme kwa takriban miezi miwili hivi, lakini hamjawahi kuwa na mtoko, zaidi ya kukutana mara kwa mara katika mazingira yenu ya kazi.
Je ni wapi...
na Sitta Tumma, Mwanza
WAK
ATI vilio, simanzi na huzuni jana vikighubika jiji la Mwanza wakati wa kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoani hapa...
Kuna msemo katika Kiingereza kuwa kuzimu hakuna moto mkali kama mwanamke mwenye kuwaka moto (hell has no fury like woman scotched!) Kimsingi msemo huu unatuambia kuwa mapenzi ya mwanamke yakigeuka...
Hivi ni busara mwanaume anapomlazimisha mpenzi wake abadili namba baada ya kuanza uhusiano? Jamaa alikataliwa na mpenz wake akaamua kumchafua fb akatupia status "mm ni msichana vivian natafuta...
Nimecheka balaa...kuna ka Hilux pick up keupe kalikua mbele yangu kameandikwa hivyo kwa nyuma... maandishi meupe ndani ya mstari mwekundu kama hilo tangazo la airtel hapo juu.
Nimetafakari sana...
Amani iwe kwenu wadau!!!!! (Wakubwa zangu shikamooni japo mwaitikia kimya kimya)
Leo bwana naleta MADA VERY SERIOUS!!! NAOMBENI NA NYIE USERIOUS WENU SABABU SOMEBODYS FUTURE HAPPINESS DEPENDS ON...
Sikumbuki kama jambo hili lilishajadilia,lakini hata kama tayari lilishajadiliwa nilitaka kujua na nina sababu.Ni kwamba tangu nizaliwe sijawahi kuona ndoa ya uke wenza ina amani baina ya hao wake...
Habarini wapendwa, ndugu zng ninawakati mgumu sn, naumia sn moyoni ila yote namwachia MUNGU. Nina miaka 30 nimeolewa na nina mtoto 1, namshukuru MUNGU kwani toka tuoane MUNGU amekua akitupa rizk...
Habarin,Wkt naolewa mume wang hy alikua anamiliki kitanda tu na alikua ni dreva nami nilikua sekretary wa kiwanda cha uchapishaji, kwakweli tumepitia mitihani mingi sn wkt mwngn tulikua tnalala...
Kama kawaida yangu ambavyo situlii mahali pamoja nchi hii ya thelathini kwa ukubwa duniani, katika safari zangu za hapa na pale nikatumbukia wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, moja kati ya mikoa...
Mimi ni kijana wa miaka 26,nimetokea kupendana na binti mmoja wa kinyarwanda,sasa nikaamua ni vizuri kujitambulisha kwa wazazi wake kwanza harafu nifanye mpango,upande wa kwetu wamjue pia,nikaona...
Je, inawezekana ukampenda mtu pasipo kumuona physicaly ila kwa kuongea tu kwenye simu hadi kutamani kuvunja amri ya sita?
Mmeonana sasa for the first time, je mwanaume unaweza kuzama chumvini...
Hivi kwanini mtu huwa haaminiki pale anapobadilika kutoka kuwenye tabia mbaya kwenda kwenye tabia njema? je inamaana mtu akishakuwa mkosa maisha/jamii haimpi nafasi ya kubadilika tena?
Ninaye shemeji ambaye anatutia aibu sana sisi kwenye ukoo wetu.
Yeye hujifanya mtu wa heshima nyingi,ana cheo kikubwa, mali na kila kitu.ana mke na watoto na kila ambacho mtu angetamani akipate...
Ndio,ni mazuri sana,wanaume wengi hupenda sana kuya chezea
na hata kunyonya, of course,nami nimo pia.
Lakini,moja kati ya matatizo yanayo wapata wanawake wengi ni kansa ya maziwa.
je,tuna usalama...
Eti kwa kuwa wewe umekua na umeshajitambua, unadhani kuna faida muhimu ya kulelewa au kulea jamii katika familia ya kizamani baba mama watoto na jamaa?
nikimaanisha kuacha kulea wazee wetu
kuzaa...
hv mtu akiomba kuhave sex na wewe ni kwamba anakupenda?anakutamani?anakukubali?unamvutia?,au anakuona easy goin?haswa boy akimuomba msichana ambaye sio galfrnd wake
Wadau najua mko poa..na kwa wale mliopatwa na masahibu au mnaumwa au kuuguliwa poleni sana.........
.:focus:Kila sehemu kuna haki ya 'faragha'..na hata kwa kulitambua hili utakuta katiba za nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.