jamani mwenzenu najishangaa sijui ninapepo au nini mwanaume akinitongoza tukifanya sex mara 1 namchukia yaani simtaki na ananitoka moyoni kabisa au mwanamme akinitongoza tukifanya romance tu bas...
wewe uko kazini halafu ukamuacha rafiki yako anakula good time na laaziz wa moyo wako kisa eti unamuamini huyo rafiki yako kweli,
mimi nina wivu ctembei naye cjui anayofanya ila hilo la wao wale...
Jamaa alifukuzia demu kwa muda wa mwaka mmoja. Siku moja demu akamcall na kumwambia nimekubal na ninaomba tuonane, walipokuwa wakikaribiana kama umbali wa mita 20 ghafla gari lilikosea njia na...
Nawasalimia...
Mchumba ninayekaribia kumuoa(early next year) ni mjamzito wa miezi michache ya kwanza.
Mahari ilikwishatolewa, sasa tuko kwenye vikao vya harusi/sendoff.
Tatizo sasa;
dakika moja...
Habar wakuu!
Nimekuwa nikifanya research yangu juu ya members wa hilii jukwaa na yafutayo ndio majibu ya research yangu.
Wengi ni vilazaful ambao ni wavivu wa kufikiri, walioshindwa shule na...
Am currently______ ______
1.Widowed
2.Divorced
3.In a happy relationship
4.In a crappy relationship
5.Pushing with my best friend
6.Pushing with my random
person
7.Engaged
8.Happily...
Natanguliza salamu kwa wana jamvi wenzangu,
Kuna mama hapa mtaani kwetu ana mahusiano ya kimapenzi na rafiki yetu mmoja, baada ya kumuweka chini huyu rafiki yetu kumtaka aachane na huyu mama...
Naomba kuuliza kwa sababu wengine tuna uhusiano na wanawake wenye watoto wanaolingana umri na sisi au wanatuzidi kidogo au tunawazidi kidogo
kama Baba yako labda alifariki au ulilelewa na single...
In The Citizen Newspaper of 14/10/2012, there is an interesting article, a long one but somewhere it says ''Marriage is like a cage in which some birds have been caught and are trying hard to get...
Juhudi katika utafutaji wa kipato.Kutokana na mahitaji kuongezeka katika miaka ya karibuni,inalazimu mwanaume na mwanamke wote kwa pamoja washiriki katika kujiongezea* kipato ili kujitosheleza...
Sikupanga kutupia kitu leo but sio issue nimeona tuanze week na hili swali...Kusema ukweli nimeshindwa kupata kiswahili chake ..lakini labda tu niliweke hivi..'Benefit of doubt comes when it means...
Usiusaliti moyo wako
Leo nataka tuzungumzie kiapo mwanzo wa uhusiano, ambapo wengi hawakifahamu au hawajui kinatumika wakati gani. Wengi wamevunja viapo vya mapenzi na kujikuta wakigeuka mateso...
Kuna mwalimu mmoja hapa Tunduma-Mbeya alioa mke ambaye tayari alikwisha zaa watoto wawili na mwanaume mwingine.Asubuhi tulivu,wameamka salama,mke kapokea simu,mara ghafla akadondoka...
Ndugu zangu wapendwa, leo tarehe 9/10 ni kumbukumbu ya agano langu la ndoa kati yangu na mpenzi wangu miaka 13 iliyopita.
Namshukuru sana Mungu wangu kwa kunipa huyu rafiki yangu kuwa mwenzangu...
Nafahamu maisha ya ndoa yana furaha na machungu yako(UP and DOWN),mabinti kwenye kitchen party huwa wanaelezwa kwa mapana na marefu juu ya maisha ya ndoa na uvumilivu wake nimemwomba mungu na...
Enzi zetu sisi ndoa zilikuwa hazivunjiki! Mimi na bibi yako tumekuwa tunagombana lakini usiku ilikuwa lazima tupatane! Tukiamka asubuhi tu wapya mapenzi yanaendelea kama vile hakuna lililotokea...
Hatukuwa na vita kali sana na mke wangu, isipokuwa tatizo lake lilikuwa tukikorofishana kidogo zinaweza zikapita wiki mbili hadi tano anazira kuzungumza nami. kwa kweli hii tabia yake...
Wana MMU niaje?
kuna MDADA nilimwita sehemu, tuka chat kwa muda, then finally nikaanika yaliyomo moyoni....a-z, mdada akajidai kashtushwa na niliyomweleza akitanabai kuwa hakutarajia mimi...
Ni Miezi Miwili Sasa Toka Niachane Na Msichana Kipenzi Cha Nafsi Yangu,
Chanzo Ni Kwamba Hakutaka Nisikiliza Na Kunishirikisha Katika Uvaaji Wake Wa Suruali Na Kunywa Pombe Pale Nilipomzuia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.