-Napenda niishi maisha ya kawaida chuoni.
-napenda nipate partner atakayeijua vema hali yangu.
-Atakayekua tayari ku-share boom lake na mimi napokuwa nimesota.
-Atakayekuwa hababaishwi na...
Leo kaja kunisabahi asubuhi hii jamaa yangu mmoja,baada ya salamu ndipo alipotoa mpya,huenda isiwe mpya kwako,kwani inaweza kuwa ni kawaida tu,alitaka shauri,akaniambia yafuatayo,"Bwana Eiyer...
nilimwandikia waifu massage asbuhi sana, nimetoka tu kwenda kazini, na yeye anaelekea upande mwingine wa mji kazini.
ni copy and paste massage ni hizi hapa
##....siku ile tulivoenda kijijini...
Hii sio conclusion bali ni kitu cha kudiscuss
Kwa ambao wameshakumbwa na hali kama hii wanaweza kuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kucoment. Kuwa katika mahusiano ya wapenzi au wanandoa, kuna point...
Kumekuwa na na wimbi la mashindano kwenye ukubwa wa sherehe za harusi (send off, reception, kitchen parties) ambazo nyingi zimekuwa zinategemea sana michango mbalimbali ya watu. Sasa je nini...
Habari wana jf,katika family yetu tupo watoto wanne wakike 3 wakiume 1 na kwa baba mkubwa watoto wa ndoa wanne wote midume na mmoja wa nje ya ndoa wakiume(hapa nahsi alikuwa anatafuta wakike)...
Naam wadau,j2 iliopita muda wa saa wakati natoka hme kuingia katikati ya jiji la Tanga,Barabarani nikakutana na mdada mrembo haswa,nikasimama bila kusimamishwa na kumpa lift cos alikuwa anaelekda...
habar wandugu,kiukwel cjui niseme n bahat au ndo vle tena,nimesimuliwa kuwa wakati na umri wa miaka 2 na nusu nilihudhuria sherehe ya kufkisha siku 40 baada ya kuzaliwa bint ambae leo n mke wangu...
Ilikuwa kama utani mwaka 2005 nilipojikuta nipo ktk mahusiano.Hakika nilimpenda sana huyu msichana,alipata mimba mwaka 2007 na 2008 alijifungua baby boy.Muda wote huo alikuwa akiishi kwao na mtoto...
A new report claims that a broken heart is a medical syndrome that can be as lethal as a heart attack or a stroke.
Most people have watched a relative or friend pass away not long after the...
Wanandoa hawa walikutana na wakiwa na hali duni kimaisha, wakaoana na kujaliwa kupata mtoto 1 wakike. Kadiri siku zilivyoenda MUNGU akawajalia wakafanikiwa kimaisha na wanamiliki mali kadhaa...
Bazazi kwa muda sasa, amekuwa akishambuliwa na kushutumiwa sana na baadhi ya wanajamvii kutokana na yeye kila wakati kutoa mawazo mbadala (hasa upande wa kushoto kwani wengi hulalia upande wa...
"I do not play favourites" says Dad criticised for naming favourite child on his blog
Dad at the centre of favourite child debate defends his words to Yahoo!
Father of two Buzz Bishop said...
Tuseme wewe ni mwanamume na watafuta mchumba , kitu gani utakachoangalia kwanza kabisa?. Yaani kivutio cha kwanza ni kipi? Utavutiwa na nini au sehemu gani ya mwanamke?
Pole .Umekosea ,sivyo...
Ni kwa utafiti wangu nimekuja kugundua kuwa, iwapo unafanya kazi au ni mtafutaji wa maisha, hapa ninamaanisha ya kuwa wewe si tegemezi au goalkeeper mara nyingi unakuta kuna haki zinapotea au...
Wapendwa, kuna msemo mmoja maarufu sana unasema hivi,
"...Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe..."
Hivi kwanini ni mwanake na sio mwanaume? kwani haiwezekani mwanaume...
Wakati napiga story na wajukuu na kumalizia week end (ukiachana na refa mpuuzi ambaye kaharibu uhondo wa Liva kwa Man U), nimekutana na story kwenye Gazeti la Tanzania Daima ambayo nimeonelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.