Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Je naweza kupata m'ke mwenye sifa zote za mama?? Ambaye anaweza kuwa kama mama yangu?? Je anaweza kulinda kutetea kutunza kulea watoto wangu kama nilivyolelewa mimi?? Hii inatokana na aina ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wewe ni mwanamke hujaolewa unaishi na housegirl wako unaishi nyumba moja na mtu na mkewe huyo mwanamke ana madharau balaa ,anaringa kweli na kuolewa anarusha vijembe eti ringia bahati usiringie...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Katokea swahiba yangu kazini, kanipa kisa kimetokea mtaani kwao. Moto mkubwa sana ulitokea mwendo wa masaa ya manane usiku...katika patashika mtaani, ilikuwa mguu niponye, moshi na kiza kutanda...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hebu tuambieni wanawake wa kiafrika, ni kweli hamuwezi kutamka mambo haya matano kwa wapenzi wenu?? Secret she’ll never tell you: Money matters Okay, we didn’t miss the memo and yes we do know...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
I am single men.........hakunaga mapenzi yalee ya kugandana ni zama za kale. Ukinitaka/nikikutaka tunamaliza leo leo tu. Kuna huyu ana siku ya tatu hajaenda kazini kisa mapenzi.......Kisa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Bibi ya mtu ni sumu jamani. Munakumbuka ile mutu ya Kenya iko na stuck ndani ya muke ya mutu ingine? Mi iko na ile vidio ya huyo mjamaa, alikuwa anataka kulipa two thousand lakini ile bwana...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nina mpnz wangu nampenda sana na yeye anadai ananipenda.lakn chakushangaza mimi tu ndo namuita mpenzi . lakini yeye hapendelei sana kuniita mpenz.ananiita jina langu tu.neno MPENZI kwake ni kama...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Ni kwl mapenzi yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwapo wapenz wapo wanaopendana kwa dhati na wanaodanganyana 2 ili siku ziende . . . . . . . Ila swali la msingi kwa wapenzi hawa ni. . . . . ...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mie siupendi ulalaji huu.....! Ulalaji huu ndio mwake, huwa napenda sana fukuto....
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Kuna raha ya kuangalia mpira lakini mchezaji anayepiga chenga, anayepiga kanzu na mwenye mashuti makali kuna raha yake zaidi kumuangalia!!!! sasa ishu ya kitandani pia kuna manjonjo yake ni je ni...
0 Reactions
111 Replies
30K Views
Ulikuwa na girlfriend, mmedumu nae kwa miaka 4, mkaachana. Mlikuwa na marafiki wengi tu, wake kwa waume, uliowatambulisha kwake na waliotambulishwa kwako. Baada ya kuachana, msichana anakutana na...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
WAN JF naomba ushauri mke wangu ni mama wa nyumbani ,lakini cha ajabu nikirudi kazini nikimwambia natoka kidogo yeye anadhani naenda kwa wanawake nimejaribu kumweleza mke wangu nanyosha miguu...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
amekuwa anapeku sana simu yangu anapekua mikoba yangu anapekua nguo zangu kila anachotaka najitahidi kumpatia hata nikishindwa huwa nimejitahidi sana hapendi kusikia nimemsaidia mtu.. anadai sisi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ukiachilia mbali Jukwaa hili kuwa na thread za mapenzi kwa sana lakini pia linahusu mahusiano yetu pia hata kama si ya kimapenzi. Na hapa nalenga kwenye utani wa makabila yetu. Pengine siku hizi...
6 Reactions
122 Replies
12K Views
..habari wanajf,,kuna mume wa mtu mwenye watoto wawili amening'ang'ania kama ruba anataka nimzalie mtoto japo mmoja kwa madai ya kua mkewe kamjibu hana muda wa kuzaa anamuda na biashara zake maana...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
A 19-year-old Proscovia Alengot Oromait is now the youngest Member of Parliament in African history after running for and winning the MP position left vacant by her father in Usuk County of...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Usiniulzie shetan msaidizi ni yupi labda ni kupashe mpendwa wewe ulieolewa ama kesho ama wengine wa mamamdogo leo wanaolewa wengine wanakuwa wamejazia kwa wenzio yaani mke wa tatu ama wa nne...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Asalam aleikum, mimi ni mwanaume rijali mwenye mke 1 na watoto 2,kwa muda mrefu mke wangu amekua haelewani na mama yangu mzazi, na kila ninayeongea naye ili kujua tatizo anamlaumu mwenzie...
4 Reactions
252 Replies
20K Views
Wanajamvi poleni sana kwa majukumu ya kujenga taifa. Leo kama kawaida baada ya kukagua jukwaa hili pendwa nimeona nije na huu uzi. Kila mwana MMU akiulizwa swali kwamba nini kinachomsukuma...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
watu wengi wanakurupuka ktk mapenzi, wanapohisi sex huwavamia wapenzi wao bila kuwaandaa! matokeo yake huishia kuwaboa wapenzi badala ya kuwafanya wafurahie. 1.mwandae mpenzi wako siku mbili au...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom