Hizi ni miongoni mwa sababu ambazo wanaume wengi huchomoa mapema kwa wapenzi wao wapya kabla uhusiano haujashika kasi. Kuna wakati wanawake hukosea na kuvuka mipaka mwanzoni tu mwa uhusiano...
Nawasalimu wadau wa JF!
Mimi ni mzima na wikiend nilikua gonjwagonjwa imelala kitandani, si mwajua dozi na maji ya dhahabu haviendani.
Back to the main topic, waungwana mliioa na kuolewa nawapa...
Leo nimejikuta nimekumbuka kile kisa kizuri na cha kusikitisha cha Samson na Delilah,kisa hiki ni chenye kusisimua na chenye kujenga hisia nyingi katika mioyo yetu,kubwa zaidi kina mafundisho yake...
Habariza jioni wanajamii? Kutokana na kutokuwa na msimamo hawa wakwe ie walezi wa gf wangu,mi naona tufunge ndoa bila ya baraka zao,kisa tofauti za din ie mi muislamu na gf wangu mkristo...
Samahani hii ni kwa wanandoa pekee
kwa wale awajaoa ama kuolewa basi hilo tatizo kutoka ni ngumu kama unazini na mwanaume ama mwanamke na huku spiritual husband akitimua uchumba wako kumbe shetan...
Jimmy alikuwa yupo darasa la sita wakati mama yake alikuwa akijishughulisha na uuzaji wa ndizi shuleni kwa jimmy ili kupata ada ya kumsomesha pamoja na pesa ya matumizi mengine nyumbani,baba yake...
kuna kipindi huwa kinaoneshwa dstv channel 125 (zone reality) kinaitwa the cheaters kila siku zajtatu hadi ijumaa mida saa nne usiku na mara chache huwa kinaonyeshwa channel e (144) ya south...
SOURCE: Match.com
Kisses are more than a meeting of the lips. When done well, they're a form of communication, a surefire way to tell a woman "I want you" and "I love you." When done badly...
Natafuta mke sio demu jamani,vigezo ujiridhishe mwenyewe na tabia,sura na umri wako.niinbox weka contact zote muhimu ikiwezekana hata wadhamini wawili na mawasiliano yao pia.
Nina mahusiano na mtu ambaye tumekutana kwenye mtandao na hatujawahi kuonana, mwanzo tulikuwa tunawasiliana vizuri sana kwa skype, cha ajabu imefika kipindi mawasiliano yamekata na visa vya hapa...
Habari wanajamii
Mwenzenu naleta hoja hii. Inanihusu mimi mwenyewe na simzungumzii mtu mwingine kama ilinavyofanywa na wengine.
Nina mke na watoto, kwa muda mrefu tuliishi vizuri japo mikorogano...
Nilikuwa na Mpenzi ambaye tumekutana katika Somo lakini Mpenzi huyu anakuwa akijishitukia mara kwa mara kwa kuniambia hapendi kuumizwa kwa sababu alishakuwa na mpenzi ambaye alimtenda lakini...
UKISTAAJABU YA MUSA UTAONA YA FILAUNI.
Habari zingine kama hii zinawatia watu wasiwasi na kile kinachoendelea ndani ya dunia yetu hii. wengine wanadiriki kusema, hizi ni dalili za mwisho wa...
SIKU 30-
Story ya kugusa Moyo
Msichana na mvulana wamekaa peke yao kwenye garden moja mjini usiku.
Mvulana:nafikiri sisi tuna mkosi katika dunia hii tumeachwa nyuma sana...
nina rafiki yangu amekuja kuomba ushauri: ana mpenzi wake wana uhusiano wa mwaka mmoja. wanaishi mbalimbali, na tangu waanze uhusiano wameonana mara mbili tu ambayo ni mwezi wa kumi mwaka jana na...
Ameolewa jana na anataka amiliki jumba la uhakika kama fulani!
Sababu zifuatazo zinachangia sana kwa kizazi cha sasa kuwa na rekodi kubwa ya wanandoa kuachana (divorce)
Vijana wengi wanaingia...
Inasikitisha lkn ndivyo ilivyokuwa, jirani yangu mkewe ni mgonjwa muda mrefu ,amelala kitandani muda mreeefu. ndg na mawifi ndio wanamshughulikia pale alipo. kumbe jamaa siku...
Loh
hii wala siwezi kuisubiri mpaka jumatatu jamani
jana nilikuwa sehemu na famili tunakula kwa kweli hiyo sehemu ilinichukua
dk 30 kujiuliza kuna nini..kila anaekuja mtu mzima kabisa alafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.