Mambo wana JF?
Mi nna mpenzi wng ambae kwakeli nilimpenda sana. Ila tatizo la uyo demu ni kwamba ye ni mtu wa dini sana kiasi cha kwamba nkimwambia tusex anakataa anasema 2subiri mpk ndoa.
Sasa...
wana jf,
habari zenu.. Ni matumaini yangu kuwa ni wazima na mnajiandaa vyema na weekend.
Kama uzi unavyosomeka, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 ni mwanafunzi wa chuo hapa jijini dar...
wakuu habarini, ninampango wa kuanza kuishi na mke wangu,
nilioa muda yapata miaka 5 iliyopita, maisha yalikuwa ya
kusoma na tulikuwa tukionana mara mbili hadi tatu kwa mwaka, yaani nyakati za...
Let's say its a weekend jumamosi flani tulivu hivi.. Siku hiyo uko njema vibaya mno umepiga magumashi yako taa ya kijani itawaka.. Mara Ukakumbuka kale kabinti unakokatoleaga udenda daily...
1. Mwenye uwezo wa juu wa kukuhudumia, kimapenzi,kulea watoto na familia yote ukiwemo na wewe mwanaume, hata kama hana elimu ya kutosha.
2. Mrembo hadi wanaume wanajikwaa, lakini sifa ya kwanza...
dada mmoja mwenye umri kati ya miaka 30 - 35 alikuwa anaishi jirani na mtoto wa kike mwenye umri kati ya miaka 8 - 12. dada huyo alimpenda sana yule mtoto kwani yeye hakuwa na mtoto wala mume...
Mwanamke huwa kama pasi huchelewa kupata joto na hutunza joto kwa muda zaidi hata baada ya kumaliza kupiga pasi.Inatoke mwanaume anafika nyumbani kutoka kazini anamkuta mke naye yupo nyumbani...
"Whats
wrong with 'ME'...I FEEL SOMETHING FOR MY SISTER WHOM WE SHARE A MOTHER
BUT DIFFERENT FATHERS. I 'vent dared tell this to anyone not even her. I
cann't get her out of my mind. What...
Makampuni ya ulinzi kwa kweli yanakwenda na wakati. Kwa sasa wanaajiri mabint warembo ambao siku za nyuma walikuwa wanapatikana kwenye mapokezi ya mahoteli na ya maofisi makubwa hapa town...
Wanajamii naombeni niwashirikishe katika jambo muhimu nalo ni msaada ni mambo gani muhimu ya kumuasa mwanangu wa ubatizo wakati wa kumpongeza na kutoa nasaha kwa kupokea kipaimara katika kanisa la...
Hebu wadau sikieni hii,Baby naomba unirushie salio la ths 5,000/=halafu hivi niko njiani nakuja kwako ila sitakaa sana,kama dk 5 hivi, naomba uniandalie kuku na chips nakuja na rafiki zangu,halafu...
Nawasalimu Wakuuu!!!
Kuna mdada tunafanya nae kazi leo kaniomba ushauri, sasa sijui imekuaje ofisi nzima aniombe mie ushauri, au nimekubuhu sana mpaka usoni nimenza kuonesha nini? Mimi humu...
verytime you hurt me,
but, i dont get angry with you.
Everytime it pains,
but, i dont say a word to you.
Everytime you say sorry,
i forgive you on the spot.
Because..
Everytime you make a...
Wanajamii, nawaombeni kwa heshima na taadhima:
Humu JF kuna watu wa kada tofauti tofauti, na watu wa age tofautitofauti.
Nimekuwa nikichat na watu humu JF na kama mjuavyo tena humu...
"WABONGO WENGI HUVUTIWA NA MAKALIO NA MATITI MAKUBWA, HIVYO NAAMINI NITAWANASA WENGI"......BABY MADAHA
KATIKA kusaka mvuto wa kimahaba, msanii wa filamu na muziki, Baby Madaha...
Wandugu wana Jamvi natumaini mu-wazima na mmeamka mkiwa bukheri wa afya!!!!
Asubuhi ya leo napenda tushirikiane katika kuimarisha mapenzi yetu katika ndoa zetu na mahusiano yetu!!!
Hata mwili wa...
Habari wakuu.Mimi mwenzenu niliachana na maisha ya ukapera yapata mwaka mmoja na nusu sasa baada ya kufunga ndoa takatifu na my beloved.Pia nashukuru Mungu kuwa ninaishi vizuri na shemeji...
Jamani kwa namna moja au nyingine nilijikuta na fanya utafiti usio rasmi.
Nimeuliza wanawake kama 7(ninao waami kiasi chake) kujua kama wao huwa wanaota ndoto za kufanya mapenzi?
Jibu nililopata...
Imezoeleka sana mtu anapokua na uhusiano na ukafikia ukomo huhuzunika,sijui kwanini?Lakini kitu kinachonishangaza zaidi ni pale mtu mmoja anapotakwa kuanzisha uhusiano anapokataa yule alieanzisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.