Wapwa na mabinamuz, nataka nicheck afya yangu ili niweze kujiridhisha mustakabali wa maisha. Sasa je ni wapi naweza kwenda kupima fasta na kupewa majibu haraka bila kuchakachuliwa? Naombeni msaada...
Namshukuru Mungu mimi ni kijana mwenye bahati kwa kweli sijawai tongoza mwanamke bali wao ndo wananitongoza mimi caca kilichonikuta ni kwamba nimependa na kutongoza cjui naomben msaada nifanyeje.
juzi kati nikakutana na rafiki yangu wa chuo kimoja hivi..jamaa ni graduate kwa sasa na bahati nzuri ameshapata kibarua hapo dsm
alikua ni kijana mwenye couple nzuri sana wakati yupo...
We have all heard about the studies suggesting couples who have been in love for long live longer, but can love alone really have that much of an impact on your health? According recent research...
kwa mfano,mke wako ni mjamzito,na anakaribia kujifungua....na una rafiki yako wa karibu/au ndugu yako ambaye ni daktari/mtaalamu wa uzazi ambaye anaweza kumshughulikia mke wako wakati wa...
One day a farmer's donkey fell down into a well. The animal cried piteously for hours as the farmer tried to figure out what to do.
Finally, he decided the animal was old, and that well needed...
miezi michache iliyopita nilitokea kumpenda msichana fulani ambaye ni jirani yetu so nikaamua kumwelelza hisia zangu kwake kama bahati akanikubalia na mapenzi yakaanza hapo yalikuwa motmoto na...
Ilikuwa ni siku ya Ijumaa ya Agosti 31, 2012, majira ya saa nne asubuhi niko ofisini, nikiendelea na kazi zangu kama kawaida. Nilikuwa na jukumu la kakamilisha ripoti yangu ya mwishoni mwa...
What would YOU do if your man wanted you to abort your baby?It's an appalling dilemma. Here, Sophie and James reveal how it almost tore them apart...
Grieving: Sophie and James are still coming...
Rafiki yangu wa zamani ambae sasa ni mpenzi wangu ana jinsia mbili za kike.siku kadhaa kabla hatujakuta faragha na huyu msichana aliniambia kuwa yeye ana jinsia mbili za kike kwa kweli sikuamini...
jaman mwanajamii mwenzenu nimekuja mwanza lakini sijampata wakunikaribisha nakuomba we dada nikaribishe nipate wakunihifadhi mji huu wawa2 jaman mwana jamii mwenzenu baridi
Mimi ni binti wa,miaka26, tatizo langu ni kuwa mimi ni mwembamba sana hadi ninajichukia. Kiasi kwamba hata nikivaa nguo nahisi hazinipendezi. Nahitaji niongezeke angalau hata kidogo. Mwanzoni...
SIKU chache zilizopita, gazeti moja maarufu hapa nchini liliripoti juu ya fumanizi la babu mwenye umri wa miaka 70, Rafael Mitasio aliyenaswa gesti akiwa na mke wa mpangaji wake.
Taarifa...
Mimi na mchumba anasoma 4m 1 ana miaka 16 tunapendana sana 2 hivi juzijuzi ka niambia ananipenda sana lakini anaomba nimuache asome because hawezi ku mix mapenzi na masomo anataka tuwe marafiki 2...
Habari wana JF!
Katika maisha yetu ya leo vijana tumekuwa tukishauriwa sana kuachana na MAPENZI kwani madhara yake yamekuwa makubwa sana( i mean the time will come for love)...Mfano Halisi kuna...
Toka mwanzo nilijitahidi nisipende kwa lengo la kukwepa kuumizwa. Kuna walionipenda sana na waliishia kuumia maana sikuwa tayari kupenda. Niliwaacha wakiumia na kulia mimi niliendelea kuishi kwa...