Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

kama haujui maumivu ya upweke unaweza usione umuhimu wa kunisaidia. Kifupi ni kuwa nimekuwa mtu wa kukataliwa kiasi cha kupoteza kabisa hata hamu ya kutongoza. Kuna mtu nimetokea kumzimia na...
0 Reactions
87 Replies
9K Views
TUME ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imeeleza kuwa rushwa ya ngono sehemu za utumishi wa umma ni changamoto mpya, inayochangia kukwamisha juhudi za kupunguza maambukizi mapya ya Ukimwi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wasalaam JF members. Ni tabia ambayo imejengeka kwa jamii nyingi, kukuta ndugu kwa ndugu wanafanya mapenzi kwa sababu tofauti tofauti. Hii imesababisha mimba zisizokuwa na tija na migongano...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Wakuu hope mko okay... Sasa jana narudi zangu kutoka job nakutana na shostisho wangu ananisubiri home na story ilikuwa hivi... Siku nying amemstukia mumewe kuwa ana uhusianao na secretary wake...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Naelewa ukicheche (kiruka njia) ni tabia binafsi isiyotegemea sana kabila la mtu. Lakini kila mtanzania halisi anajua kwamba kuna makabila yenye reputation ya kuwa wao ni vicheche hasa wanawake...
1 Reactions
89 Replies
14K Views
Ebu 'just imagine' wewe ni kijana wa umri wa kati ambaye hujaoa au kuolewa. Una Girlfriend/Boyfriend na katika mazungumzo yenu mna kundi la damu linalofanana. Pamoja na huyu wa ukweli una 'vidumu'...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni kijana (Mwanamme) mwenye umri wa kukaribia miaka 40 naishi kanda ya Kaskazini. Historia yangu ya maisha ni ndefu kiasi ila kwa kifupi ni kuwa; nimetoswa na msichana niliyempenda na...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
hivi utamuelewa vp mpnz wako endapo amekuta msg za mapenzi ulizokuwa unachat na mtg mwingine na hakuulizi kabisa na umemuona akizisoma
0 Reactions
103 Replies
6K Views
Dada huyu anaitwa Amina(siyo jina halisi) aliolewa miaka 2 iliyopita,mumewe bwana Rajabu(siyo jina halisi)ni mfanyakazi kwenye kampuni moja ya uchimbaji wa madini.Tatizo ni hili:Amina na mumewe...
1 Reactions
67 Replies
5K Views
Nilishawahi kusoma thread moja hapa ilikuwa inaongelea kwanini watu wafupi wakali sana...mmoja akasema pia huwa wanakuwa successful walio wengi.....sasa hapa niko mwanza, nilienda kahama, nikaenda...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
To those of you who are single or married, saved or not saved, this is for you. I am a 35-year-old African American or Black brother dying of Aids. I would like to share my testimony with you...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Namshukuru Mungu sana kwa kuniwezesha kupata chaguo lilo bora zaidi. Nimepata mchumba anayetoka katika mkoa wa Iringa. Hapo ndo penyewe naomba mwenye kufahamu vizuri juu ya taratibu za utoaji wa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Leo asubuhi nipo uwanjani kwangu nafagia,wakawa wanapita watoto wadogo tu around kama miaka 6 au 7 hivi,wanaongea na haya ndo niliyoyasikia mtoto wa kwanza;yani mi leo usiku hata sijalala babangu...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Huo ndiyo utafiti wangu na msiniulize data nimezitoa wapi. Kwa wale wenzangu na mimi waliotembelea nchi mbalimbali, bila shaka utaunga mkono kwa asilimia mia moja hitimisho hili.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika shughuli zetu za kimaisha huwa tunakutana na watu mbalimbali\ ambao kwa nyakati tofauti huwa 'wanatushauri' jambo moja au mawili katika masuala ya maisha kwa ujumla....iwe mapenzi,maisha na...
5 Reactions
136 Replies
8K Views
habari jf! Kuanzia form 4 nilianza urafiki wa kawaida na binti moja jirani yetu,niliponza f5 urafiki ukageuka kuwa mapenzi ila sikuwahi kufanya nae mapenzi hadi siku moja wote tukiwa f6 ambapo...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Inawezekana hata wewe umeshawahi kuambiwa kwamba usihesabu vifaranga kabla havijatotolewa. Mara nyingi msemo huo hutumiwa katika jamii yetu ikiwa ni njia ya kumwonya mtu kwamba asiwe na matarajio...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Eva na anna walisoma o-level darsa 1.baadae wakapotezan kwa miaka10.walipokutana tena Eva alikuwa mfanyakaz na pia alikuwa na duka.Anna hakuwa na kazi yoyote bal alikuwa kapangishiwa nyumba na mme...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Jamani yaani mwanaume huyu ananipenda mpaka nimemtishia kumwacha na alikuwa anasoma hivi Jamie forum .aneogopa mpaka wazazi wake wamemkopesha pesa kanunua Mercedes loop hapa na let the shopping...
0 Reactions
89 Replies
7K Views
A child, who has been protected and habitually given whatever he wanted, would develop "entitlement mentality" and would always put himself first. He would be ignorant of his parent's efforts...
22 Reactions
33 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…