Nikakabidhiwa mwali niondoke naye.................
(Picha haihusiani na habari hii)
Hili ni tukio ambalo lilikimbiza jijini Dar mwaka 1987, ikiwa ni mwaka mmoja tangu nitie timu hapa mjini ili...
They may be enjoyable and exciting at the time,workplace/Uni/college romances are not without their potential pitfalls-even if you are both otherwise single.Not only do you run risk of having...
Mimi haya mambo ya ukware niliyaanza kitambo kidogo,na ndio maana siishi kusimulia masaibu niliyokutana nayo ujanani.
Nakumbuka siku hiyo nilikuwa natokea zangu Kariakoo narudi nyumbani Tegeta...
Nilikuwa ndio nimemaliza kidato cha nne na kuja jijini Dar na kufikia kwa mjomba wangu aliyekuwa akiishi maeneo ya Tandale kwa Mkunduge ili aweze kunifanyia mpango wa kupata vibarua huko...
Kuna wenza wengine hupenda kuwaandalia chai na karanga waume zao wanaporudi jioni toka kazini je, wewe hupenda kumuandalia nini mpenzi, mkeo au mume wako.
Hv inakuweje we Dada,Umesimama kituoni, Mwanaume nasimamisha Gari from no where, nakupigisha story 2 3 mwisho wa siku unaishia kuingia garini as a lift
Msinibishie coz nshawapa lift wa Dada zaid...
Jaribio la kutaka kumlawiti mtoto: Akung'utwa hadi kuachiwa Daktari na Mungu wamponye27/08/2012
0 Comments
Alifika nyumbani na kumlaghai mtoto Julius kwa pipi na kumuita uncle, uncle...
heshima kwenu wote,................wana jamvi,ni takribani mwaka wa tatu sasa tangu niingie ktk ndoa na mwanamke ambaye niliamini tunapendana sana,lakin mambo yamenibadilikia hasa baada ya wife...
Kesi hii iliyotokea mwaka 1981 na mshitakiwa katika kesi hii ni Nestory Hussein Chigawa ambaye alishitakiwa kwa kosa la kumuuwa kwa kukusudia Bonifasi Makende.
Kesi hii ilifunguliwa kwa mujibu...
Hivi inakuwaje hadi mtu anafikia hatua ya kumuua mama yake au/na hata baba yake?
Inakuwaje mtu anafikia kumuua dada, kaka, binamu, shangazi, au mjomba?
Ushawahi kukutana na mtu anayedanganya...
jamani wana jf naomba kusaidiwa mimi nikiwa katk yal mambo ye2 na my haniiii huwa sifeel kitu na wakati mwingine huwa nasikia maumivu ....... mpenzi wangu akaniambia labla ninatatizo kwenye kizazi...
Leo ningependa kuzungumzia watu wa haiba ya kutoa. Hawa ni watu ambao nguvu yao iko kwenye kukidhi haja na utashi wa mahitaji ya watu wengine. kumbuka hapa sizungumzii kuhusu kuwajali watu wengine...
habari za ijumaa wana MMU.
Leo nimekuja na hii mada hapa iitwayo uvumilivu hasa katika maisha ya ndoa. Mara nyingi sana nimekuwa nikisema ndoa yahitaj uvumilivu lakin sidhani kama naeleweka...
Wadau,
Hivi karibuni ofisini kwetu ameingia mdada mmoja hivi ambae nlikuja kugundua anakaa karibu Na home.
Nimekua nikimpita kwenye kituo cha daladala na mwishowe anakuja ofisini akiwa...
So, niko hospital na huyu Jamaa ambaye naweza kusema ni rafiki muhimu sana kwangu. Tunaendana kwenye baadhi ya mambo ila ana hii tabia ambayo si nzuri kwa kweli na nimesha jaribu kumuonya(at least...
Habari za jioni,
Guys, nina big concern here...Hop wengi wenu mpo ndoani na mna experiance na haya mambo. Mke wangu ni professional biologist( anafanya kazi kama pharmacist- ila kasoma mambo ya...
Katika kipindi cha dira ya dunia cha BBC nimewasikia baadhi ya wanawake wa Dar es salaam wakilalamikia mbinu za uzaz wa mpango kuwa zina madhara kwao,,,,wengi wameonesha kusikitika na kujutia...
wakuu,hivi kama ukivizia simu ya mmeo au mkeo ukakuta sms ya kimapenzi,then huyo mtuhumiwa anakugeuzia kbao kuwa kwa nini umeshika simu yake,hapa nani anakosa
Habari wana MMU,
Naombeni ushauri wenu; kuna msichana ninampenda nataman aje kuwa my wife lakini amekuwa mgumu kufunguka alipomalza six 2010 nilimgusia kuwa nataka kuwa nae akawa na kauli tata...
Kupenda kila mtu anaruhusiwa, lakini baada ya kupenda unachukua tahadhari gani? watoto wengi kuanzia miaka 14...... wanajikuta wanatumbukia kwenye ngono ambazo hazina kibali hivyo kufanya maisha...