Ngoja leo niyadadavue makosa yanayofanywa na wanawake wengi pale wanapoamua ni nani wa kuoana naye:
1. Kosa la kwanza, unaolewa na mtu ambaye unajua kabisa ni dhaifu na mkorofi, ukitarajia kwamba...
kuna kitabu kimeandikwa na steve harvey kuwasaidia wanawake kujua nini wanaume wanataka katika suala zima la mapenzi na mahusiano, nikaona si vibaya niwadondoshee link kwa wale ambao wanapenda...
Mi sijali,we nenda uendako,rudi asubuhi,mtoto aumwe poa tu nitampeleka amana,nizae na wewe unifanyie vituko,unalala huko huko,waongo sana wanaume,umalaya tu,mnatutesa sana lakini mjue yote kwa...
Kwa wanaume wenzangu,unakutana na mpenzi wako wa kike ambae hamjaonana siku nyingi,mnakubaliana kuwa mwende faragha sehemu mkapeane ma-vituz anakubali,unafanya booking ya chumba,na kabla ya hapo...
Miaka takribani arubatashara iliyopita tukakutana pale uwanja wa ndege wa kimataifa wa Ivato, jijini Antananarivo kisiwani Malagasi.
Wote bado tulikuwa washababi na watanashati wenye nyuso...
Kama hukumzoesha mwenyewe tabia fulani tangu mwanzo, kamwe mwanamke hawezi kuanza tu ghafla! Mara nyingi wanawake wakiwa wanatafuta kuolewa wana-pretend 'wapole' sana. Wakishaingia 'mjengoni'...
Waungwana naomba mnisaidie mawazo kwenye hili.
Nina mke na watoto watatu, na tunamshukuru Mungu maisha yanakwenda vizuri.
Kuna binti niliwahi kuwa naye siku za nyuma wakati niko sekondari...
Jamani kila mara tunashauriwa kusamehe pale tunapokosewa na wenzi wetu. Tena tunaambiwa usamehe halafu usahau kabisa, then mnafungua ukurasa mpya na maisha yanaendelea!
Swali langu ni hivi, hiki...
Nawashirikishe.. mia
Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa chini na kula chakula...
Huyu ni shemeji yangu kwa kaka yangu amabaye tulitengeneza undugu shuleni. Nilipokuwa naingia form I yeye alinipokea akiwa Form III. Alinipenda, nikampenda. Ndiye aliyenifanya nisionje manyanyaso...
lets say jamaa has taken a gal out for a wikend get away kwenye ki island kama zenj hivi na while u there katika raha zenu za mapenzina jamaa katika kusema il love.... anasema jina la ex wake...
Dada angu kaolewa znz ameambiwa na shemeji kuwa akikubali kuhesabiwa sensa basi ndo talaka yake arudi bara. Wana jamvi nifanyaje hapo kuokoa ndoa ya dada wangu?
Ndugu wanajamvi,leo ni siku yenu mliooa au kuolewa au unaishi na umpendaye kwa dhati kama mke na mume kufunguka jinsi ulivyopata kumuona/kukutana na mke/mume wako umpendaye hadi sasa. . . .mfano...
Hata mimi nilikuwa nikiamini katika jambo hili, kwamba watu wenye uwezo mkubwa kiakili huwa na mafanikio katika maisha. Nilikuwa nikiamini hivyo kwa sababu nilikuwa nikijua kwamba ni wale wenye...
Usimuache mpenzi wako kisa Umesikia stori fulani kumhusu kutoka kwa mtu ambaye huna hata uhakika kama stori anayosema ameiona kwa macho au nae amesimuliwa,si ajabu aliyemsimulia naye alisimuliwa...
kuna mtu alipata mimba akiwa shule akaogopa sana kuwaambia wazazi wake,kwahy akaamua kwenda hosp moja kutoa kule alipewa vidonge vya kutoa ile mimba.ila kwa bahati nzuri ile mimba aikutoka ikabidi...
Hivi mahari ina maana gani? Ina muhimu gani? Na je kiwango chake kinategemea kigezo gani? Na je imeanza lini kihistoria? Jamani hebu tulijadili hili swala maana linaelekea kuvunja mahusiano ya...
There was a aShe hated everyone, except her loving boyfriend. He was always there for her.
She told her boyfriend, 'If I could only see the world, I will marry you.'
One day, someone donated a...
Nimekuwa nikiangalia jinsi wnaume wa sasa hivi wanavyowaachia wake zao majukumu yote nauliza nyie wanaume mnaopenda kulelewa na wake na wapenzi wenu nyie ni vichwa au miguu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.