Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hera ya gas ,shopping,nunilia gari why
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Hivi ni kweli kuwa mnapoanza mahusiano mapya, mkajikuta mnapeana tam tam mara kwa mara inachangia kuchokana mapema? Hebu tupeane maujanja asee!
0 Reactions
25 Replies
3K Views
habari za jumatatu wapendwa, hope w-end yenu ilikuwa poa kama yangu. naomba tumshauri rafiki yangu. yeye anatarajia kuolewa katikati ya mwezi ujao. anauliza ni zawadi gani nzuri anaweza kuwapatia...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Mi ni kijana ambae sijawahi kufanya mapenzi bado na sijui ladha yake ikoje. siku hizi nimeanza kupata ndoto mbaya za kuota nafanya ngono halafu najikuta nimelowa maeneo ya ikulu. nilikuwa sijawahi...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Hivi hizi open relationships huku kwetu zina work? kunahaja sasa kwa wapenzi kuwa na uhusiano wa wazi maana yake kila mtu awe free kuwa na mtu mwengine ila awe na nidham kwa mwenzi wake wa...
0 Reactions
104 Replies
7K Views
Ninashida moja kila mwanamke nitakayemuona nimzuri na anamvuto kwangu naambiwa tayari alikwisha kuolewa au amechumbiwa.. Najiuliza kwa hiyo wanawake wabaya wote ndiyo hawajaolewa au kuchumbiwa...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
When a woman walks in a room, most guys become as keen as the FBI in terms of quick analysis of the lady. Time slows down and everything else in the room becomes distorted and out of focus. They...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Tanzania na nje ya mipaka yetu, masupa staa wengi hawadumu kwenye mapenzi yao, yawe urafiki, uchumba na hata ndoa.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kama binti niliejitoa katika himaya ya mapenzi baada ya kuumizwa vibaya na first love kisha kuoa imeaditely baada ya breaking up with me, niliapa kuwa sitopenda tena!! nilibainisha msimamo wangu...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Hi JF members,GOOD BOY IS NOT FINE, BAD BOY IS NOT GOOD by Mary J. Bridge, In the real life it seems that the most beautiful girls are married to unexpected men (bad boys), while the beautiful...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wandugu, nimepata taarifa eti wahudum wa nyumba za wagen huwa wanachukua shahawa wanazokuta mara baada ya wateja kutoka na kufanyia mambo inayosababisha mwanaume kushindwa kusimamisha uume...
0 Reactions
73 Replies
8K Views
Bishanga na watu fulani (mnajijua) wala msijisumbue kujibu!
3 Reactions
32 Replies
3K Views
kwa wale wazazi kama mimi ni hatari sana kumwacha mtoto kwenye gari mda wowote. kwa mnaongalia Oprah show yuko mama mmoja alimsahau mwanae kwenye gari asbh kwani amezoea baba yake ndie...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna dada mmoja nampenda kiukweli na nimemzidi miaka 6,kwa sasa yeye ndo anaenda chuo....bado sijamwambia na ninachat nae(kwa sms) kwa ukaribu sana...ila kila sms yake ananiita...
0 Reactions
83 Replies
11K Views
Huu wimbo unanikumbasha kwamba mchezo huu ulinisaidia sana kujifundisha kutongoza mademu enzi zangu, sijui kama unaukumbuka? Wanawake walikuwa wanakaa upande mwingine na wanaume wanaanza kuimba na...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za maandalizi ya kuhesabiwa. Nimekuja na hili swali sababu kuna incidents zimetokea katika mazingira ninayoishi na kwa baadhi ya rafiki zangu. Incident ya kwanza kuna binti mmoja alitokea...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wapendwa, habari zenu. Nawasilisha mbele yenu uzoefu wangu wa muda mrefu kuhusu jinsi baadhi ya wanaume wanavyotuchukulia sisi wanawake. Uzoefu huu umetoka kwenye uchunguzi wa tabia za wanaume...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
siku moja nilikuta rafiki zangu wawili wa kike wanasimuliana, kwa kuwa wamenizoea uwa wanatia tu stori hata yaliyojiri kwenye sita kwa sita, sasa haya mazungumzo yao yakanifanya niwaze mara mbili...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
habari za asubuhi wana mmu, ni mwaka umepita tangu nikutane na huyu kaka. naweza kusema ni wa kawaida sana, yan kimaisha,elimu na muonekano pia. nilikutana naye tukiwa tunasoma koz flan.alionesha...
1 Reactions
69 Replies
4K Views
Back
Top Bottom