Ama kweli, binadamu hatujafa hatujaumbika:
It's not my fault I'm a sex addict: Woman reveals she has slept with more than 1,000 men
She had 40 lovers by the age of 17
Once had sex with 7 men...
Kuna mshika mmoja analalamika kutongozwa na wanaume mwenzake, kisa cha yote ni mke wake. mke wa jamaa alienda sokoni na kukutana na mwanaume aliyemtongoza na kisha kumuomba namba ya cm mwanamke...
When you are about to make love with a woman, the last thing you want to do is turn her off. Helping you become a Better Man means helping you become a better lover, and toward that end, we want...
Najua jambo hili linaweza kuwa gumu kwa wengi,hii ni kutokana na mazoea.Hebu tutoke kwenye mazoea. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Ni jambo la kawaida kusikia kauli kama "hivi we mtoto...
Pengine umebakiza siku kadhaa kama sio jumamosi kuoa ama kuolewa
kuna research imefanyiaka asilimia 60 ya wanandoa walitkea kutamaniana
na 40 kupendanan wewe unatajia uko ipi kama sio utakuwa ipi
Hiki kisa cha kweli kabisa! baina ya binamu yangu (mwanaume), mwanaume na mdada mmoja. Mwanaume mweneyeji wa Moshi) anafundisha shule moja ya sekondari nje ya mji wa Morogoro na binti (mwenyeji...
kama mvi ni busara mbona wenye mvi wengi ndio wanaoonekana kutumia lugha chafu hadharani?
Kama mvi ni busara mbona wenye mvi wengi wanaonekana wakiwa walevi mbwa kiasi cha kutia aibu?
Una maoni gani kwa subordinate mwanamke anapoomba apewe lift na boss wake mwanamke mara kwa mara au kwa sababu wanakaa eneo jirani au boss anapita njia karibu na makazi ya mdada? lift za au...
Heshima kwenu brothers and sisters
Baada ya kupitia thread nyingi sana za mmu na stories za ndugu na jamaa nimegundua true love does not exist as everybody has a price tag,
Bila kudanganyana...
Ni hivi majuzi tu nimekutana na X Gf wangu wa miaka kama 20 iliyopita, amenishangaza sana kwa kuniambia eti pamoja na kuwa ni mtu mzima mwenye watoto wawili aliifurahia tendo la ndoa akiwa na mimi...
Habari zenu wadau!
Nimefanya maamuzi magumu ambayo nilidhani yatanisaidia, lakini yanaishia kuniumiza.
Ni kuhusu binti ambaye nimemfatilia kwa muda mrefu, nilijitahidi kwa kila hali kumuonesha...
Kumekuwa na habari za chini kwa chini kuwa kuna baadhi ya makabila hasa wazee wa makamo hupewa elimu ya kumtambua mwanamke mwenye mashine safi kwa kuangalia mdomo na mpangilio wa vidole vya miguu...
10 GREAT RULES THAT WILL HELP YOU REMAIN POOR ALL YOUR LIFE
1. Never wake up early: Keep stretching and turning in bed until you get too hungry to continue dozing. If there are no bedbugs, why...
Wana Jamii Forum naomba kuwasilisha hapa mbele ya jukwaa hili
Nina mpenzi wangu kamaliza chuo now nataka nioe kabisa!! Tukiwa katika maongezi ya kawaida tu nikamdokezea
Hivi mahari yako ni kiasi...
assalam alaykum ndugu Zangu mnaendeleaje na swaum mimi leo nilipenda kujua wanawake mpo kwenye makundi gani katika mahusiano maana kuna wengine wapo kwenye mahusiano kwa ajili ya mali baada ya...
Taarifa kutoka katika vyanzo vyetu vya habari zimedai kwamba Ali kwa sasa hana uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa kuwa nyeti yake imetoweka kimiujiza na shutuma zote anambebesha mkewe kwamba ndiye...
Wana JF,
Mwaume unakutana na binti/dada/mwanamke kwenye mizunguko yako ya kimaisha.
Katika kuongea ongea naye, unaomba namba ya simu ya binti/dada/mwanamke.
Katika kuomba simu,
Baadhi ya wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.