Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Niko kwenye ndoa kama mwaka na nusu sasa na mwanamke ambaye tulikuwa kwenye uhusiano kwa muda wa zaidi ya miaka sita.Juzijuzi alipata ka-scholarship huko Ughaibuni ka muda wa muda...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
NILOSIMULIWA..... poleni kwa majukumu na ninatumaini wote humu ni wazima, kwakweli ninajuwa kwamba kila binadamu anamatatizo yake lakini matatizo mengine kamwe hayawezi kuvumilika. Kaka...
5 Reactions
76 Replies
5K Views
habari za leo wana jf wenzangu kuna kitu kinanitatiza kidogo ebu naombeni kuniweka sawa kuhusiana na ili hivi kujua kama msichana anakupenda kweli unaweza kuangalia vigezo gani, na je? msichana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nasikia kuna style ambazo ukifanya na mwanamke zinasukuma kizazi ndani, na kadiri mnavyo fanya kwa muda mrefu ndio kizazi kinavyozidi kwenda mbali zaidi, na kizazi kinavyo zidi kwenda mbali ndo...
0 Reactions
29 Replies
19K Views
Mapenz yanatutesa vijana wakisasa.. kutokana na research yangu ya mdamrefu nimegundua kitumapenz kinawatesa sana vijana wakisasa na hasa wa kiafrika.. 1-Ukabila..,uliwasaidia sana wazee wetu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimeoa miaka 10 iliyopita. Tatizo alilonalo mke wangu ni kwamba anausingizi sijapata kuona. Miaka michache iliyopita hali ilikua mbaya zaidi kwani alikua analala hata kwenye gari jambo...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
MMU daima..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
For those bible readers...this might come in handy for you....just thought its worth sharing. The Character Traits of a Godly WifeProverbs is most specific with regard to the qualities of the...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
yeah..if you thought honesty is the best policy you thought wrong.yamenitokea puani jamani. so i kissed another guy and to God i swear it meant nothing at all. i was feeling neglected, told him...
9 Reactions
146 Replies
9K Views
Mimi ni msichana wa miaka 22, natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa, mwenye elimu angalau bach. mkristo ambae ana umri usiozid 25yrs
1 Reactions
53 Replies
9K Views
A jua kali artisan from Murang’a County recently used a dozen pair of underpants of different colours and sizes to get his wife rushing back to his house after she had ran away. The wife had...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WanaJamvi Salaam Mara nyingi kwenye mahusiano/ndoa kuna kitu kinaitwa wivu. Wivu unaelezwa kuwa ni kipimo cha kupima kama mwenzio anakupenda ama la. Japo wengine wanadai wivu ni kutojiamini katika...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Leo nina kisa nataka kuwasimulia. Bwana mmoja alikuwa amekwenda kazini kama ilivyo kawaida yake, akiwa ndio anafika kazini akapigiwa simu kujulishwa kwamba nyumba yake inaungua. Bwana yule...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Hivi men wa Jf wana tabia kama yangu ya kupenda kuhonga?? Ninasikia raha kuhonga....hasa pale ninapofanikiwa kumnasa mlengwa (napiga mapigo ya kifashisti) Kuna ubaya kuhonga? ur advice plz
10 Reactions
87 Replies
11K Views
Guys I have been approached with the question above from somebody who was locked out of his bedroom by an angry wife after an argument over an issue. The guy ultimately broke into the room. What...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wanaJV! Naleta kwenu!
0 Reactions
21 Replies
4K Views
mpaka sasa nina miaka 35 na sijaoa ingawa natamani sana kufanya,nimedanganywa na wadada wawili,kila mmoja kwa wakati tofauti,sasa naogopa kabisa sasa sijui nifanyaje na kuoa nataka lakini...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna propaganda za hovyo kuwa watu weusi wamelaaniwa na Mungu,sijui dhana hii imeanzia wapi,lakini iwe iwavyo mwanzilishi wake lazima atakua anawaogopa watu weusi,huwezi kukianzishia kitu au mtu...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
@arusha, mama mchagga,baba mngoni. my boyfriend /Ole MANIANIA yupo safarini (ubelgiji) na awali aliniambia atakuja likizo baada miezi mitatu baadae akanjulisha hawezi kuja Tz kutokana na ukata...
7 Reactions
453 Replies
47K Views
Back
Top Bottom