Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari zenu wadau? Poleni na mihangaiko ya kimaisha! Wadau, wiki jana nilikuja na mada hapa jamvini kuwa mchumba angu hataki kutoa kitu hadi siku nikimwoa. Lakini nimegundua kuwa anaendelea...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Imemkuta jamaa yangu juzi. Alimuona dada mmoja jana maeneo ya fire anasubiri usafiri wakati anamuacha mshokaji wa ofisini pale. Yule dada alimfata na kumuomba msaada kwa madai kuwa anashuka...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Nazungumzia kuingia kwenye penzi kwa mara ya kwanza halafu ukapenda kikwelikweli. Ilinitokea tena nikiwa na miaka 18..nilimpenda sana huyu binti, sidhani kama kuna saa ilipita bila...
4 Reactions
36 Replies
12K Views
Habari zenu wakubwa ... nina swali moja dogo tu la kuchangamsha ubongo na kujua maoni yenu kwani kuna maamuzi magumu yanatakiwa yachukuliwe .. My question simply is - In your hand is a box full...
0 Reactions
3 Replies
989 Views
Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi nimeoa miaka 3 iliyopita, lakini imetokea sina hamu na Mke wangu, badala yake ninampennda sana sana na ninatoka na Msichana mwingine. Sijui nifanyeje! Natamani kweli kupata ushauri wa jinsi...
2 Reactions
77 Replies
6K Views
hellow to everyone
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Onyesha unampenda mwenzio hadharani (watu waone). Msijifichefiche. Mfano utakuta wanandoa wanapoongozana mume au mke katangulia mbele kama mita 5, hii si nzuri kabisa kwa afya ya ndoa.
1 Reactions
1 Replies
7K Views
Wanabodi mnisaidie....!kuna dada mmoja niko nae katika mahusiano sasa inafikia mwezi..huyo dada ana mtoto mmoja amezaa na kaka mmoja yupo mkoani..ila tokea alivyo mbebesha mimba jamaa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nilimpa lift jumatano asubuhi wiki iliyopita. Anasoma chuo cha usimamizi wa hotel. Aliomba namba yangu ili ikiwezekana niwe nampa lifti siku moja moja hasa nyakati za asubuhi na jioni. Siku hiyo...
15 Reactions
384 Replies
37K Views
Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuu kwetu sote. “Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Hapa mtaani kuna baba dume zima, baba mwenye watoto wawili kakabaka katoto ka miaka 12. Baba huyo kakamata katoto kakitoka bombani kuteka maji, maji huanza kutoka saa 4 kamili hadi saa 8 usiku...
2 Reactions
72 Replies
9K Views
natumai wote ni wazima wa afya.hivi ni kwa nini mahusiano either ni wachumba au wako kwenye ndoa wakiwa mbali na mwenzie mwanaume anapocheat inaonekana siyo ishu lakini inapotokea kwa mwanamke...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
.........
14 Reactions
42 Replies
3K Views
Ndugu wana JF kwanza kabisa poleni na majukumu. Shida yangu ni hii, mimi ni mwanaume, mwaka jana mwezi wa 12 nilikutana na mpenzi wangu humu jf, tukafanya mawasiliano tukafahamiana vizuri...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Imekuwa ni kawaida sana kwa pande mbili hizi zinazoshutumiana lakini at the same time zikihitajiana sana. . . . . . . . . . . . . . . . . . , . . . Wanawake na Wanaume,yakimfika mwanaume atalaumu...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Hi on test
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Naomba kupata mawazo yenu imekaaje kwa mwanamke 'kumhonga' mwanamme? Nadhani nimeishi kwenye jamii amabayo mwanamme ndio 'breadwinner' na ndio inaonekana halali hata yeye kumhonga mwanamke na si...
3 Reactions
128 Replies
12K Views
TBC1 wamerusha habari kuhusu tukio la ajabu sana, ambalo linahusisha ukatili wa hali ya juu. Nasra Mohamedi mkazi wa Bunda, Mara amelazwa hospitali ya Bugando baada ya mume wake kumfanyia vitendo...
2 Reactions
254 Replies
21K Views
Nimebahatika kupata mchumba wa kihaya,,,kanyigo na natarajia kufika huko kwao december. Zaidi naomba mnijuze nikifika huko nitarajie nini na baada ya ndoa nitarajie vitu gani kutoka kwa huyu mume...
3 Reactions
57 Replies
15K Views
Back
Top Bottom