Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wapenzi wanaJF, BINADAM tunapitia nyakati tofauti sana za mahusiano na kwasababu tunatumia sana hisia kwenye mahusisano yetu tumekuwa tunashindwa kudumu nayo kwa muda mrefu. Mpaka sasa ulipofikia...
0 Reactions
48 Replies
3K Views
Je kutokana na uchunguzi wangu niko sawa juu ya hii? naombeni maoni yenu pia, Mwanaume ambaye yuko insecure juu ya mke wake katika maeneo yote yaani kuanzia kitandani hadi kimaongezi na utashi...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
They are soft, warm, beautiful, bouncy, sensitive, sexy, curvy. Breasts are probably the most beautiful part of a woman. They can easily be counted among one of the first things men notice in...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
au kuna maana nyingine......?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jaman nina rafiki yangu ambaye tumekuwa marafiki kwa muda mrefu sasa ila namjua ni tapeli na malaya sana na ameoa wake zaidi ya wawili bila ndoa na kuachana nao sasa cha kusikitisha zaidi...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Hii nimeipata tu sehemu nikaona bora niulize kama huku ndio kukokotoa kwenyewe
0 Reactions
30 Replies
2K Views
je umewahi kumwelewa mwanamke kitu anamaanisa anapoongea? je huwa wanamaanisha wanchoongea? Nimejaribu sana kuelewa kitu wanawake wanaongea na wanachomaanisha nimekuja kugundua ni ngumu sana...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
ni baba yangu, ni mtoto wake wa nje, aliponipa jina la JOSEPH alihamishwa kikazi (alikuwa mkuu wa kituo cha polisi HIMO mwishon mwa mwaka 1979). Ila nasikia alihamishiwa TAZARA. Baadae ndo...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Heshima mbele wakuu!ebana,juzi nilikua nachat through phone na galfriend wangu,asa katka kuchat huko nikamuomba leo jumatatu tukutane town{nadhani wakubwa wenzangu mtakua mmenielewa},yeye...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Naombe ushauri wanaJF nina gf wangu wa mda mrefu kidogo, toka nimeanza kuwa nae sijawahi kusikia hichi kitu. Nilimpigia simu siku tatu mfululizo hazipokelewi, ikanibidi na mimi nikae kimya, siku...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Najua hili jambo limeshajadiliwa sana,sina maana nalileta tena ila natoa angalizo kwa wale wanaoliishi. . . . . . . . . . . . . , . . .Kuwa mwaminifu sio kwa sababu Mungu amekataa uzinzi,au...
4 Reactions
71 Replies
4K Views
Nampenda binti fulani, mtoto mzuri sana wa hapa kitaani bt kumwambia nashindwa though najua anajua nampenda. Nifanyaje wadau? Nishaurin plz!
0 Reactions
51 Replies
15K Views
inawezekana kweli?
0 Reactions
34 Replies
3K Views
hivi kwa nini utakuta unayempenda hana mapenzi na wewe,lakini usie mpenda uwiiii yani anakuganda mpaka basi...kwa nn?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Spouse wangu, I lost count zilipofikia pairs 100 baada ya 4 years ya marriage . . . sasa sijui idadi aliyonayo. Vingine havivaliwi, kila msimu au sherehe na kiatu chake . . . . sasa hata sijui ni...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Hivi ni umri gani mtu atakoma kuamkia amkio la shikamoo? Utaona mtu mzima yuko kwenye 50s bado anarusha shikamoo kwa watu ambao kwakeli hapishani sana nao.Au ndiyo hawa wamepewa roho ya ujana hata...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu jamani? Mimi nina mpenzi wangu ambaye nampenda sana na yeye ananipenda sana (kwa mujibu wa mdomo wake) Sasa tatizo ni kwamba anapenda sana kukaa na kupiga story na wanaume. Niliwahi...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
WHEN A WOMAN OPEN HER BODY TO A MEN THE MEN IS CURSED SEX AND LOVE ARE PURELY 100% UNRELATED. LOVE FOR THE HEART SEX FOR THE BODY. from my book coming soon long walk to real love
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Jaman nimeachwa kisa ni mtandao mmoja hivi wa kijamii, sio kwamba nilikua nautumia vibaya wala nini!! Ila ilifikia mda nikaambiwa mambo yangu yote anayajua kwahiyo mimi na yeye tusijiane...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Inatokea kuna mdada umempenda sana,unachukua uamuzi wa kumtongoza na yeye bila hiyana anakukubalia,mnaingia kwenye mahusiano,inapita kama miezi 3 bila kukutana kimwili tangu muanze uhusiano maana...
1 Reactions
135 Replies
9K Views
Back
Top Bottom