Huyu mke wanu sijui nimfanyeje, anajiona ana akil na muweza kuliko kiumbe yeyote duniani.
ananinadharau na kuniona mimi na ndugu tu mazuzu.
Amevuka mipaka, hata na baba yake naye hamhehimu wala...
habari zenu wapendwa, kuna kaka mmoja alinipigia sim lakini akawa amekosea namba baada ya kujua kua kakosea akaniomba samahani nami nikaendelea na zangu, kilichonishangaza alinipigia tena na...
najitokeza mbele enu wana jf wenzangu!! Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja ambae ninatumaini mungu akijali baada ya miaka 3 niwe nae! Nimekua ktk mahusiano kwa miezi 5 kutokana na tabia yake na...
Nimeshuhudia ndoa nyingi zinavunja kwa 7 ya cm ..wanawake kwa wanaume wote wanaumizwa na mapenzi kwa 7 ya cm kama unapenda mke wako au mume wako kwa nini ufutilie mpaka kwenye cm ,sms kwa wanaume...
Hii nimekutana nayo sehemu fulani hivi akina dada walikuwa wanamchamba mama mtu mzima ilivyoonekana huyo mama anapenda vijana.Hivyo hao dada walikuwa wanamwambia hukufanyw..... Ukaridhika enzi...
Is it coz...
1) You won't get over your ex.
2.) You're Scared Of Commitment & Heart Break.
3.) Because you want what you cant have.
4.) You flirt too much.
5.) You don't act like you're ready for...
naombeni ushauri na nifanyeje ninampenzi wangu ambae tumekua kwenye mahusiano kama miezi 4 iliyopita amekua muongo kwangu kwani nimegundua historia aliyoniambia kuhusu maisha yake niyauongo yote...
Za siku nyingi wana Jf.
Ebwanae, mimi nimepanga kama mjuavyo kupanga kuna mambo mengi. Sasa katika nyumba yetu hii kuna dada mmoja inasemekana ni mlokole[maana sijawahi kumwona anatembelewa na...
Nlipokuwa form one mwaka 2004 nlitokea kumpenda sana msichana fulan, nilimpenda sana tena sana, nilipojaribu kum-approach alinkatalia (naamin alinikataa kipindi kile kwa sababu alijiona mdogo)...
Hivi kwa nini mtoto anapozaliwa anabeba jina la baba, Mfano Jasmine Ali na isiwe Jasmine Sara....?
Kwa nini wanaharakati wa mfume dume huwa hawalisemei hili jambo?
Ili wanawake waweze kukomboka...
habarini wanaMMU.
leo asubh nikiwa kwenye dalax2 nilisikia mjadala ukiendelea, cjui ilikuwa ni cd ama radio station. mjadala ulikuwa unasema kwamba mwanaume ni dhaifu tangu mimba inapotungwa kwa...
·
I, with a deeper instinct, will choose a Woman who
compels my strength, who makes enormous
demands on me, who does not doubt my
courage or my toughness, who does not believe
me naïve or...
Wana jf tushirikishane hili suala muhimu! wapenzi au wanandoa wengi wanapotaka kuanza mahusiano yao huulizana maswali kama haya...'unasoma wapi, unafanya kazi gani, we ni mnene au mwembamba n.k'...
A LADY'S INBOX:
1..I luv u dear Invisible
2..Can i take u out tonite? Nyani Ngabu
3..I always feel bad when I see u with another man Asprin
4.. Sweetie don't forget d trip The Boss...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.