Kama kuna kosa ambalo siwezi kumsamehe mpenzi wangu ni USALITI", yaani nikigundua hata kama nimechelewa kujua ila hukumu yangu ni hapohapo.
NI KITUGANI KIPELEKEACHO MTU KUVUNJA UAMINIFU KWA...
Mapenzi ya siku hizi bila pesa ni uongo, na watu wanapo kosa pesa ya kujikimu au kumsaidia mpenzi wake basi muda mwingi huwaza kuwa akiwa nampenzi wake for sex ili asimkimbie na mwisho wa siku...
Kuna msemo mmoja unasema "don't judge a book by its cover". Hii ina maana kwamba usihukumu kitu kwa mwonekano wake........ Naam hiyo iko kila mahali, ni jambo ambalo tumefundishwa na jamii...
Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini siku ya harusi wanandoa wote huwa na amani ,na furaha lakini kadri siku zinavyokwenda mbele amani na furaha hupotea ?
Why do you opt for ABORTION?dont you know that is the same as killing?
Those little heroes go down the drain day by day,they are future leaders but they go down the drains day by day,they cry so...
How are u ladies and gentlemen,,,,!
Jamani mwenzenu nimetoka moro ninakoishi na kwenda kumsalimia ndugu yangu anayeishi singida mjini.
Sasa leo j2 mida ya saa nne asubuhi nikiwa kwenye...
HAVE U EVER LOVE A WOMAN?
To really love a woman
To understand her, you gotta know her deep inside
Hear every thought, see every dream
And give her wings, when she wants to fly
Then when you...
assalam alaykum wana jf mmi ni kijana wa miaka 21 nimemaliza kidato cha nne mwaka kwa kipindi chote hicho sikwaga na bahati ya kuwavutia wasichana kwa hiyo mimi nina nini jamani na vilevile uongea...
Miaka mingi iliyopita iliukuwa ni miaka yenye ufahari juu ya mwanamke,mwanamke alikuwa mwanamke kwelikweli,ni kweli alikuwa MSAIDIZI WA MWANAUME,kwa hali hiyo tulijivunia sana hawa wakina dada...
My wife ni mjamzito wa mwezi 1 tu! lakini visa na mikasa haviishi hapa ndani kwanza;
-Nilipigwa BAN kumsogelea tukiwa tumelaa usiku japo tunashare shuka moja.
-Jana nimeamka asubuhi nikakuta...
I have been going out with my boyfriend for two years now and, in many ways, hes perfect for me with one caveat. Although hes very loving, when were in bed he feels less engaged than I am...
Ndugu zangu wana jf naombeni ushauri wenu,may mwaka 2008 niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja mkazi wa iringa,ila ilipofika june tarehe za kuanzia 20 alisafiri kwenda kwao iringa ambako...
Kuna kijana nilimchukua akiwa bado mdogo baada ya wazazi wake kufariki yeye na mdogo wake wakike,(yatima)ni watoto wa ndugu yangu aliyefariki nikawalea toka primary mpaka sec.ambapo sasa wako form...
Sijui ni out of my being a gentleman ama ni kuchoshwa na uzito wa usingizi ninaoubeba kila siku,
niliketi mahali na huyu msichana next door.Lately nimekuwa nikiamka mara kwa mara katikati ya...
Habari wadau!!!
Ama kweli wakati unahitaji kitu hakipatikani na wakati huitaji ndo kinapatikana kwa wingi!!!Mi nimekuwa single kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa,nimeamua niingie tena...
Habari za blue Monday wakuu? Yangu iko bomba iliyojaa Mawazo kibao ya kujilaumu ya kutafuta riziki ndani ya wiki hii!
Well, embu tujiulize khusiana na suala hili!!
Mtu anakuwa katika...
Kutokana na ugumu wa maisha na ukame wa hali ya juu ktk vipima joto vya akina dada zetu, na waombapo msaada kwa mabasha zao hutoswa, hivyo wamegundua mbinu mpya ya kujipatia mkwanja mrefu kutoka...
Kumtokea rafiki wa kike wa dada yako ni mbaya?.Coz nimetokea kmpenda rafiki wa dada yangu but naona noma kemtemea madini nahic sister anaweza nifikiria vibay,Nifanyeje wa kubwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.