Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wiki ya jana tulijiuliza swali zima la ni kipi kinatakiwa hasa kwenye suala la kuosha vyombo baada ya kula na ikaonekana watu wengi wamekubaliana kuwa vyombo vinatakiwa kuoshwa kwa pamoja lakini...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
AMA kweli ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Firauni! Msemo huu unakwenda sambamba na tukio la hivi karibuni la mkazi mmoja wa Kijiji cha Nghoboko wilayani Meatu mkoani hapa, Stephano Mihilu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nimeona niombe Ushauri wenu wa dhati kuhusu hili; Nina Mpenzi wangu ambaye anajua nampenda sana nami vilevile nampenda sana. Kisa ni Hiki kifuatacho:- Siku moja ndani ya Mwezi wa June, Mpenzi...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
Nilipata ndoto juzi usiku iliyohusisha familia yetu, Leo asubuhi nikawa natafakari nayoyakumbuka wakati walipokuwa hai na pia kushare na wanajamvi nayoyakumbuka: Baba Ni marehemu takribani...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Jamani nahisi wife naye yuko JF lakini hatujuani! Halafu hakuna anayeongeleaga kuhusu JF tukiwa pamoja, so hakuna anayejua kama mwenzie yuko humu au la. Mi na wife tukishaingia home ni family...
16 Reactions
158 Replies
9K Views
Bado inaniumiza sana moyoni, japo siku zimepita,. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 46 hivi sasa, kazi yangu ni udereva wa malori yanayosafirisha mizigo nje ya nchi. Naomba niwasimulie habari yangu...
0 Reactions
49 Replies
15K Views
Toka nimehamia Kampuni hii sijamaliza hata miezi mitatu jamani lakini huyu mdada/mmama naona anataka kuniangusha kinguvu sasa. Inawezekana makosa niliyafanya mimi mwanzoni, lakini ilivyokuwa ni...
4 Reactions
127 Replies
13K Views
Bofloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Hali zenu ndugu zangu wote? Poleni na swaum kwa wengine wetu tuliomo, Kwa kuwa ndo naingia huku kwenye uwanja wa walio na ndoa naomba kuuliza swali kwa wale kina mama na kina baba wenye uzoefu...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
For men who roll over and nod off rather than engage in pillow talk, it’s the perfect excuse. They really do need to sleep after sex because the male brain is designed to switch off at that...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Poleni sana kwa wale wote walio kwenye mfungo wa Ramadhan Mungu atamsaidia na kumrehemu pia, Leo nathubuti kuandika thread hii baada ya kufanya upembuzi yakinifu na kugundua kuwa maisha ya sasa...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Habari wana jf, Mimi nina umri wa miaka 25, tatizo langu ni kuwa nilikuwa na uhusiano na Kijana mmoja hivi na yeye ni member humu jf, tulikutana tukiwa chuo na tumedumu katika uhusiano huo kwa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
demu kasema ni kweli alilala na mtu mwingine ili apate mimba baada ya kuona anachelewa kuzaa! jamaa kachukia na anataka kumpiga chini ila anampenda sana. Ushauri no jokes pls!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimedokezwa tabia za hili kabila ambazo ni Ustarabu kwao sifuri Nitegemee wageni wajao bila taharifa (Kuhamia) Nitegemee kuwalea wakwe zangu, shemeji na kadhalika Usafi kwao ni zile nguo...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
LOVE is just a word until the right person comes along en give its rightful meaning and yet LOVE is like rosary full of mystries and yet LOVE is so easy to spell but too hard to give its meaning...
0 Reactions
6 Replies
964 Views
Hawa ni wanandoa wawili vijana wanaoishi pamoja though hawana mtoto,bwana ni konda kwenye magari makubwa na bibi ni mama wa nyumbani tuu.Sasa soma kidogo moja ya maongezi yao asubuhi moja; Bibi...
1 Reactions
49 Replies
8K Views
Nimetumiwa message ina maneno makali kweli halafu mwisho nimeambiwa "I am lettin you go" ikafuatiwa na neno bye.............Hiki si kibuti jamani? Does this mean i am single again? Mnataka kujua...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
UNAHISI mwenzi wako anakusaliti kwa maana kwamba anafanya ngono na wanawake au wanaume wengine? Fahamu kuwa wapo wengi wenye kulalamikia hilo. Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakijiuliza kwanini...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
J ni mdogo wa girlfriend wangu, anasoma shahada yake katika chuo kimoja maarufu hapa Jijini, nimemjua J toka akiwa mkoani kwa wazazi wake na alipohitimu masomo ya sekondari alfanikiwa kupata mkopo...
0 Reactions
47 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…