Kama mvi ni kipimo cha busara.......... Kwa nini zifichwe?
Kwa zamani ingekuwa ni muhali mkubwa mtu kuuliza swali la aina hii, kwa sababu mvi zinahesabiwa kama dalili ya busara, bila shaka...
Wakuu katika hali ya kawaida katika jamii yetu,
hivi kuna marafiki wanaopendana kiasi cha kushea mwenza?
i mean anafurahia huduma anayoipata kiasi cha kumualika/kumuunganisha
mwenzake? umesha...
Hii kitu inanikera sana na akina dada mlioko kwenye mahusiano mnatakiwa mtambue hili.
Kuna haja gani ya kuwa na utitiri wa ma GUY FRIENDS? Ukisisitiza kuwa eti marafiki zako wengi wa kike hawako...
kuna mdada mmoja yeye aliolewa miaka miwili niliyopita akaja kugundua mume wake alikuwa na mahusiano wakati wako katika uchumba na mpaka siku chache za harusi alikuwa bado wanawasiliana,je afanyaje?
Wakuu,mimi nina tatizo moja,chumba changu ni self{yani kina choo na bafu humo humo}tatizo ni kwamba,huwa siwezi kukata gogo mbele ya mpenzi wangu,lakn mwenzangu yeye naona hata huwa hajali,anaweza...
Salut wana jf.. Mara nyingi nimekua nikifanya utafiti ili kujua ni nimi hasa kinacho weza kumfanya mwanamke ampende mwanaume. Na zifwatazo ni sababu kulingana na uzito kila moja:- 1...
Unaenda club na mpenz wako{wa kike},unakuta kuna bendi ya flani ya mziki inatumbuiza,halafu cha kushangaza huyo mpenzi wako anaenda kumtuza msanii pesa na anamkatikia mauno utadhani...
mm ni bint wa miaka 28 nipo nrb na pia nakaa tz,napenda kuwa na mahusiano na mwanamke mwenzangu,kuanzia umri wa 27 aliye tayari tuwasiliane,nasra.faraji2yahoo.com
Naitwa jackie maduhu miyeye,umri...
Hivi sasa wanandoa wa Marekani hawako tayari tena kujiapiza kwamba, wataishi na mume hadi kifo kije kiwatengenishe. Badala yake, wengi hutaka kujiapiza kwa kusema, tutaishi kwa shida na raha...
Habari wadau°°°°°°°°°°
Im a 25yrs old mvulana, nina demu mpya ambae 2na mda wa miez miwili tu, nilmpata kupitia mitandao ya kijamii (FB)
Baada ya kuwa karbu nae kupitia chating and open...
ilikua saa sita na nusu mchana siku ya Ijumaa......nipo nyumbani baada y akutoka kufundisha Tuisheni mbali kidogo na nyumbani........unaikumbuka likizo ya Mkapa enzizile ukimaliza form 6 unakaa...
Habari hii ipo kwenye gazeti la Mwananchi la Jumapili kwamba Peter Nyamanyafu (34) kijana kutoka Buhare Musoma Mjini ameamua kufunga kwa kufuli sehemu zake za siri na funguo kumkabidhi Mchungaji...
Kwa Watanzania wengi wanaijua hii show ya Bongo sstar search na nyingine zinazofanana na hiyo ila ni watu wachache wanaoweza kujifunza kitu kwa kulinganisha maisha yao na show hiii. ukweli ni...
Katika maisha ,hufika wakati ambapo m2 hutakiwa kuamua ni nani wa kuwa life partner wake. Kusema kweli inaweza kuonekana kama jambo jepesi,linalohitaji kutazama 2 na kuamua,lakini yale tuyaonayo...
Hi!
Kuna thread moja inahusu michango ya harusi imenikumbusha mbali. Hivi
jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika hali
ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na...
mi kweli kwamba mwanaume anapopata mke responsible,anayejua majukumu yake na kuyafanya,kumpenda mume wake na watoto wake, na nduguze ni dawa kumfanya mume awe mume mwema na ikiwezekana...
Nimekuwa na mahusiano na huyu binti kwa miaka 2 sasa nafsi yangu imeridhika naye na tulipanga baada ya yeye kumaliza masomo tuanze mipango ya ndoa, sasa kamaliza masomo yake....aliwaeleza wazazi...
Sijui niseme ni nyota, au sijui ni nini.
Mim ni kijana niliyebarikiwa yafuatayo,
1.Handsome na mtanashati
2.Mpendwa
3.Talented in music instruments (giter na kinanda)
4.Talented in books...
Mke anapomjali na kumkubali mume humuongezea kujiamini…
Mahusiano kati ya mume na mke nyumbani huweza kumfanya mume afanikiwe kwenye shughuli zake au aanguke.
Kwa nini?
Ni kwamba, mtu...