Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

The science of love When do you know if you fancy someone? What does love do to your brain chemicals, and is falling in love just nature's way to keep our species alive? We call it love. It...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Nina mke wangu nampenda sana, tuna miaka 2 ktk ndoa. Mke wangu ana nyege za mbali sana yani huwa namchezea hadi nachoka ndio analoana, huwa nachezea matiti, mara sehem ya siri, mara namnyonya...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Unaposimama mbele ya msichana na kumtamkia kwamba wampenda, ukijua kwamba neno hilo lina impact kwenye feelings na saikoloji ya mhusika, ukiwa na "uhakika" kwamba unamchezea na utamuacha mwenye...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Nilikuwa na mpenzi ambaye tulianza uhusiano mnamo mwaka 2010 kipindi hicho yeye alikuwa anasoma lakini wakaja wakakosana na wazazi wake hivyo akawa ni mtu wa kutanga tanga, mimi nikaona sio vizuri...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
nina rafiki yangu wa kawaida tu si kimapenzi, mwanadada mjasiriamali mama wa watoto wawili na kwa sasa ni mbunge pia,ktk bunge letu tukufu.ki maumbile si haba kwani ktk kundi la warembo nae...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Nikipitia habari za michezo asubuhi ya leo, nimefadhaishwa na habari ya kuwepo usagaji katika timu yet ya wasichana, Twiga Stars. Gazeti la Mwananchi toleo la SpotiMikiki(Juni 25 2012, uk wa...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
weekend hii nimetembelea jamaa zangu mitaa fulani .........amepanga na ana gari.Hiyo nyumba ina wapangaji wanne na wote wana magari y akutembelea....nyumba ina uwanja mkubwa tu wa kutosha kupaki...
0 Reactions
68 Replies
4K Views
Sasa naujua ukweli mkubwa kuhusu maisha.......................! Ni miaka 20 iliyopita, wakati huo nikiwa ninaishi na wazazi wangu Tandika, Dar es Salaam. Nilikuwa nasoma kidato cha kwanza wakati...
21 Reactions
45 Replies
5K Views
Ndio nimeamua kuolewa at last……but at my own conditions. Kwa kweli nimechoshwa na masharobaro wa hapa mjini, yaani uwizi mtupu, usanii and too many heart breaks, I have to come to...
6 Reactions
113 Replies
8K Views
Kuna msichana ambaye nilimaliza naye sekondari kidato cha nne mwaka 2009 mpaka sasa tumemaliza kidato cha sita tukisubiri post za chuo.Aliwahi kunitamkia kuwa ananipenda na mimi nikamkumbalia...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
JINSI YA KUMFAHAMU GIRL ANAYEKUPENDA. Siyo kwamba ishara hizi zote anaweza kuwanazo msichana mmoja,ila kila mmoja kwa ishara zake Hatua hizi zinaweza zikakusaidia kumgundua msichana...
5 Reactions
52 Replies
84K Views
Ilikuwa ni ajali kubwa na hata mimi sijui niliweza vipi kupona. Dereva na mke wangu walifia pale pale kwenye eneo la tukio. Tulikuwa tukitokea Chalinze kurudi Dar es salaam baaada ya kukagua...
20 Reactions
97 Replies
12K Views
Jamani wakuu mwenzenu nimechoka na hii nyumba,yaani kuna jamaa wa chumba cha pili ikifika mida fulani usiku wakati wanakula tunda wanaanza mikelele nyumba yenyewe haina dari, sijui nfanyeje...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuna ukweli kwamba baadhi ya wapenzi wa jukwaa la MMU hawaguzi kabisa kule kwenye siasa. Hivyo nimeona si vibaya (ingawa si mahali pake) kuwaletea hii kitu hapa kama kuna watu hawajaiona. Jamani...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Siku zimekuwa zikienda najihisi tofauti tofauti, naona mwili wangu kama haupo kawaida. Nikishika tits zangu I feel tender, najiona nimebadilika badilika tu but nashindwa kuelezea. Saizi nakula...
14 Reactions
272 Replies
20K Views
Wana MMU huenda tukajifunza kitu hata katika kipindi hiki cha mapenzi ya vitu au convinience! Kuna couple moja ilikuwa haina uwezo wa kifedha iliyoishi huko Brazil. Kipindi cha Noel ambapo...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
2008 kipindi nipo kidato cha tano, nilitokea kuwa na rafiki wa kiume ambaye tuliheshimiana kama dada na kaka. Wakati nikiwa rafiki wa kijana huyo, pia nilikuwa na shoga yangu ambapo wote watatu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani tumsaidie kijana mwenzetu kwa ushauri na hapo hapo tujifunze, not to play with women's feelings. Huyu jamaa aliwagonganisha wanawake wawili, wao hawakujuana kwa muda wa miaka3. Jamaa...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Nishaulini mwenzenu,kuna mdada nilikutana nae kama miez mitatu, minne hv 26yrs na mie nina 30 now, na kua na mahusiano ya kimapenz..sasa amekuja na jambo anasema anataka nimpe mimba.anapenda kuzaa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…