Alikuja kusalimia kwa shemeji yangu akapenda kunisalimia na mimi. (mambo ya extended family na kujuana)
Kwangu niliambiwa ataondoka baada ya siku mbili lakini ikawa wiki mara mwezi.
Akarudi kwa...
Jamani mimi nina mpenzi wangu ambaye tunapendana sana lakini tatizo yeye huwa na hasira za karibu sana. Yaani naweza nikamkosea kitu kidogo halafu yeye akaninunia siku nzima,kuna wakati mpk...
...ningeyasema bayana lakini naogopa kuzifufua chuki zilizopita. Poza roho ndugu kwa yaliyokupata kwa sababu ya kupenda. Pendo lako limekuwa kama limepita na maji ndani ya ziwa ukabaki na huzuni...
Wanajamii unapotaka kumlisha mbwa mkali usiemzoea si unaweka chakula pale unapohisi mnyororo unamzuia yule mbwa? Halafu unasogeza chakula kwa jiti. Nahisi na mimi napewa mapenzi namna hiyo...
''hata ukisema mimi ni malaya,sijiheshimu na nina tabia mbaya halafu wewe ni mchamungu,mstaarabu na una tabia nzuri lakini mi nakupenda na kumbuka cku zote UBAO MWEUSI HUANDIKWA KWA CHAKI NYEUPE"...
Hi' wadau!
Nina mpz ambaye ana umri wa miaka 22 kabila lake ni mngoni.
Ni miaka mitatu toka tumejuana nae ila toka mwezi wa kwanza mwaka huu ameniambia kama siwezi kupiga gemu kavu kavu basi...
Nakumbuka wakati nipo shule ya msingi kuna msichana nilimpenda sana na yeye alijua ya kuwa ninampenda kutokana na jinsi nilivyokuwa namfanyia,sikuweza kuwa naye kwasababu ya kukosa uthubutu wa...
A Nigerian girl died hours after having sexual intercourse with a monkey, it has been reported.
The girl was from IMO State in the South-West of the country.
This was revealed by IMO State Youths...
Habari wakuu ndani ya jamvi.
Nimekutanae mara ya kwanza ktk inteview moja mjini DSM, Tukabadilishana namba za simu kwa lengo tupeane updates kuhusu hiyo interview. Ni miezi kama mitatu hivi...
Habari za jumapili tulivu na nzuri kama hii wanajamii? natumai wote mko safi na mnaendelea vizuri na mapumziko yenu ya leo.
leo mi nimekuja na jambo naomba kupata experience na maoni yenu juu ya...
Jamani kuna binti ambaye nimetokea kumpenda sana kupita maelezo, tunachart facebook na pia kwene simu sana tu ki ukweli kwa upande wangu naona amekidhi viwango but nimeogopa kumtongoza kwasababu...
Veronica Guerin
Martin Cahil the General
John Gilligan
John Traynor the Coach
Ilikuwa ni Juni 26, 1996 Veronica Guerin alikuwa ndani ya gari lake aina ya Opel nyekundu akikatiza mitaa ya nje...
Mama watotowangu yuko mkoani kikazi ivo inanilazimu niwai kurudi nyumbani ili kuhakikisha mambo yako sawa.
Jana nilitoka kidogo na niliporudi jioni nilikua ninakauchovu ila nilivumilia ili...
Kinachonifanya niwatambue na kuwapongeza WANAWAKE wa ukweli ni jambo ambalo nimekua ninalishuhudia karibu kila siku kwa rafiki yangu mmoja.Huyu jamaa,baba yake ni mlevi sana,hajui wanae wanakula...
Can I Borrow $5?
A woman came home from work late, tired and irritated, to find her 5-year old son waiting for her at the door.
SON: 'Mummy, may I ask you a question?'
MUM: 'Yes , what it is?'...
Shirika hili ni la dini ila hizi habari nimezisikia nataka kupata uhakika kama kuna tabia ya wakubwa kuwa na mahusiano na wafanyakazi wa kike. Chanzo chetu kinasema eti ili mwanamama upate nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.