Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Naomba kuwauliza!hivi tuchukulie kwamba katika kipindi cha nyuma wakati bado labda uko shule au chuon kuna dada ambae uliwahi kumpenda lakini kutokana na hali yako duni akakukataa,ila sasa baada...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
wanawake wanao waruhusu wanaume wao kumalizia ndani upata raha ya tendo la ndoa kwa asilimia 30 zaidi ya wale wanaofanya huku mwanaume amevaa condom. hii hutokana na kwamba sperm ni...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Hivi kwa nini lakini wewe? Kwa nini unanipigia simu kutoka namba ambayo ni "unavailable" halafu nikipokea husemi kitu, unakaa hewani kwa sekunde 10 halafu unakata simu? Tatizo lako ni nini hasa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Jirani yangu alinikabili na kuniuliza! Ilibidi nimuulize imekuwaje tena? "Kuna wakati mke wangu ananipenda nami huwa najuwa hasa kama ananipenda lakini wakati mwengine huwa hanithamini hadi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
"baada ya kumuhoji midwife wangu maswali nimejifunza kuwa kumbe mamba ya miezi mitatu ni katoto kabisa kenye kenye hisia,kanakosikia maumivu Kama Mimi,kenye kimono na miguu na anaonekana Kama...
3 Reactions
71 Replies
11K Views
Mimi sio mdau mkubwa sana wa jukwaa hili.Ila leo imenibidi.Nataka nimfikishie kaujumbe ka mapenzi mpenzi wangu pale alipo.Nimenukuu mistari michache toka katika Track kali ya Mwanamuziki wa...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Nina mpenz wang ambae anaitwa happy ninataka nimfanyie surprise ila nashndwa nimfanyie surprise gani! Nisaidieni kwa hilo jamani
0 Reactions
30 Replies
9K Views
siku hizi kuna kaulimbiu hii kwa vijana, ikimaanisha kwamba mimba kwanza ndoa baadae. Imekuwa ni hali ya kawaida kiasi kwamba karib 80% ya ndoa zinazofungwa hapa daslam you find the bride is...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Honey-kimeo dear-wa kuzugia sweet-mshamba my love-zezeta baby-mjinga endless-malaya darling-***** husband-buzi. Jicheki uko upande gani hapo!
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Huu umekua ni msimamo wangu kama MWANAUME.Yeyote anetoa haki ya mke wake kwa mwanamke mwingine hafai kuitwa mume.Haiwezekani Mungu akuumbe na kukupa sifa nyingi na mamlaka yote ya kuisimamia jamii...
12 Reactions
186 Replies
12K Views
Jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion...
1 Reactions
122 Replies
12K Views
Binti mtaa wa 10 hivi toka hapa napoishi...mzuri na akili mkichwa si haba................Nimemuona mara kadhaa na kumtamani ingawa najua kidogokidogo naelekea kumpenda. Hayo yote tisa, kumi...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Penda umpendae,usijilazimishe kupenda kumridhisha mtu hata siku moja.nimejikuta kujilazimisha kumpenda mtu.najuta.be aware..
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Heshima kwenu brothers and sisters,Ninaomba tushauriane kuhusu sehemu nzuri kwa vacation hapa Tanzania ambaye bei yake ni reasonable kwa kipato cha kati, this year is kind of worst year of my...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Ilikuwa ni mwaka 1998 na ninaukumbuka vizuri sana huo mwaka, kwani ndio mwaka niliovunja ungo, ni kipindi hicho ambapo nilianza kushangaa maumbile yangu jinsi yalivyobadilika na nilikuwa nahisi...
3 Reactions
26 Replies
9K Views
Jamani kuna malalamiko toka kwa baadhi ya wanaume wa kitanzania kwamba wanawake/wasichana wengi wa kibongo hawajui maana ya kuolewa. Eti wanadhani ni kupata mahali pa ku-deposit matatizo yao...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Naitw jelom natafuta rafiki wa kike , umri kuanzia miaka 17 mpak 3o . My no 0753 87 69 10 , nipo dsm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni kijana, umri miaka 34, nafanya kazi Dar es Salaam, Mkristo, natafuta mwanamke atakayekuwa mke wangu napenda awe umri kuanzia miaka 28 na kuendelea, mwenye hofu ya MUNGU, mkristo, na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Which category are you? TYPES OF HUSBAND THEIR CHARACTER TRAITS 1 Bachelor Husband These are men who Love to do things on their own without...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom