Wana mmu polen kwa kazi mchana huu.
Jamani kisa hiki ni cha kweli na kiko kinasubiria mashauri ili kufikia mahali pazuri.
Baba mmoja mjeda ana ndoa yapata 25 yrs sasa, kwa bahati nzuri sana ana...
Nina mpenz ambaye tumedumu kama mwaka mmoja sasa na ninampenda sana,lakin tatizo la huyu mtu ni kwamba hanipigii cmu wala kutuma mesege mpaka cku awe anashida ya ku Do ndio ananitafuta.kwel...
Haya tena ni mambo ya nyumba za kupanga, hakuna stara ya mabishano! Jirani wa chumba cha pili alikuwa kwenye mjadala mkali na mumewe kuhusu tabia ya binti yao kuchelewa kurudi nyumbani akiwa na...
Wanawake hawahitaji ufumbuzi wanapoeleza madhila yao, shiriki nao kwenye hisia zao inatosha
(Picha haihusiani na habari hii)
Tafiti nyingi zilizofanywa kwa muda mrefu zinaonyesha kwamba wanawake...
Father we thank Thee for the night,
And for the present morning light,
For rest and food and loving care.
Help us to do the things we should,
To be to others kind and good,
In all we do in all...
Kuna bint niliyejuana naye kwa mda sasa,ni binti ambaye anayetumiwa kama mfano mwema katika mtaa wangu,si uzuri wa sura 2,tabia,heshma na myenendo,ni msimple sana.nimemtongoza ivi juzi akanambia...
1.Self-esteem: You finally know yourself.
2.Commitment: You're likely in more committed, calmer relationships than you have had in the past.
3.Experience: More than a decade of sexual...
Some love relationships may just be experiences for us to handle the future certainly and with great wisdom, usilalamike saaana unapoachwa, coz labda it was just kukupa uzoefu, take on life but...
Mara ya kwanza nakuja kuuliza nipate uzoefu wa wadau! Nina mpenzi wangu na huwa tunafanya mapenzi mara kwa mara. Yaani haipiti mwezi au miezi miwili bila kufanya. Lakini hapa Juzi kati kama...
Jana 14 june Tukiwa katika mizunguko yetu ya life mi na rafiki yangu ghafla alipokea simu yake iliyokua ikiita na baada kukatika nikaona kama jamaa ghafla katokwa na mood {kapotea kimawazo}...
Walikuwa marafiki sana,jamaa akamtambulisha rafiki yake kwa mpenzi wake wa kike kuwa huyu ndo shem wako,jamaa akaja kuhamishwa kikazi na mwanamke kamuacha palepale na mwasiliano akakata,mshikaji...
Health Problems from Wearing Clothes Too Tight
Celebrities and every day people alike, have been squeezing into slimming, tight clothing for centuries. Whether it was corsets in the...
Nina rafiki yangu tuko wote hapa chuoni, amenijia ako na tatizo linamtatiza na anahtaji ushauri.
Tatizo: Alikuwa na mwanaume ambae walikaa ktk uhusiano kwa mwaka na miezi km minne hv. Ktk...
Bazazi kwa muda (4 moons) amekuwa akimsarandia Binti fulani.
Juzi kaja na kioja! huku akilia na kuomba msaada huku akidai "HATA WEWE UMENICHUKIA"?
Kisa! ana mimba ya 2 moon na aliyemjaza...
Haya haya wanajamii.
Natumaini mmeliona/sikia tangazo jipya la TACAIDS juu ya network ya wapenzi(mtungo), ambapo mimi nakubali kabisa ndivyo ilivyo!
Je huu si wakati wa kujitoa kwenye hizo...
Jambo wana JF. Juzi nikiwa Arusha kwenye Trade Fair nilifanikiwa kukutana na mpenzi wangu wa zamani, takriban 9 years a go hatujawahi kuonana, nikiwa na shop around, nilishangaa mtu ananirikia...
The guy has stoped to be a man kwa kweli! Though Tumeachana muda mrefu na kila mtu akawa na mahusiano mapya ananiharass! Nilipata mtu mwenye pato dogo kuliko la ex wangu ni fundi cherehani ana...
Kwa wale wote wnaohusika na aina hii ya mapenzi kuthibitisha ni mbaya fanya hivi,chukua kisu kichomeke sehemu yenye udongo uliotifuka kafanye hicho kitendo mwache mtu akakiangalie au kama ni nje...
Wana jf kuna kaka yangu ana miaka 31 ana kazi nzuri inayomtosha kuanzisha family pia kuna dada yetu mkubwa ana miaka 33 ambaye hajabahatika kupata mume wala hana mtoto kwa kweli amekua na mawazo...