Mimi ni mwanaume. Nina mpenzi wangu ambaye bado yupo chuo anasoma. Nimekuwa nikijitahidi kumsaidia mambo mengi sana pale hali yangu ya uchumi inaporuhusu. Hivi majuzi ilitokea huyu binti alipata...
Mchungaji kapera hakuacha kuangaza-angaza macho
Kwenye kwaya ya kanisa lake akajionea kitoweo murua
Binti sura nyororo na rangi yake ni hudhurungi bila karaha
Mchungaji kuona hivyo akaambuliwa...
There is a common belief out there that men are naturally selected to have many sexual partners at a time especially at their most productive age. There is also a denial for most women, old and...
Nawasiwasi na uwezo wake wa kuchanganua mambo..she can't even send a well written and easily understood text, lazima utumie kama nusu saa kuelewa amendika nini..and yet you still love...
Hata sijui sababu ni nini, maana kama ni kula nakula vizuri tu na mke wangu anajitahidi kunipikia mapochopocho mpaka basi lakini mwili wangu hauridhiki sijui kwanini, yaani nimekuwa na maumbile...
Kweli dunia ya leo MALIPO ka Internet ya AIRTEL yani very faster, kuna huyu dadangu wa kusoma pamoja ALIPORA/NYANGANYA mpenzi wa mtu, mapenzi haya mapya yakasogea siku kadha wa kadha huku huyu...
Wana MMU polen kwa ujenzi wa taifa na hongereni kwa mapumziko ya jioni.
wapendwa hebu tudadavue hapa ni kweli kwamba hii dhana ya mtu fulan ni mtamu au siyo mtamu kunako majamboz ni kweli...
Umewahi kuwa narafiki yako wakaribu mno mnaye share nae mambo kibao(best friend)? mmekuwa pamoja,sekondari, chuo pamoja...anakujua mwanzo mwisho, viwanja vyako vyote na fujo zote nk
But here...
Siku moja, baba tajiri alienda na mtoto wake safari kijijini. Alitaka kumuonyesha ni jinsi gani mtu anaweza kuwa masikini sana wa mali. Walifikia shamba moja la familia ya kimasikini. Safarini...
Kwa leo tu....
nakumbukia enzi zileee napenda bintimurua sana, lakini enzi zile zaidi ya kuandika barua sikua na ujanja hata wa kumsalimia
Ni kwa leo tu, nakumbukia the good old days
Habari za siku wadau,
Nimekuwa nkijiuliza whether i am emotional insensitive ama kuna watu waliumbwa kutokupenda..
Naomba nsieleweke vibaya but sijawahi kupenda nadhani. I‘ve had...
Jamani naombeni ushauri kuhusu hii ki2 yangu imepinda kama ndizi hv wakt imesimama sasa sijui naweza kwenda kufanya opereshen niinyoshe.......maana kwakweli mimi sifurahish jinsi...
Asalam aleykum wanJF!
Ni juzi kati shemeji yangu (Editha-sio jina halisi) alikuja nishtakia kuwa BF
wake wa zamani (Erick-sio jina halisi) mpiga chini. Cahnzo ni kuwa Erick
hakuwa na hela wakati...
wapendwa wana mmu. habari za jumapili? natumai ni njema sana kwani wengine mko kwenye sherehe za vipaimara na wengine mko na mechi ya spain na italy. yote ni heri tu katika kujipa raha.
Leo...
Habari za sasa,makaka madada,wa baba na wa mama.Nimekuwa na mpenzi wangu kwa kipindi kikubwa ingawa sio kikubwa kisana,cos is about 8 month.We are loving each other na kwa uaminifu wangu kwake...
Nimechoka basi
Nina Mpenz na mda mrefu naye kama miaka 6 hivi lakini kwasasa nimechoka.. sababu ziko nyingi lakini kubwa zaidi nikunitishia kuvunja uhusiano kama kunakitu kaniomba ni meshindwa...
An average woman may lose her virginity utmost at 30 years or latest 40 years. Pam Shaw on the other hand says that she is slightly older. Shaw is searching or a right man for her at the age of 70...
eti inakuwaje ukioa mwanamke ambae alishakuwa na mtoto na huyo mtoto anakaa kwa baba yake inakuwaje siku yule mtoto akiumwa na akalazwa ikabidi mama yake aende akamuuguze. Na endapo utaamua kumlea...
Most of times men miss a point. Thinking that your wife needs ur your money, or your car, or your supply! Yes she may
need all of that and you must provide! But just know she needs your love...
Habarini wadau...Daah nimejikuta moyo wangu mzito sana asubuhi ya leo
1.Wasiwasi unaoletwa na maisha haya ya kila siku .Mume hatulii,malezi ya watoto mabek tatu hawaeleweki,migogoro ya ndoa...