habari zenu wanandoa na wanajf kwa ujumla. imagine kabla ndoa ulikuwa na best friend wa kiume/kike ambaye alikuwa close na wewe (SIO MPENZI) mlikuwa mkisaidiana katika shida na raha ikafika wakati...
Wadau,
Nina shemeji/wifi yenu ambae bado hatujafunga ndoa kutokana na ratiba kumbana kila mmoja wetu.
Mnamo mwezi Miezi ya hivi karibuni kumekua na harusi mbili zinazohusu watu wa ofisini...
Kwa mujibu wa kitabu cha Biblia, ni kuwa Mungu alichukua ubavu wa mwanaume aitwae Adam na kumtengeneza mwanamke aitwae Eva. Hiyo ni dhana tosha kwa mtu wa kawaida kuamini kuwa mwanamke aliumbwa...
Mhhh unamkuta mtu wako na pkt ya zana 3pc ila 1 imemis unamuuliza hii kitu kwenye gari inafanya nini?anajiumauma...unaanza kugomba kuwa majuzi tuu umeniambia kuwa hutodanganya tena utakuwa baba...
Ni zaidi ya miezi minne tupo kwenye mahusiano. Kuhusu kunipenda sina mashaka nae kwa hilo.
Cha ajabu kila nikimchombeza huishia kununa, nimeshatoka jasho zaidi ya mara tano kumlazimisha ku-do...
Mimi ni Mswahili mzaliwa wa Bongo. Naomba kujitokeza kwa mara ya kwanza katika Forum yetu adhimu kutafuta rafiki wa kawaida. Sibagui dini wala kabila.
Sifa za rafiki anayetakiwa.
Awe mpenda...
Most of us have been hurt by loving wrong persons, But I want you to know that the right person for you is there all along. You just didn't see it because the wrong person was blocking your sight...
.....:screwy: .....hivi, unapokuwa unamdanganya mtu, bila 'woga' kwamba ANAJUA unamdanganya, ...kusudio lako huwa nini?
.....mimi bado sina tafsiri sahihi juu ya hili zaidi ya 'madharau' katika...
WanaMMU heshima mbele.
Ni siku kadhaa hivi nilitupia uzi wenye kwenda kwa jina 'Namuanzaje mamamkwe'?. Kwa kweli naomba nishukuru kwa Mawaidha, Ushauri, Maonyo pamoja na Michango yote kiujumla...
Kulingana na tamaduni mbalimbali za mwanadamu, kumeibuka tathimini isiyo rasmi inayoumiza vichwa vya wanazuoni wa kimahusiano hasa dhana ya kuoa ama kuolewa!
Hivi binadamu anapoamua...
Naomba kuuliza swali.je jina la mtu na mahusiano yanamaana?.kuna mtu anaitwa nelson mpenzi wake anaitwa rose.wameachana,watu wakasema hata majina yenu hayaruhusu kuwa pamoja.ni kweli na ndo...
Nimepokea barua hii toka kijijini naomba msaada wa hali na mali kumwezesha DOGO. Nitawatumia namba wale tu waliotayari kusaidia tu siyo wale wanaokebehi
Mjue mume aliyekuwa ana
mwanamke mwengine
1)Kuchelewa kurudi nyumbani
bila sababu za msingi
2)Overtime kazini zinazidi kumbe
hayuko kazini
3)Simu haikai chini mpaka chooni
pengine anaingia...
TB parents...lol Please dont ignore the prayer at the end
Children are a photocopy of their parents's character
You are the hydro power dams from which they
Can tap the power of living...
In love, it's about teamwork
Send to a friend
Saturday, 02 June 2012 12:50
digg
Partner power: Women need to open up and let their men know what they really want.PHOTO I file
By...
There is just one thing naomba kujuzwa kwanza jamani eh!
Hivi ni kwanini wadada/wamama mkitaja neno mapenzi lazima liendane na hali ya maisha ya mkaka/mababa au uwezo wake kifedha?
Please nijibuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.