Uhuru wa kuwasiliana na marafiki ndugu na jamaa unapungua kwa kiasi kikubwa unapokuwa na mahusiano ya kudumu na mwenza wako, je ni sahihi kupoteza uhuru huu muhimu wa asilia?
Natumai wengi wenu mmelala kwa kua ni ucku mkubwa,bat kwa upande wangu naic ni mchana kwani ndio natoka kufua now nguo zangu,sitoweza kukufuru na mshkuru MUNGU sana na nautumikia mtihani wake...
guys wazima siku mingi sijatinga hapa ila sio ishu saaana ila jaman hebu tumsaidie huyu binti is one of my frend amempenda mkaka bila kuonana zaidi ya picha tu.
Wamekua wakitumia mkaka kwao...
Mojawapo ya mambo ambayo yametokea leo ni kuwa baadhi ya wasomaji wangu wa Ulaya wamejaribu kuagiza kitabu cha "Majeruhi" kutokea Marekani na hivyo kujikuta wanalipa karibu mara mbili ya bei yake...
1.Kuchoka katika ndoa – Kabla ya kuoa au kuolewa kila mtu alikuwa na shauku ya kufurahia ndoa.lakini baada ya muda mfupi wanandoa wamechokana na ndoa imekosa ladha.Wakati mwingine mwnandoa...
ni muda mrefu toka tumeonana mara ya mwisho,
Leo nimeonana nae lkn hanikumbuki kabisa.,me namkumbuka cz nili-fall kwake but I failed to tell her ,how I felt. Tumeongea kwa kirefu ,trying to...
Which category are you?
TYPES OF HUSBAND
THEIR CHARACTER TRAITS
1
Bachelor Husband
These are men who
Love to do things on their own without consulting their wives
Love to hang a lot...
Wiki moja nyuma, tukiwa tunasafiri, mimi na wenzangu wa5 , (wote wanaume)
safari tuliondoka asubuhi, na mpaka kufikia nyakati za adhuhuri, takriban wa5 kati yetu tulishapokea simu kadhaa za...
Nimejaribu kufatilia kwa wanawake wengi wote kwa makibila yote kumbe formula yao ya kulala ni moja chali!!haya mengine ni mautundu lakini for the first time lazima ananza kulalia mgongo mpaka hapo...
Ni Huko kenya, Mwenye mali alipopewa chake tu, mnato ukaisha.
gonga link hiyo hapo kwa u-tube ku-view kisa na mkasa! na jee huu ni uungwana?
Man Stuck Inside After Getting Caught with Someone's...
Ndoa nying zinaishi maisha ya kutoaminiana kwasababu ya mienendo ya wenzio wao, na hii si kwa mwanaume wala mwanamke! Swali langu kwenu wanandoa msio waaminifu ikiwa una wanaume wa nje au...
nimekuja kumtembelea brother angu kwake hapa mara moja, huyu ndugu yangu ni player sana, alioa but ndoa haikudumu, so ana wanawake kila kona hapa mwanza, sasa nina siku sita tangu nifike hapa but...
The True Love Is Something That Everyone Wants To Feel!!
Wakuu, suala la kupambanua mapenzi ya kweli ama ya uwongo ni suala la hisia na mtazami( its a subjective issue) kulingana na vigezo mtu...
Kenya kuna mambo. Huyu ajuza kachoshwa na kupigwa kalenda na mpangaji wake ambaye anadai au kusingizia matatizo ya kifamilia yamemfanya kushindwa kulipia kodi ya pango.
Ajuza alipoona miezi...
Wakat serikal na asasi zikiendelea kupiga vita utoaj mimba.Kabint flan mtaani flan kameumbuka,baada ya wk mbili kupita baada ya kutoa mimba.Kamejaza wa2 kwao baada ya kwenda kupima amejikuta...
1. Kumfungulia mwanamke garia apandapo au kushuka na kumfunga mkanda kabla ya gari
kuondoka
2. Kumshika mkono kwenye hadhara wakati wa kutembea e.g evening walk au kwenye
ocassion kubwa...
Vitu hivi ni muhimu na kama mtu ukivishika utadumu katika mahusiano kwa muda mrefu sana
1.(KWA WANAUME) mwanamke anahitaji kuoneshwa kuwa anapendwa ukimwonesha hivyo kuwa unapenda basi hanaujanja...
hii imenishangaza sana
mdada mmoja kwenye kipindi cha wanawake live amesema eti wadada wengi siku hizi wanajiingiza kwenye mapenzi sio kwa sababu wanawapenda sana wanaume bali ni kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.