Huyu mdada ni jirani yangu..
Alikuwa na ka mtindo fulani kila siku anamsifia husband wake ooh ndoa yangu ni imara na ni kama paradise ndogo
Mme wangu hawezi kurudi saa mbili usiku kama waume...
WanaMMU salaam mbele!
Ni hivi..Niko na mchumbaangu na huu ni mwaka wa tatu na Mwenyezi Mungu akijaalia huenda mwaka huu tukajitia kitanzi (pingu za maisha). Lakini wajameni kuna kitu...
Ikiwa imebakia wiki moja kwenda ukweni kujitambulisha na kutoa mahari, mtarajiwa anadai tupostpone our wedding mpaka amalizane na shule kwanza maana she cant handle the strees of finnishing...
A couple months ago, I got a new phone. Of all the good things I love about my new possession, is the fact that I get to chat anytime on WhatsApp. I must say the phone got me pretty excited and...
kujipilizia perfume tele ni karaha hata kama perfume nzuri na bei kali. Perfume inatakiwa iwe wastani ili walio karibu nao wapendezwe na mnukio wako na wapende kuendelea kuvuta pumzi na sio kufika...
Nina mchumba ambaye tunategemea kuoana ivi karibuni ila hatujawah kuwa na mahusiano ya Kimapenzi..Nikiwa kwenye menstruation perion, naumwa sana tumbo siku ya kwanza, lakini ikitokea siku iyo...
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona vibao vinavyoelekeza wapi palipo na msiba...
Msiba unatokea sehemu fulani na waliofiwa wanachukua jitihada za kuweka "vibao vya matangazo" vinavyoelekeza ni...
Kama nilivosema nimeacha sex spesheli kabisa kwa kujiandaa kwa ndoa na mume ambae hadi
dakika hii sijampata. Hadi najihisi bk kabisaa. Of coz kuna promising kandidets, hivo bado nafanyia kazi...
Ndugu wana JF, heshima mbele.
Napenda nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa Neema na Rehema zake kwangu mpaka sasa.
Nimekuwa nikisikitishwa sana mpaka nashindwa hata kutoa mchango wa kimawazo kwa wana...
Wanauchumi wawili David Anderson na Shigeyuki Hamori wanasema kwamba wale wanawake ambao wanapotongozwa kwa mara ya kwanza huwa wagumu hata kama wanapenda, huwa wanaonekana kuwa na thamani kwa...
Habari za Asubuhi wanaJF.nimekuwa katika swali kila siku kwamba Furaha zaidi upatikana ukiwa Singleau ukiwa kwenye inrelationship.Jamani wanaJF Msaada zaidi kwa hili?
Wanajamii f, leo naomba tuwekane sawa kuhusu mavaz ya night dress kwa wanawake, ni sahihi kwa mwanamke aliye kwenye ndoa kuvaa nguo wakat wa usiku tena suruali ya jinsi au vinginevyo kila siku kwa...
Mkasa huu nilisimuliwa na rafiki yangu nilipoenda kumtembelea hospitali miaka miwili iliyopita.Ni mkasa wa kweli ila ni watu wachache waliousikia na hata wale waliousikia wengi hawajui hasa nini...
Wakuu naimani mu wazima. K wa mara ya kwanza najitokeza huku kwenye MMU ningependa kujua hivi inawezekana kwa mwanaume au mwanamke kuandika sifa za mchumba anaye mtaka na kumpata kupitia safu hii...
Ni binti mzuri kwa sura pia kichwani yuko vizuri........Ni rafiki yangu sasa yapata miezi saba. Tumekuwa tukipiga story mara kwa mara tunapokutana.
Kwa sababu ananiamini na kunichukulia kama...
Kila mtu anatamani kujua kama mke/mume,mpenzi kama anampenda na pia anampenda kiasi gani.Bahati mbaya huwezi kujua KAMWE,utapoteza muda wako bure.Mpaka unaenda kaburini hautojua.Kwanza...
Wanawake mna matatizo gani na simu za mkononi? Kwanini mnazigeuza kuwa simu za mezani.
Hii haina cha mwanamke msomi na mbumbumbu, mfanyakazi na mkulima/mfanyabiashara, mbinti na mmama, mkurugenzi...
Jana nilikuwa napata mbili tatu za baridi na jamaa yangu, katika maongezi akaniambia hana furaha ya ndoa yake. Mke wake ni anapenda pombe, analewa na watu mbalimbali anawaita 'friends', hana muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.