Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Leo ningependa kuwaambia wanawake ambao wanafanya kazi, ambao wameajiriwa katika kazi zinazowaondoa nyumbani asubuhi hadi usiku, huku waume zao nao wakiwa makazini kwa muda kama huo au zaidi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Endapo utakutwa na hali hizi: Umeingia katika ofisi au nyumba ya mtu na muda tu mwenyeji wako anapuliza air freshener? Unaongea na mtu nayeye anaziba mdomo na pua yake kwa mkono au na leso...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
( Habari zenu wanajamii, Natumaini mu wazima na mko kwenye majukumu yenu ya kila siku katika kujenga taifa hili, kisha linakuja kubomolewa na wengine. Any way that is not what I want to say though...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Yamenikuta wana MMU jana nilikua na ahadi na mpenzi wangu baada ya kunimiss mwaka mmoja na nusu,tokea mwaka 2010 Disemba,,jana tulitaka kupasua raha..daah..! Nimefika Dar ninamwezi sasa,mimi...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Jamani PMU ni pata mimba uolewe. Nimedanganyika mwenzenu mie, nina mimba ya miezi miwili, namwambia mheshimiwa juu ya huu mzigo, na kuanza michakato ya ndoa. Cha kusikitisha bwana kaka ananijibu...
0 Reactions
88 Replies
9K Views
Ndugu zangu hapa jamvini naamini mko wazima kabisa! Kuna tabia ya kina dada ambayo inanichosha mno ya INVOICE. Nadhani kwa vijana wengi wa mjini hiyo term "INVOICE" imekuwa maarufu sana. Ukimtokea...
1 Reactions
83 Replies
6K Views
Kabla hujaamua kupeleka mahali kwa watu hasa kwa wale wasio wa kabila lako husisha watu kwanza... Kijana mmoja chakaramu alimpenda binti kutoka mojawapo ya makabila yanayofuga ng'ombe sana maeneo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ya jioni wana MMU?, poleni kwa majukumu ya siku ya leo. Natarajia kuwa Dar ea salaam mwezi ujao.....so naomba kwa walio available na wanaoishi DSM wanipe kampani tu-hang out na kuenjoy life...
3 Reactions
95 Replies
7K Views
kwenye ndoa kuna makundi kama 5: 1. Walioolewa 2. Waliooana 3. Wanaolazimisha ndoa 4. Waliooa wanaume 5. Wanaotumikia ndoa haya makundi ni ya wanawake ila wanaume pia mmeguswa. Hawa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
It is the beginning of the weekend and nothing out of the ordinary. Am just flipping through the channels on TV kama kawa. My husband and I live alone, in the outskirts of Dar es Salaam in Mbezi...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Hata hi tu
0 Reactions
16 Replies
1K Views
hellow g.t...jaman tumekuwa tukiomba jukwaa la urembo bila mafanikio, sasa nisaidieni hapa hapa...SHEMEJI/WIFI YENU KANIOMBA NIMPELEKEE CREAM NA LOTION NA SABUNI....But viwe ni vile vinavyofanya...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Jamani hii kali ndugu zanguni,ndani ya wiki hii mfanya biashara wa kike kampigia simu shoga yake na kumlalamikia kilio chake kua mumewe anamlawiti mtoto wake ambae kazaa na mume mwingine,ni mara...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Mwanamke wa Kiingereza ambaye amefanikiwa kuwa bikira kwa miaka 70 sasa yuko tayari kabisa kuolewa na kuondolewa ubikira wake. Bikira Pam Shaw, mwenye umri wa miaka 70 anasema bado vigezo ni vile...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Mwenzenu yamenikuta,house girl ame test urine 4 pregnancy nimetoka kazini ananiuliza ikiwa hivi majibu ni nini.Kuangalia majibu yenyewe positive kuonyesha kuwa ana mimba. Kumbana amtaje...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
ndugu zangu nataraji kupata jiko au mke wa kuoa sijui wenzangu ambao mpo katika ndoa naomba ushauri wa mambo gani nizingatie kwa huyo mke ili niweze mfaidi sio kujitui tena hyo ndoa.?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii imetokea mjini Babati jana,ambopo dada alishawishiwa na kaka yake kwa sh-50000,ambaye ameoa na mkewe alikuwa kasafiri!Ghafla mke alirudi ghafla bila yawao kutarajia nakuwakuta kama...
0 Reactions
36 Replies
25K Views
JF ni social media na kazi yake ni kupashana habari, kurekebishana na kujengana pia. Mimi kuna tabia huwa siipendi na kama kuna mwana JF anayo namsihi aache MARA MOJA. Na hii tabia iko zaidi kwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hope your weekend is great! Moja ya mambo ambayo nimegundua yana mvuto wa kipekee katika mahusiano ni mwonekano wa kipekee (Distinctiveness). Kipindi flani nikiwa primary sikuwa naishi na mama...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
asalam aleikuuum mi ni kijana wa miaka 30...nina watoto wawili na wanawake tofauti...hivi nikiamua kulea watoto tu bila kuoa mwanamke mwingine jamii itanichukuliaje?
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom