Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

“Love is patient, love is kind. It does not envy, it does not boast, it is not proud. It is not rude, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs. Love does not...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hili nimelikuta kwenye ukurasa wake wa facebook anasema wanaume wengi wa tz wananuka boxer,midomo,soksi nk,nimelileta hapa jf magreat thinker mnalizungumziaje?
0 Reactions
224 Replies
23K Views
Wakati nina 20 yrs na nikiwa sijawahi ku-do. Nilikwenda mkoa na wazazi for a wedding party. duh! nilikutana na demu mmoja nikawa very attracted lakini sikuwa na nguvu za kujaribu hata kumsogelea...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nikiwa nimeanza kubarehe nikiwa mkoa wa tabora na maisha ya shule...nakumbuka sikupata mtu wakunipoza moto niliokuwa nao wa ngono....nikawanateseka....maisha yangu yakawa ni Masturbation daily...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Duh...! Ama kweli nilipata tabu sana enzi zangu za kubalehe yani wanafanzi wenzangu wa O-level wengi wao nikiwa approach walikua wananikubali, sekeseke linakua kwenye uroda ambao ahadi zao zilikua...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Watu wazima wenzangu watanielewa ukubwa jalala ukubwa shimo la choo, kuishi na bidamu kazi jamani nimechoooka!
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Mjadala wa kwenye thread ya Bishanga wa wanawake kupata changamoto ya mpenzi/mume mpya wanapokuwa na watoto wa mahusiano ya zamani ulichukua kasi na siwezi kusema ulifikia muafaka ama la. . . ...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
Wanawake wenzangu, Siku hizi kutembea na mume wa mtu ni jambo la kawaida lakini ndio akulete nyumbani, ulalie the same bed anacholalia na mkewe?? That is too much akhaa!! Hebu tujiulize kwa nini...
13 Reactions
227 Replies
13K Views
Kama heading ya hapo juu inavyosema ndo ujumbe wa leo. Maandalizi mema ya wikend.
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu kitu kinachosababisha watu kusalitiana kwenye mapenzi, nimefanikiwa kupata sababu sahihi za jambo hili achilia mbali ile sababu ya uovu wa kibinaadamu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nimesikia habari RFA kwenye matukio asubuhi binti amuua mwanae kwa kumnyonga kisa aweze kuolewa Mwanaume kamwambia hawezi kumuoa akiwa na mtoto ambaye hakuzaa nae dawa ni kukatisha maisha Hii...
12 Reactions
81 Replies
8K Views
Ni desturi kwa mwanaume kumpa pesa mwanamke baada ya kufanya naye mapenzi, na ikiwa mmekubalina na pia RAHA hata na yeye anaipata. Inakuwaje mmpe pesa na siyo mwanamke ampe pesa mwanaume, hata...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Unampigia simu mpenzi wako Wewe:mambo vipi mpenzi Mpenzi:poa mambo vipi Aisha Wewe:aaah mi siyo Aisha bhana Mpenzi:sorry my dia nimechanganya,mambo vipi lakini Lucy Wewe:aaah mi siyo Lucy we vipi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jana nimefikisha alama yangu ya 29. Nilitia nia ya dhati wakati nimefika miaka 20 kuwa nikifikisha wapenzi 29 itakuwa mwihso wa kujihusisha na SEX. Mume wangu atakuwa ni wa 30. Nimepita mengi...
6 Reactions
176 Replies
11K Views
Habari zenu wanajukwaa, Kuna rafiki yangu wa kike ambaye nafanya naye kazi katika kampuni moja hapa jijini ametokea kunipenda ghafla, japo sikuwahi kufikiria kama siku moja angetokea kunipenda...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Mimi nina girlfriend ambaye nimedumu nae katika mahusiano kwa miaka kama minne na sasa yupo masomoni,kiukweli nampenda sana ila sijui upande wake japo anajitahidi kwa kiasi chake kuonyesha mapenzi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mdada kuwa mbalamwezini ni kutii amri ya asilia. Mie sina kinyongo naelewa ni matakwa ya Muumba. Walakini anapozua mazogo mie huwa nataabika. Natamani apite mwezini kwa shwari bila kunitaabisha...
6 Reactions
87 Replies
6K Views
Tangu tukiwa na umri wa siku moja,tunataka kukubaliwa,kupokelewa na kulindwa.Haya ni kama mambo ya kimaumbile kwa mwanadamu.Unapogundua kuwa watu wote hawakupendi utababaika na kuchanganyikiwa na...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
You can instantly know a woman's sex history from her stride, claims study Woman who have orgasms from sexual intercourse walk differently Belgian researchers watched videos of women walking, and...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana-jamvi mnakubaliana nami kwamba hii kauli mbiu ya Mamlaka ya Bandari inashabihiana na kauli mbiu ya wasichana siku hizi? Yaani Document (Pesa) Kwanza Mzigo (Mapenzi) baadae....!!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom